tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba watalaam wa pande zote Kenya na Tanzania musaidie. GDP inapatikanaje?

    Salamu wa JF. Naomba matusi yasiwepo. GDP (gross domestic product) inapatikanaje? Mpaka mashirika ya kimataifa wanatoa ripoti. Kwa upande wangu nikichukulia neno domestic product inakuwa na maana ya mazao yatokanao na uzalishaji wa ndani. Ninaomba kujua hao wataalamu wa mashirika ya kimataifa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

    1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais 2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT. 3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais. 4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili...
  3. JamiiForums Tanzania Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  4. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika isipokamilika, Tanzania kuwakilishwa na na timu 4?

    Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa. Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

    EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe, ======= Joint Statement by the European Union...
  6. JamiiForums Tanzania Zifahamu aina 4 za ubaguzi duniani

    Aina za ubaguzi duniani Ubaguzi ni hali ya mtu au kikundi cha watu kujiona ni bora zaidi na kuwachukulia wengine kama daraja la chini au kutokustahili haki fulani fulani. Kuna aina 4 za ubaguzi duniani kama zinavyofafanuliwa hapa chini: Ubaguzi wa rangi. Mfano ni ule uliopo USA dhidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Driver at Tanzania Social Action Fund (TASAF) - 2 Posts

    Tanzania Social Action Fund (TASAF) is currently implementing Productive Social Safety Net Program which aims at protecting the vulnerable poor households from severest consequences of poverty by implementing interventions that will lead to increased household incomes and opportunities while...
  8. JamiiForums Tanzania Halotel Tanzania jaribuni kuwa na aibu walau. Mnaibia wateja waziwazi kabisa!

    Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu. ''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Aga Khan University Tanzania branch

    Wakuu mwenye kufahamu ubora wa elimu wa hiki chuo hasa masters course.
  11. JamiiForums Tanzania Wallis Trading v Air Tanzania The Importance of Standard Lessee Representations and Warranties

    Aircraft leases typically include standard representations and warranties regarding: (i) the power and authority of the lessee to enter into the agreement and the transactions contemplated by the agreement; (ii) the agreement constituting the lessee’s legal and binding obligations; (iii) the...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bei za mazao mbalimbali katika maeneo tofauti ya Tanzania

    Habara wana JF, mimi nipo Mbeya ninaomba kujulishwa bei za mahindi na maharage Dar es salam, nitashukuru sana kama nita julishwa bei za mazao hayo asanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  14. JamiiForums Tanzania BoT: Coronavirus imeathiri uchumi wa Tanzania tangu Machi

    Katika ripoti ya uchumi iliyotolewa na Benki Kuu ikionyesha hali ya uchumi kwa mwaka ulioisha mwezi wa Aprili imeonyesha kuwa #COVID19 imesababisha uchumi kufanya vibaya Ripoti imesema #COVID19 imeharibu ualishaji na uhitaji (Supply and Demand) kutokana na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

    Serikali ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za sekondari itakaporidhisha. Serikali imetoa majibu hayo leo jumatatu tarehe 8 juni 2020 wakati ikijibu swali la...
  16. B

    JamiiForums Tanzania CORONA: Madereva wa Tanzania bado wanazuiwa mpakani, TATOA Watoa tamko

    June 8, 2020 Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) Tanzania Truck Owners Association :: Home wameonesha masikitiko yao kwa nchi jirani na Tanzania kufuatia muendelezo wa kuzuiliwa madereva wa malori wanaotoka Tanzania kuvuka mipaka kwa madai ya kuwa madereva hao wana maambukizi ya...
  17. JamiiForums Tanzania WORLD BANK: Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19

    WORLD BANK: #Tanzania economic growth will drop sharply to 2.5% in 2020 from the projected 6.9% by the government due to effects brought by COVID-19. There are risks for even slower growth if additional policy response is delayed, or the external environment does not improve...
  18. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

    Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya. Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Why I am running for the presidency of the United Republic of Tanzania

    WHY I AM RUNNING FOR THE PRESIDENCY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Fellow Countrymen and Women; Fellow Citizens of the United Republic of Tanzania, at home and in the Diaspora; Fellow leaders, members and supporters of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); and Friends of the...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania, a Nation at the Cross Road

    On 7 September 2017, Tundu Lissu, an opposition member of Parliament in Tanzania and outspoken critic of President John Magufuli, was gunned down and suffered multiple wounds in an assassination attempt. Now, he is announcing that he is running for president on 25 October 2020 and aims to use...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…