tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya hawa kuwa wanafiki dhidi ya Tanzania kwa muda mrefu, wameanza kusalimu amri

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa neema ya kuiona siku ya leo. Katika jitihada za kupambana na janga la Korona na hasa baada ya Mh. Magufuli kutuasa watanzania tumkimbilie Mungu na kutueleza tusiogope na tuweke tumaini kwa MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tutavikumbuka Vyombo vya Habari Tanzania na baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kuliaibisha Taifa 2020

    Kwakweli katika mambo ambayo naona ni doa kubwa katika Nchi yetu kwa mwaka huu wa 2020 na pengine miaka hii mitano yote ya utawala wa Rais Magufuli ni namna viongozi wa dini walivyoufyata mkia mbele ya dola kandamizi. Ukiwatoa viongozi wachache Kama MWAMAKULA na BAGONZA pengine na wachache...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

    Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na kumpa nchi mtu asiyestahili, katili na mwenye visasi vya hovyo sana ambavyo havijawahi kutokea kwenye...
  4. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CCM 2020: Tanzania bado haijafikia Uchumi wa Kati

    My take: Zile mbwembwe zote kumbe ni danganya toto
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kampuni inayofanya CoPacking (kufunga bidhaa kwa kulipia) Tanzania

    Je kuna kampuni ambayo naweza kuja na bidhaa mfano viungo na wao wakawa wanazifungasha ili mimi nichukue kutoka kwao bidhaa iliyokamilika? Inaitwa Copacking kwa kiingereza maelezo link:
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa kuelekea Bima ya Afya kwa wote chini ya Magufuli

    Serikali ya CCM imepiga hatua kubwa sana katika kuelekea lengo la Bima ya Afya kwa wote. Japo suala hili limeibuka kwa kasi katika kipindi cha kampeni mwaka huu natumaini Watanzania wenzangu mtakubaliana nami kwamba Serikali imekwisha piga hatua kubwa sana kuelekea katika bima ya Afya kwa wote...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Research Guidance and and Supervision for Master and PhD Students in Tanzania

    The above matter refers. I am writing here to invite all Master and PhD students who are pursuing various degree Programmes, and are struggling with their research proposal, writing their academic work (thesis or Dissertation). I know that most of the Universities in Tanzania they teach...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Dhahabu yaanza kuleta manufaa Tanzania, yaupiku utalii

    Tanzania reaps big as global gold prices soar to 9-year highs Dar es Salaam. The rising prices of gold on the international market good news for Tanzania - what with latest figures showing that the country’s foreign exchange earnings from the mineral rose by close to $1 billion in...
  9. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Watanzania waandamana
  10. C

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais Magufuli kujimwambafai kujenga barabara na madaraja, hivi ndiyo nchi beberu inavyowashauri raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania

    Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri. Kiswahili Hali ya barabara nchini Tanzania "Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

    Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu. Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inunue ndege? Soma hoja kuu hizi nne...

    KWANINI TANZANIA INUNUE NDEGE? Na Bwanku M Bwanku Kuingia madarakani kwa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt John Pombe Magufuli kulifungua ukurasa mwingine mpya kwenye sekta ya usafiri wa anga baada ya nguvu kubwa ya Serikali kulifufua shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ambalo kwa miaka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC lindeni heshima kidogo ya Tanzania iliyobaki. Kwa sasa zingatieni mambo makubwa mawili

    Mada inahusika. Tukiwa katikati ya mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu, Tanzania iko katika mstari mwembamba sana wa kutunza historia yake ya utulivu, amani na umoja kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki. Baada ya uchaguzi wa 2015, yaliyotokea hapo katikati hadi 2020 kwa upande wa umoja wetu...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Bi Kidude ni mwanamuziki nguli na shujaa, anasifika dunia nzima na ni fahari ya Tanzania. Gwajima alikosea sana

    Nimesikia hotuba ya Gwajima akimtaja Bi Kidude kwa namna ya dharau na kutompa heshima yake. Bibi huyu alikuwa na historia kubwa sana na mpaka sasa ipo, na hakuna anayeweza kuivunja,walau kwa sasa. Mpaka wasanii wa bongo fleva walikuwa wanapigana vikumbo kuomba kuimba naye,marais walimpa heshima...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Tanzania limekana madai kwamba limekuwa likihusika katika mzozo wa kivita unaoendelea nchini Msumbiji

    Akizungumza na BBC kwa njia ya simu msemaji wa jeshi hilo, Luteni kanali Juma Sipe amesema kwamba habari hizo ni uvumi uliozagaa katika vyombo vya habari na kwamba hazina ukweli wowote. Matamshi yake yanajiri kufuatia madai ya kundi la Islamic State kwamba liliwauwa wanajeshi 20 wa Tanzania...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna shule yoyote ya Msingi au Sekondari inayofundisha kwa mfumo wa "Project Based Learning" nchini Tanzania?

    Salaam wadau, Nimekuwa navutiwa sana na utoaji wa elimu kwa njia ya project-based learning, kwa jinsi inavyoweza kuwajenga watoto kuwa na uelewa wa hali juu ma vitu wanavyojifunza na mazingira yao. Mfano kama hawa 3rd graders Marekani. STEAM + Project-Based Learning: Real Solutions From...
  17. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Kidijitali ilivyo fursa ya kukuza uchumi endelevu Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa linalokuwa kwa kasi kwenye eneo la teknolojia ya kidijitali Afrika Mashariki. Ni wazi kuwa ukuaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kufungua fursa mbalimbali za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania China kujenga kambi za kijeshi ndani ya Tanzania na Kenya

    China 'kujenga' kambi za kijeshi Tanzania na Kenya Jeshi la China Getty ImagesCopyright: Getty Images China inafikiria kujenga kambi za kijeshi katika nchi nne za Afrika, kwa mujibu wa ripoti ya idara ya ulinzi ya Marekani. Tanzania, Kenya, Ushelisheli na Angola zimetajwa kuwa miongoni mwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 BAWACHA amkeni, uwezo wa kumfanya Tundu Lissu awe Rais wa Tanzania uko mikononi mwenu kwa sasa

    Hatari Wana JF, Baada ya takribani siku kumi za amshaamsha ya mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ndugu Tundu Lissu kuigongesha CCM na mgombea wake kwenye majukukwa ya kampeni, ni dhahiri kuwa Magufuli na CCM yake waweza kuwa chama cha upinzani kwa Mara ya Kwanza katika historia ya taifa...
  20. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Academic weapon, weapon of propaganda, ugonjwa wa uongo ambao wazungu wameuleta Tanzania

    Leo 17:55hrs 06/09/2020 Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika, dunia ikapoteza mainjia wa daraja la juu, wasomi wa daraja la sita, Maguru wa elimu, Academician wenye...
Back
Top Bottom