tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

    Kila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

    MPAKA wa Namanga upande wa Tanzania umesitisha shughuli zote za kibiashara na nchi jirani ya Kenya kwa muda kutokana na nchi hiyo kutoamini vyeti vya ugonjwa wa Covid -19 unaosababishwa na virusi vya corona vya madereva wa malori wa Tanzania vinavyoonyesha kuwa hawajaambukizwa. Mkuu wa Wilaya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna majaji wenye Intellect ya ku-handle kesi za Kikatiba

    Nilisema hakuna jaji wa ku-handle kesi ya Spika et al. Hakuna mwenye intellect wa ku-handle kesi kama hiyo! Kulita alikuwa juzi Magistrate courts anatoa hukumu za hovyo, leo unampa kesi inayohitaji high power mental reasoning faculties, hawezi hata kidogo! Angalia wenzao Kenya, level of...
  4. dubu

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways to restart flights to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020

    Dar es Salaam will be the airline’s first destination in Africa to resume scheduled flights Airline will operate three weekly flights with an Airbus A320 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to announce the airline will be resuming services to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020. The...
  5. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Tanzania

    Napenda jinsi Watanzania wanavyoipenda nchi yao, hata kama CCM inawatapeli kimaendeleo.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020. Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa. Je, Ataijibu...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Chief of Party (COP) at Tanzania Health Promotion Support (THPS)

    Tanzania Health Promotion Support (THPS) is an indigenous NGO established under nongovernmental organization act No 24 of 2002 in 2011. THPS works in partnership with the Ministries of Health Community Development Gender Elderly and Children (MoHCDGEC) and Regional Administration and Local...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kitu Tanzania lazima ununue kwa pesa tasilimu?

    Kwanini kila kitu huku kwetu Tanzania lazima mtu anunue kwa pesa tasilimu(cash money)? Tanzania ukitaka simu lazima uwe na cash, ukitaka gari lazima uwe na cash, ukitaka samani za ndani lazima uwe na cash money, yaani kila kitu ni cash. Vitu kama simu mitandao ya simu hua na offa ya mtu...
  10. Jile79

    JamiiForums Tanzania Haki ya kuandamana na tamko la Tanzania kuhusu maandamano Marekani!

    Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita. Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

    Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena. Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
  12. Teargass

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda - Tanzania pipeline is not Economically viable

    Cnooc questions investment in oil pipeline Cnooc workers in the field Cnooc Uganda Limited has up to the end of May to decide whether it will buy half of the stake from Tullow Oil Uganda, nearly three months after the Chinese company wrote to Uganda’s energy officials casting doubt about the...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  14. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu ya Bukoba imekaaje?

    Wakuu, hivi karibuni imeanza kuzoeleka kusikia mtangazaji wa Radio Maria akiitangaza Radio Mbiu ya Bukoba kama mshirika wake. Nachotatizwa hapa ni namna ya UHUSIANO kati ya radio hizi mbili kwani inajulikana Radio Maria Tanzania inaendeshwa kwa nguvu ya wasikilizaji kwa kutoa michango. Je...
  15. soine

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuenzi diplomasia: Mabalozi wa Nordic countries waahidi kuendelea kuimarisha mahusiano na Tanzania

    Ni jambo jema kuona bado kuna tumaini toka kwa wadau muhimu wa maendeleo na rafiki kwa Tanzania kutaka kuendelea kushirikiana na taifa letu la Tanzania kipindi ambacho kumekuwa na ukosoaji mkubwa wa mataifa ya magharibi na mashirika yake, na ingalipo changamoto na janga la corona ambalo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini waliobaki kwenye vituo vya matibabu imepungua mno. Akizungumza Leo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo amesema: “Tanga hatuna mgonjwa wa Corona, Amana wamebaki 3, Mloganzila 1, Kibaha 0...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

    Tanzania ni moja ya nchi chache Duniani zenye vivutia vingi sana vya utalii. Kwa Afrika ni nchi chache sana tunashindana nazo kwenye vivutio vya utalii. Kwa mfano mbuga za wanyama maarufu Duniani ya Kwanza ni serengeti ikifuatiwa kwa karibu sana na Kruger National Park ya Afrika Kusini...
  19. The Genius

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bibi Susana Benjamin Mmary, binadamu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani kutokea Tanzania

    Sherehe ya mwisho ya bibi Susana Benjamin Mmary imefanyika nyumbani kwake huko Old Moshi Kidia, baada ya BWANA kumuita akiwa na umri wa miaka 131. Ni bahati mbaya kwamba taasisi zinazotunza rekodi za dunia haziangalii sana Afrika, lakini kabla hajafariki alipaswa kuwa ndiye mwanadamu mwenye umri...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

    Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
Back
Top Bottom