tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier (Lexus) Yenye miezi 8 Tanzania Inauzwa

    Gari hii ni ya mwaka 2004, ina miezi 8 hapa Tanzania. Kila kitu kiko vizuri. Ina Kilomita 76,000 Gari inapatikana Mbeya na niko tayari kuisafirisha kwenda popote Tanzania. Bei yake ni 23,500,000 Kwa wenye uhitaji wasiliana nami kwa sim 0746 267 740
  2. JamiiForums Tanzania Pendekezo kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Binafsi katika kupitia marejeo kadha wa kadha katika sura nzima ya siasa na ngazi za uongozi kiujumla serikalini.. Kuna haja ya kupitia suala la mishahara na mafao mengine wanayopatiwa viongozi wa kisiasa wakiwemo Wabunge Mawaziri Makatibu na Wakurugenzi wa idara mbalimbali serikalini.. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtia nia Jecha na Hoja ya Mwigulu Nchemba juu ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
  4. JamiiForums Tanzania Accountant at Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB) - 5 Posts

    The Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB) is a Government institution established through the Cereals and Other Produce Act No. 19 of 2009 to provide for promotion and development of cereals and other agricultural produce and to provide for other related matter. According to the act...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Cry my beloved Tanzania, cry!

    Siku hizi hakuna cha kustaajabisha kinachotoka kinywani mwa Mwenye nchi yake. Kilichonishangaza leo, ni roho iliniuma kwa niaba ya mamia ya vijana hapa nchini, ambao leo wameambiwa wazi kwa kila namna isipokuwa kwa maneno dhahiri, kuwa hapa nchini kuna anayetoa toa na kutwaa, anayepangia kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM kukata Majina, alichokisema Mh. Rais, demokrasia na hatma ya Tanzania

    Ijapokuwa demokrasia ndio mfumo wa siasa wenye ubore zaidi duniani hadi sasa ukilinganisha na mifumo mingine, hivyo kutufanya wengi wetu kuutetea mara kwa mara; kuna mambo kadhaa ya msingi tunapaswa kufahamu. Demokrasia kamili na uhuru katika hatua yake ya juu kabisa, vinafanya kazi kwa ufanisi...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa kutoka Madagascar na viroja vya watawala wa Tanzania

    Amani iwe nanyi Mtakumbuka raisi wenu mpendwa, mimi simo maana sipendi watawala, napenda viongozi tena wapenda haki na usawa yeye sio mmoja wapo. Raisi wa Tanzania ameshawahi kuuhadaa umma wa Watanzania kwamba kuna dawa ya Corona imepatikana huko Madagascar na kwamba dawa ile inatibu COVID 19...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

    Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge. Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank Report: Tanzania among bottom in EAC na SADC katika mazingira ya biashara

    Rwanda drops in ranking but remains top in region in ease of doing business A view of Kigali. Rwandaโ€™s reforms came in handy, making it even more investor-friendly. PHOTO | CYRIL NDEGEYA | NMG Rwanda has dropped in the World Bank Ease of Doing Business 2020 ranking to position 38 from 29...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

    Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi. Kama...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kwa Ukweli huu Kuntu wa Spika Ndugai lawama zetu tuzipeleke kwa Wabunge husika au Wapiga Kura Wao au Mfumo mzima wa Siasa za Tanzania?

    Ni ukweli usiopingika yapo mambo Watanzania hawayajui, ni kweli baadhi ya wabunge hasa hao wenye fujo, baadhi yao wanatumia dawa za kulevya, bangi na pombe kali. Anakuja pale si yeye, we unadhani ni yeye, kumbe si yeye, kwa hiyo ni tabu. Watu wa namna hiyo ukiwapa kamera ni tabu,- Spika wa...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tanzania yasalimu amri kwa Uganda pia, kila dereva lazima apimwe, hamna kucheka cheka

    Duh! Kumbe Watanzania walikua wamenunia na Waganda pia, hawa wenzetu diplomasia imewashinda, sasa ni mwendo wa full migogoro na majirani wote. Hii ni baada ya Tanzania kusalimu amri kwa Kenya na kukubali madereva wake kupimwa na Wakenya, sasa imetangazwa hata kwa Uganda mwendo ndio huo huo...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania finally surrenders to Kenya on the testing dispute at the border

    Just like I have been saying, Tanzania doesn`t have any weight that can shake Kenya. With all the noise and hullabaloo they made in their country sometimes back, they have realized the truth and accepted that drivers to be tested by Kenyan authorities. This shows how powerful Kenya is towards...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo katika nchi kumi bora zenye usalama kutembelewa barani afrika hasa katika utalii

    Africa's Safest Countries To Visit for 2019 1.๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ Rwanda 2.๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ Botswana 3.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡บ Mauritius 4.๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ Namibia 5.๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ Seychelles 6.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco 7.๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopia 8.๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ธ Lesotho 9.๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Zambia 10.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kenya Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
  18. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 4 duniani kwa Ugonjwa wa Sickle Cell. Nini kifanyike kukabiliana na ongezeko la ugonjwa huu?

    "Tanzania imetajwa kuwa ya 4 kwa ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) duniani, hali inayosababisha asilimia 7 ya vifo kila mwaka. Watoto elfu 11 huzaliwa Tanzania na ugonjwa wa Seli Mundu kila mwaka."- Waziri Ummy Mwalimu. ===== WAZIRI UMMY AZINDUA MWONGOZO WA MATIBABU YA SIKOSELI...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wintech Elevators Tanzania Ltd

    Wintech Elevators Tanzania Ltd ACCOUNTANT PERSON -( 1 Position ) QUALIFICATIONS: Holder of Form IV certificate, Diploma in Accounts, Diploma in Marketing reference to position. At least 2 years job experience in related course Able to drive motorcycle is an added advantage for account and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ