tundu lissu

  1. Mkalukungone Mwamba

    Heche: Tundu Lissu alipewa chungwa kidogo, papai, kipande cha nanasi na embe. Alipomaliza kula, tumbo likaanza kumuuma vibaya

    Tundu Lissu aripoti kupata maumivu makali ya tumbo 'toka kuzaliwa' baada ya kupewa vipande vya matunda. Akiutaarifu umma, makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa Lissu amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo. "Nimeongea na Dk. Nshala, mwanasheria mkuu wetu wa chama. Ameniambia...
  2. Idugunde

    John Heche nakusihi itisha maandamano Tanzania na Duniani kote ili Tundu Lissu aachiwe

    Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe. Najua Watawala wote dhalimu huwa wanaogopa maandamano.
  3. Zack Abdul

    Jinsi Tundu Lissu na John Heche walivyokizika chama Chadema kwa mihemko na chuki

    Malengo ya waasisi wa CHADEMA yalikuwa ni kukijenga chama kwenye misingi imara ya kisiasa nchini kikisimama kama taasisi kuu ya upinzani iliyokusudiwa kutoa ushindani wa kisera na kuwa mbadala wa fikra baada ya CCM. Hata hivyo mwelekeo huo wa kimaono ulianza kupotea na kuyumba pale chama...
  4. TISHETI PLAIN DODOMA

    Nimeachia Wimbo Maalum wa Tundu Lissu — Karibuni Kusikiliza

    Nimeachia wimbo mpya unaomzungumzia Tundu Lissu kwa style ya kipekee. Nimeuweka kwenye website yangu mpya ya http://sosybrown.vercel.app Ukisign up utaweza kuusikiliza pamoja na kuona project nyingine zinazokuja Karibuni mu-support kazi ya kijana wa Kitanzania 🙏 Ningefurahi kupata maoni yenu...
  5. R

    Tathmini ya TLS kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande na Kesi za Jinai zinazomkabili Tundu Lissu

    TAARIFA YA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TATHMINI YA TAARIFA YA TUME YA JAJI CHANDE KUHUSU MATUKIO YA OKTOBA 29 MWAKA 2025, ILIYOTOLEWA TAREHE 23 APRIL 2026 PAMOJA NA KESI ZA JINAI ZINAZOMKABILI TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU. 11 Mei 2026, Dar es Salaam 1.0...
  6. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Ni rahisi kuchimba Tanzanite Kinondoni badala ya Mererani kuliko kumuona Tundu Lissu gerezani

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ameeleza kuwa rekodi za mahakama tangu Kisutu zinaonesha wazi kuwa upande wa mashtaka ndio umekuwa ukichelewesha kesi ya Tundu Lissu. Amebainisha kuwa kukaa mahabusu kwa...
  7. R

    Wakili Mwabukusi: Miezi 3 hakuna dalili Mahakama ya Rufaa kusikiliza Kesi ya Tundu Lissu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, amesema kile alichokiita "mbinu za makusudi" za upande wa mashtaka kuchelewesha shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  8. DogoWaNjombe

    TLS Wanatoa Tamko Juu ya Tume ya Jaji Chande na Tundu Lissu

    https://www.youtube.com/watch?v=ex4HupJgtOg
  9. MamaSamia2025

    Nani zaidi kisiasa kati ya Tundu Lissu na Abdul Nondo?

    Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
  10. Roving Journalist

    Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  11. Sifi Leo

    Just imagine kisa madaraka, Lissu amekumbatia kuta za gerezani, jaji, hakimu na Rais wapo na wake na wenza wao muda huu

    Niwe mkweli nipo na mama yenu namwamsha taratibuuuu! Just imagine, kisa madaraka Tundu Lissu muda huu amekumbatia Kuta za gerezani kwa kosa la uhaini ili Hali sio muhaini. Wewe wakili wa Serikali na majaji mnasinamia kesi yake mmekumbatia wake ZENU na waume ZENU ili ccm iebdelee kutawala...
  12. M

    PostGE2025 CHADEMA kuanza na oparesheni Katiba Mpya, FreeTundu Lissu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake ya kisiasa na kijamii inayolenga kuhamasisha mabadiliko ya Katiba pamoja na kudai uhuru wa...
  13. R

    Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

    Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake. Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake
  14. baz kaiza

    Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  15. baz kaiza

    Tanzania hii yenye watu milioni 60 kiongozi pekee anayeweza kutoka na kupiga rushwa na Ufisadi ni Tundu Athipas Lissu tu

    Wote tunajua baada ya kuondoka Magufuli anayeweza kutoka macho makavu na kupinga rushwa na Ufisadi akiwa macho makavu ni Tundu Antipas Lissu tu wengine hawajapata nafasi kama Makonda alivyodai. Nashangaa nchi ambayo Ina vyombo vya usalama kama Tiss na Jeshi la wananchi...
  16. S

    Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  17. The Watchman

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kyela asema 'Mwili utaumia lakini imani ya CHADEMA haitakufa' asisitiza Tundu Lissu aachiwe huru

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe, ametoa tamko kali dhidi ya kile alichokiita "siasa za mateso" na kesi za kutengenezewa, huku akitaka mamlaka kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji nchini. Akizungumza wilayani humo jana, Aprili 21...
  18. The Palm Beach

    Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  19. S

    Tundu Lissu akiachiwa, mikutano yake ya hadhara itajaa sana, na ikiwezekana mkutano wake wa kwanza uwe Mbeya alikokamtwa kabla ya kuwekwa gerezani

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, huo ndio mtazamo wangu na pia ni ushauri wangu kwa chama iwapo Tundu Lissu ataachiwa kutoka gerezani. Tundu Lissu akiwa gerzani shida, akiwa nje shida. Mtajua hamjui.
  20. E

    CHADEMA: Lissu ametembelewa na Dk Chakwera gerezani, ampa hoja saba

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa mwenyekiti wake, Tundu Lissu anayeshikiliwa katika Gereza la Ukonga, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakili wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Dk Lazarus Chakwera aliyemtembelea. Itakumbukwa Aprili 10, chama hicho kilikutana...
Back
Top Bottom