Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Introduction
Accelerating the Sustainable Control and Elimination of NTDs (ASCEND) is a £200 million investment from the UK government’s Department for International Development (DFID), to advance the impact and sustainability of national programs tackling neglected tropical diseases (NTDs). To...
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.
Ndugu zangu habari za asubuhi!
Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini.
Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona.
Ameongeza...
Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo.
Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa...
Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za...
Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus.
Wachina bahada ya kugundua njama...
Tanzania abolishes Public Interest Litigation (A Comment on the Amendment of Basic Rights and Duties (Enforcement) Act (Cap. 3 of the Revised Laws of Tanzania)
By Issa G. Shivji Emeritus Professor of Public Law University of Dar es salaam The National Assembly of Tanzania on 10 June 2020...
Ndugu zangu wana jukwaa hebu tujadili pamoja jambo hili la Sukari kwa Tanzania na bei yake ambayo sasa ni kero kwa nchi nzima, tulishuhudia Waziri akitangaza bei elekezi lakini cha ajabu bei iko juu palepale kwa maana ya Tshs 3000 na kuendelea.
Sasa tuamini hii ni biashara ya vigogo wenyewe...
Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu.
Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu), mpaka mwisho wa mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi katika eneo hili ilikuwa...
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi nchini Tanzania. Kwa uchapakazi, uzalendo, uthubutu, ujasiri na Uungwana wa mheshimiwa Rais Magufuli, wananchi wengi ndani na nje ya bara la Afrika wanatamani sana angekuwa Rais wa nchi zao.
Kama taifa, ushahidi upo wazi katika kasi ya miundo mbinu ya maendeleo...
Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume...
Dear JFnetizens,
It is with deep sorrow that I write this piece of thread regarding the "dirty" status of the American Embassy in Tanzania and the EU after their articles of condemnation on the fabricated attack of the leader of the opposition party- Mbowe, A quick links to the articles of...
Habari wanaJF,
Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu.
Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
DOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa
DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee
DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni...
Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini?
Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM!
Wapo kula Rushwa!!
Wapo kutekeleza Mauaji!!!
Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!!
Polisi wanakodisha waarifu silaha!!!
Polisi wanawarubuni wake za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.