tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salamu za Rambirambi za kifo cha Benjamin Mkapa toka kwa Rais Paul Kagame na Rais Yoweri Museveni zimenigusa sana

    Rais Yoweri Museveni (Uganda) " Niliondokewa na Baba yangu Mzee Mwalimu Nyerere nikalia sana na sasa nimeondokewa na Kaka yangu Mkapa nalia mno. Maelekezo mengi ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa akinipa katika Mapambano ya Kuikomboa Uganda alikuwa akimtuma Mkapa aniletee hivyo nimemjua Siku nyingi...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati nchi ya jirani imerekodi visa 15,601 vya korona, Tanzania inapaswa kuchukua tahadhari kwenye mipaka yake

    Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani. Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  4. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  5. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini

    Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla. Rais wa UTPC...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Chief Of Party at PSI Tanzania

    Who we are As the flagship global service delivery project of the U.S. President’s Malaria Initiative (PMI), the PMI Impact Malaria team works with national malaria programs to fight malaria and save lives by strengthening diagnosis, treatment, and drug-based prevention for those most at risk...
  7. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Benjamini Mkapa kamwambie Mwalimu Nyerere Tanzania iko salama

    Ni msiba mkubwa sana, kwa takribani miaka 20 tunapata simanzi kubwa ya kitaifa. Benjamini kamwambie Mwalimu Tanzania inakwenda vizuri kutimiza ndoto alizokuwa nazo Mwalimu, Hatutakukumbuka kwa kibinafsisha mashirika, kwa hotuba zako nzuri za kisomi na mpangilio nadhifu, hatutakukumbuka...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania The Economist: Takwimu za Tanzania zina shida

    MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU KILICHOANDIKWA > Mbali na COVID-19 kupiga nchi jirani ya Tanzania, huku IMF ikitabiri uchumi kushuka kwa 3.2%, Tanzania imetabiri uchumi kukua kwa 5.5% na ripoti ya WB imewapandisha kuwa uchumi mdogo wa kati. > Ni rahisi kuona upotoshaji wa takwimu kwa kuwa kuna anguko...
  9. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu Tanzania tunawapataje?

    Kuanzia 2017 niliandika Sana kuhusu aina ya Viongozi tunaowahitaji. Makala zangu asilimia tisini nililenga kuandaa watu kutambua aina ya Viongozi Bora hata kwa kuiga Kutoka mataifa yaliyoendelea. Kwa upande wangu nafikiri nilimaliza kabisa kila kitu katika kutoa Elimu ya Nini tufanye ili...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu Watanzania; Mbona mimi Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai

    Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne. Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo...
  12. comrade wetu

    JamiiForums Tanzania Shirika la Utangazaji la Voice of America lathibitisha Tanzania hakuna Corona na ni salama

    Shirika la Habari la Sauti ya America yaani VOA limethibitisha kwamba Tanzania ni salama na hakuna ugonjwa wa homa ya Virusi vya Homa ya Mapafu vinavyosababishwa na Virusi vya Corona ====== Can Tanzania Really Be Coronavirus-Free? DAR ES SALAAM, TANZANIA - Today I decided to do my own...
  13. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    “Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Moja ya Wilaya zilizosahaulika na masikini zaidi Tanzania

    Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni lini Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Kabudi itaanza Kutusambazia Watanzania Dawa zinazoponya CORONA kutoka Madagascar?

    Madagascar imeanza kuhaha kutafuta misaada toka Mashirika na Taasisi za Afya za Kimataifa kukabiliana na kuenea kwa kasi kwa wagonjwa wa Corona katika wiki za hivi karibuni. ITV Tanzania Kuna Watu walikuwa ' wanamshutumu ' mno Rais wa Marekani Trump alipotudharau na kutudihaki Waafrika wakati...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini website ya Tume/Sekretarieti ya ajira Tanzania (TPSRS) haipo kwenye freebasics.com ili kuwasaidia graduates wenye vipato vidogo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini website ya tume/sekretarieti ya ajira Tanzania(TPSRS) haipo kwenye freebasics.com ili kuwasaidia graduates...
  17. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

    Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki. Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
  18. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kimeondoa Corona Tanzania?

    Hello JF, Ningependa kujua out of curiosity, nini kimeiondoa corona Tanzania? Je, Nyungu ilisaidia? Watu kuhimizwa kula tangawizi na malimao? Na watu wakachukulia serious kula tangawizi na malimao. Hivyo miili yao ikajijenga ku-fight virus? Ama watu walichukulia serious kuosha mikono na kuvaa...
  19. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

    Jamiiforums is where we dare to talk openly! Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya kwako kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa Paulo Makonda!. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

    Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
Back
Top Bottom