tundu lissu

  1. instinct desire

    Lissu alishawahi kuchangisha hela kwa lengo la kununulia gari jipya. Gari lilinunuliwa? Kama halikununuliwa hela za watu zipo wapi?

    Kwakweli huwa inaumiza sana pale mtu anapotumia umaarufu wake au chama chake au nafasi yake katika jamii kupora Hela na Mali za watanzania kwa makusudi yake binafsi. Mimi instinct desire Leo nahoji zilipo Hela alizochangisha tundu Lissu kwa lengo la kununulia gari zilienda wapi wakati gari...
  2. Carlos The Jackal

    CCM sitawastua tena, atakayewaokoa dhidi ya ICC ni TUNDU LISSU , Muachieni, ridhianeni naye, leteni KATIBA Mpya, Uchaguzi urudiwe upya

    Kauli Moja ya LISSU kwa US na EU na Dunia ndio pekee itakayowaokoa!. Mimi sielewi mmepigwa Upofu wa aina gani Kiasi hasikiii Wala Kuona !!. Mnajijua Mmeua MAELFU kwa MAELFU. Mnajijua mnavita dhidi ya Kanisa KATOLIKI . Mnajijua mnavita dhidi ya CHAMA KIKUUU cha Siasa Nchini, Chama...
  3. K

    Mke wa Tundu Lissu azungumza

    Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
  4. Waufukweni

    Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa. "Na nchi...
  5. The Burning Spear

    Kumbukizi : Tundu Lissu akiwasha moto bunge la katiba,Chadema mna bahati kuwa na mtu adimu kama huyu

    Duniani Tundu Lissu ni mmoja tu na yuko mahabusu siyo kwamba anakosa bali maCCM hawa uwezo wa kupambana naye. Mtu aliyekaribiana na huyu huko CCM alikuwa Magufuli bahati mbaya kwa sasa hawana
  6. Parabolic

    CHADEMA: Kauli ya CCM ndio kauli ya dola, ni mwendelezo wa mbinu zao kutaka kutengeneza taharuki ili chama kifungiwe kwa mara nyingine

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano. Madai hayo yalitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi Juni 13, 2026...
  7. baz kaiza

    Mahakama ilipoteza mwelekeo baada ya kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya Mahakama kisa tu. Tundu Lissu

    Mimi binafsi niliona mahakama imepoteza mwelekeo kitendo cha kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya mahakama kisa Tundu Lissu. Wengi wetu tulishakosa kua na imani na kitu kinaitwa Mahakama vibanda vya chips vinajengwa ndani ya...
  8. Erythrocyte

    Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

    Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026 TAARIFA KUTOKA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA...
  9. V

    Augustino Lissu, mtoto wa Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress

    Augustino Lissu, mtoto wa mwanasiasa mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress nchini Marekani. Akizungumza kama mtoto na si mwanasiasa, Augustino alieleza jinsi alivyokuwa katika kivuli cha...
  10. baz kaiza

    Tunaomba Haki itendeke kwa Tundu Lissu kama ni kusota Mahabusu kasota vya kutosha, HAKI itendeke kwake fafadhalini sana

    Kama kukaa mahabusu amekaa vya kutosha huyu TAL ni mtu mwenye familia tunaomba HAKI itendeke kama ana makosa basi sheria ifuate mkondo wake. Imetosha kueni na huruma hii dunia tunapita walikuepo watu maarufu viongozi, wakina Mandera, Nyerere lakini leo hatuko nao duniani ni sehemu ya kupita...
  11. Waufukweni

    Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  12. Erythrocyte

    Ukonga: Tundu Lissu akutana Katibu Mkuu wa IPU, Martin Chungong

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ujumbe wa IPU umefika gereza la Ukonga na kufanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, anayeshikiliwa kwa Tuhuma za Uongo za Uhaini Ujumbe huo umeongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja huo wa Mabunge ya Kidunia, Bwana Martin Chungong.
  13. K

    Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

    Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA? Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake...
  14. DogoWaNjombe

    Tundu Lissu alivyokuwa akibishana kwa hoja na Spika Anna Makinda, Bunge lilikuwa la moto sana

    Moja ya mijadala ilivyoendeshwa katika Bunge la 10, Mkutano wa 18 Kikao cha 3, ambapo Tundu Lissu akiwa ni Mbunge kupitia CHADEMA alivyochangia hoja huku Spika wa Bunge, Anna Makinda naye akitoa muongozo. Hii ilikuwa Januari 29, 2015. Hoja kuu iliyokuwa inachangiwa ni kuhusu suala la Mwenyekiti...
  15. R

    Tundu Lissu kufikishwa Mahakamani kesho Mei 25, 2026 kusikiliza Maombi yake kuunganishwa kesi ya mgawanyo wa Mali

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatatu, tarehe 25 Mei, 2026 Mwenyekiti wa chama taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu atafikishwa mahakamani. Mheshimiwa Lissu atafikishwa kusikiliza maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya mali za chama kwa nafasi yake...
  16. The Palm Beach

    Mwigulu: Walimpiga Lissu risasi ili ionekane ni Serikali

    Hebu fikiri tu kuwa, huyu eti ndiye PM wa Tanganyika. Ndiye mshauri wa karibu wa Rais Samia. Kwanini tuendelee kushangaa kwa kuwa na serikali inayojua kuteka, kutesa, kufira, kulawiti na kuua tu wakosoaji wake..? Kwa sababu, ukimsikiliza huyu jamaa (Nchemba), unakosa kabisa coordination ya...
  17. Waufukweni

    PICHA: Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  18. McLaren

    Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

    Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo. David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji...
  19. Inside10

    David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa

    Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam. Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka...
  20. Mkalukungone Mwamba

    CHADEMA Kanda ya Kati: Tunahitaji Tundu Lissu awe huru, Haki inachelewa kupatikana

    CHADEMA Dodoma Yatia Shaka Mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu 'Haki Inachelewa Kupatikana' wakiendelea kusema wanahitaji Mwenyekiti wao Tundu Lissu awe huru kwa sababu kesi iliyomuweka ndani mwaka mmoja na mwezi ni kesi ya kubabikiziwa. Hayo yamesemwa na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Ashura...
Back
Top Bottom