tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. politicians

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

    Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  3. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

    Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu...
  4. Point of Sales

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninawezaje kupokea pesa zaidi ya milioni 100 kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

    Habari. Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa. Nahitaji mawazo yenu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu yetu Tanzania

    Habari za leo wanajamvi, pole na majukumu ya kila siku ya kulijenga Taifa letu. Nashauri wanafunzi wasome kuanzia darasa la 1 & 6, na wafundishe masomo matatu tu. Yaani Hisabati, Sayansi na Lugha. Na wahakikishe wanapowafundisha wanafunzi mfano somo la Hisabati, wajitahidi wawe wameandaa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbatia wa Mama Tanzania yupo wapi?

    Mbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima. Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maliasili asema kuleni nyama ya Mamba, ni tamu kinoma

    “Mamba ana nyama tamu sana, anzeni kula nyama yake badala ya kutegemea kitoweo cha samaki pekee” amesema Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu Amesema kuwa licha ya nyama hiyo kuwa tamu, lakini kwanza mvunaji wa mamba aombe kibali kutoka kwa maofisa wanyamapori cha kuwavuna...
  8. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Wajue wanaoitwa Mabeberu na mambo yao kwa Tanzania

    Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine. Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani? Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache. Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru...
  9. Teargass

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania has the lowest IQ in East Africa

    The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72. IQ which is a shortened...
  10. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana: Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15

    Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15 Background The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
  11. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Je, wasanii Watanzania wanaipenda CCM au ni njaa inawasumbua?

    Wasalaam, Kuna mambo mengine yanahitaji kufikiri kwa upana hasa kipindi hiki tunapoelelea katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Nimefatilia uzinduzi wa kampeni za CCM pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, nimeangalia nyuso za wasanii waliotumbuiza katika tamasha lile la CCM na kuona wengi...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda wasusia bidhaa za Tanzania na kufuata za Wakenya

    Sijajua nini kimeibuka nyuma ya pazia, ila Rwanda ambao hatuchangii mpaka nao wameipa Tanzania jirani wao kisogo na kufuata bidhaa za Kenya, jameni tuchangamkie hii fursa kiunyang'au, ni vyema sasa bandari ya Kisumu imeboreshwa .....baba lao Afrika Mashariki ==== Rwanda government has imposed...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza TCRA wapige marufuku matangazo ya BBC nchini Tanzania. Wameitukana kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

    Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi. Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
  14. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

    Wakuu, Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA. Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa. Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
  15. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Kila ukifika Uchaguzi MKuu wa Tanzania huwa nayakumbuka maneno ya Hayati Jomo Kenyatta

    Ndugu zangu wana JF,uhuru amani na haki viwe pamoja nanyi. Kwa kweli kila ikikaribia uchaguzi Mkuu wa nchi yetu ukiangalia mwenendo wa kijamii, kiuchumi na kisiasa wa nchi yetu huwa nakumbuka Nukuu ya Hayati Jomo Kenyatta alivyomwambia Mwl.Nyerere. "Jomo kinyata alimwambia Nyerere mimi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Pemba ni sehemu ya Tanzania, kikinuka huko kimenuka Tanzania nzima

    Kamanda Siro alisema tume inawasababishia na kuwapa wakati mgumu. WaTanzania sasa tunaelekea kule ambako vyombo vya ulinzi huenda mwisho wake vikaungana na wananchi, jambo ambalo limeonekana nchi nyingi, haiwezekani utumie vyombo vya ulinzi kuteketeza wananchi, wananchi ambao ndio wanaounda...
  17. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku mpiganaji mtulivu, mchokozi wa ngumi zitakazo kuweka kwenye kumi na nane yake

    TWAHA KIDUKU: MPIGANAJI BORA WA NDONDI KWA SASA TANZANIA. Leo 21:30 hrs 29/08/2020 Twaha Kiduku mpiganaji mtulivu,mchokozi wa ngumi zitakazo kuweka kwenye kumi na nane yake ambayo itakukutanisha na jebu moja matata ya mkono wa kulia toka kwenye mwili uliojaa kwa mazoezi ya tofali na kusukuma...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya ya Taifa (NIHF) ni wauaji wakubwa wa jamii ya Tanzania

    1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali 2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc. Mfano mdogo ni huu: Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
  19. ighaghe

    JamiiForums Tanzania Tanzania magari yaliyotumika nchini yanauzwa bei kubwa kulinganisha na iliyotumika nje

    Nilikuwa namsaidia mtu kutafuta ist au raum au run x iliyotumika nchini, bajeti ilikuwa 6.5 to 7m. Nikajisemea kwa bei hii atapata gari ambayo itakuwa imetumika mwaka au miaka miwili nchini na itakuwa nzuri tu. Matokeo yalinishangaza kidogo. Ukitaka kununua Gari iliyotumika hata 5 years nchini...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama 'hoja' hii ningeisikia kutoka kwa mangumbaru (wajinga) nisingeishangaa, ila inanisikitisha naisikia kutoka kwa werevu (wasomi) wa Tanzania

    Yaani kila wakati tu wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania na hasa zile ambazo huwa zinamuhusisha Mgombea Urais utawasikia Watu seheme mbalimbali wakisema kuwa CCM 'inakodisha' Watu na mara tena utasikia kuwa CCM 'inawahonga' Watu Pesa ili 'Kujaza' Mikutano yao kwa 'Kigezo' kwamba bila ya...
Back
Top Bottom