tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania: Nafasi za Ajira ya Ualimu 13,000, waliotuma maombi kuziomba wafikia 80,000+ hadi leo!

    Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana. Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 kutokana na uwekezaji wa mafuta

    Makubaliano ya bomba la mafuta: Tanzania kujipatia faida ya asilimia 60 nayo Uganda ikipata asilimia 40 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika picha ya awali Viongozi wa Tanzania na Uganda hatimaye wamekubaliana kuhusu ujenzi wa bomba la...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania sign Agreement with Uganda to construct Crude oil pipeline

    Credit: George Obulutsa; Editing by Susan Fenton NAIROBI (Reuters) - Tanzania and Uganda signed an agreement on Sunday paving the way for the construction of a crude oil pipeline running from Ugandan oilfields to the Tanzanian port of Tanga, a Tanzanian government spokesman said. Uganda...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bomba la Mafuta: Ziara ya Rais Museveni nchini Tanzania - Septemba 13, 2020

    Rais Museveni ametembelea tanzania Kikazi === Rais John Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wamesaini makubaliano ya kuanza ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga, Tanzania Rais Magufuli: Tumeshuhudia uwekaji wa saini wa ujenzi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote! Tukikupa uongozi ukumbuke ni neema tu za Mungu

    Tanzania ni yetu sote na tusifike mahali vyeo vyetu na nafasi kuwafanya watu wajisikie wakimbizi ama wasio na haki na taifa lao. Mimi ni mtanzania kitovu changu kipo tanzania na nitafia tanzania hiyo ndio silaha pekee kwa kila mwenye pumzi ndani ya taifa hili. Wapo viongozi wanataka kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Lipumba kuunguruma leo Morogoro mjini

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo septemba 12, 2020 atafanya mkutano wa kampeni Leo Morogoro mjini. CHAGUE CUF, MCHAGUE PROF. LIPUMBA KUWA RAIS.
  8. JamiiForums Tanzania IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia. Je, wewe unasemaje? Tuwasaidie watakao drop baadae😊
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na wanasiasa wake vituko kweli

    Wasalaam wanajf ,nikitambo kidogo kimepita bila ya kuwemo humu basi natumai mu wazima wote. Leo nikiwa mjini bana kuna katukio kamenifurahisha na kuniacha mdomo wazi kwa kweli. Nimewakuta vijana wakiwa wanabishana wenyewe kuhusu hawa wanasiasa wetu wanaoonekana kila baada ya miaka5 . Aise...
  10. JamiiForums Tanzania Nikizithibitisha tu hizi 'Njama' nilizotaarifiwa kufanywa na Chama 'fulani' natangaza rasmi Kuachana 'Kukishabikia' na 'Siasa' za Tanzania

    Mpaka Saa Tatu (3) ya leo GENTAMYCINE nitakuwa nimeshapata 'Uthibitisho' wa 'Njama' za Kipumbavu (Kijuha) ambazo 'nimedokezwa' kuwa zinafanywa na Chama changu 'Shabiki' kabisa nchini Tanzania. Taarifa nilizozipata ni kwamba Chama changu 'Shabiki' hicho kupitia 'Watendaji' wake kinazunguka Usiku...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa Tuzo za Muziki Tanzania "Tanzania Music Awards"

    HISTORIA YA MWANZILISHI WA TUZO ZA "TANZANIA MUSIC AWARD" Historia ya shujaa SOMA HISTORIA YA SHUJAA HUYU WA BONGO FLEVA ALIYESAHAULIKA JAMES Dandu ‘Mtoto wa Dandu’ siyo jina geni katika gemu la Bongo Fleva lakini ni wangapi wanamkumbuka na wanautambua mchango wake katika gemu la Bongo Fleva...
  12. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mgodi Petra washutumiwa kupiga watu risasi na kuua, kuendesha kituo cha utesaji mgodini na kuwafunga pingu wagonjwa hospitali ya Mwadui

    Taarifa ya RAID, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Uingereza ambalo linajishughulisha na kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu, limebaini kutendeka kwa vitendo vya kidhalimu katika Mgodi wa Petra Diamonds uliopo Shinyanga Kwa mujibu wa taarifa yake, shirika hilo limefanya...
  13. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Biashara kwenye TV Tanzania

    Nimeona kama vile makampuni ya kutengeza matangazo ya TV bado hayajapata wataalamu wazuri. Matangazo mengi ya biashara kwenye TV huwa ya kupayuka sana tena kwa sauti za juu sana inabidi mtu upunguze volume. Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?
  14. JamiiForums Tanzania Kikatiba: Rais wa Tanzania hashtakiwi, lakini hana kinga dhidi ya yafuatayo...

    Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Due to political situation since 2015 and the current situation, we should declare that Tanzania has Strong political Oppositions

    Mazingira yalikuwa Ni mtu au chama kimoja kufanya shughuli za kisiasa kwa Uhuru, huku vyama vingine vikikatazwa kufanya siasa Hadi uchaguzi mwingine utakapowaidia. Cha kushangaza bado CCM imepata changamoto Sana kwenye kufanya kampuni za kuwanadi wagombea wao na pia Wana wasiwasi ya kupoteza...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa? Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine. Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama...
  17. JamiiForums Tanzania Mipango miji Tanzania

    Habari wanajamvi? Nachukua fursa hii ili tuweze kujadili kwa pamoja hoja husika kuhusu wizara husika kwa upande wa mipango miji kwa nchi yetu ya Tanzania." kwanza niipongeze Wizara kwa kujitahidi kusimamia utendaji wao japo si kwa kiasi kikubwa. Kutokana na uzalendo na kupenda mandeleo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya hawa kuwa wanafiki dhidi ya Tanzania kwa muda mrefu, wameanza kusalimu amri

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa neema ya kuiona siku ya leo. Katika jitihada za kupambana na janga la Korona na hasa baada ya Mh. Magufuli kutuasa watanzania tumkimbilie Mungu na kutueleza tusiogope na tuweke tumaini kwa MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA...
  19. JamiiForums Tanzania Tutavikumbuka Vyombo vya Habari Tanzania na baadhi ya Viongozi wa Dini kwa kuliaibisha Taifa 2020

    Kwakweli katika mambo ambayo naona ni doa kubwa katika Nchi yetu kwa mwaka huu wa 2020 na pengine miaka hii mitano yote ya utawala wa Rais Magufuli ni namna viongozi wa dini walivyoufyata mkia mbele ya dola kandamizi. Ukiwatoa viongozi wachache Kama MWAMAKULA na BAGONZA pengine na wachache...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

    Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na kumpa nchi mtu asiyestahili, katili na mwenye visasi vya hovyo sana ambavyo havijawahi kutokea kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…