Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mkurugenzi Mkazi wa IMF Tanzania, Jens Reinke akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi leo katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania, Jens Reinke ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya...
Natambua kwamba kama taifa tunao wataalamu wa fani mbalimbali.
Natambua pia kwamba "Sciences" katika ujumla wake ni msingi wa mafanikio katika taifa lolote.
Kwa msingi huo basi naonelea itakuwa ni jambo jema kama taifa tukiwa na Tanzania Academy of Sciences ambayo itajikita zaidi katika...
Biashara nyingi za wafanyabiashara ngozi nyeusi hufa mwanzilishi akifa tofauti na za wahindi,waarabu na wapemba
Wahindi ndio wanaongoza duniani kwa uwezo mkubwa wa familia kuweza kuendesha biashara.
Nashauri wafanyabiashara wa ngozi nyeusi wapeleke watoto vyuo vikuu vya India wakachuke degree...
Fatma karume a.k.a shangazi anasema anastaafu uwakili kwa sababu ya mahakama zetu kutokujitambua baada ya kusimamishwa uwakili nakuitwa kwenye kamati ya nidham akiwa km wakili. Naakasema haendi ili waamue wanavyoamua
Hakuna asiyejua kuwa ndg yetu fatma karume ameamua kubwaga manyanga baada...
Namchukulia Rais Magufuli kama yule tembo katika hadithi ya vipofu ambao waliambiwa wampapase halafu waeleze tembo ni mnyama wa aina gani. Baada ya kumpapasa vipofu walianza kubishana na hata kukaribia kupigana, kila mmoja akidai yeye yuko sahihi katika kueleza tembo ni mnyama wa aina gani...
U.S. Senate Foreign Relations.
Yesterday's arrests of @zittokabwe, Tanzanian opposition party leader of @ACTwazalendo, and several members of his party reflect a deeply disturbing trend of opposition party leaders and journalists in #Tanzania being arrested on contrived charges leading up to...
What attracted my attention are these facts, from some paragraphs down on hotel rooms and revenue.
Tz has less than 10,000 rooms, na misifa yote kuhusu hotel industry!
"...with the number of hotel rooms in Tanzania projected to increase by 2.4 per cent from 7,800 in 2018 to 8,800 in 2023...
" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "
Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii
3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye sports extra.
2. Ananias Edgar Makaza zake nyingi nazipataga youtube nimemjulia huko.
1. Mtiga Abdala...
Jane Flanagan
Wednesday June 17 2020, 9.00am, The Times
Tanzania dissolved its parliament and set course for an election in October days after an opposition leader was badly beaten and laws were passed granting senior government figures immunity from prosecution.
There is growing concern that...
The Magufuli regime in #Tanzania “knows they cannot win on an equal political playing field ... They use any means necessary, including violence, to try to silence the opposition. This is a clear sign of weakness, not strength."
Fears that President Magufuli will create a dictatorship in...
Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN.
Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza.
Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
Hii ndio sababu kuu kuliko zote , hizo zingine ni porojo tu
Serikali ya awamu ya 5 kwa miaka yote iliyoingia madarakani imekuwa ikifungia Magazeti yote makini yanayokosoa utendaji mbovu , uonevu na ukiukwaji wa haki za binadamu uliokithiri kuliko wakati wote tangu wakoloni waondoke nchini...
Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi
Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
Gari hii ni ya mwaka 2004, ina miezi 8 hapa Tanzania. Kila kitu kiko vizuri. Ina Kilomita 76,000
Gari inapatikana Mbeya na niko tayari kuisafirisha kwenda popote Tanzania.
Bei yake ni 23,500,000
Kwa wenye uhitaji wasiliana nami kwa sim 0746 267 740
Binafsi katika kupitia marejeo kadha wa kadha katika sura nzima ya siasa na ngazi za uongozi kiujumla serikalini..
Kuna haja ya kupitia suala la mishahara na mafao mengine wanayopatiwa viongozi wa kisiasa wakiwemo
Wabunge
Mawaziri
Makatibu na
Wakurugenzi wa idara mbalimbali serikalini..
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.