tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

    Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele. ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni...
  2. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa imara na tuna Kiongozi imara. Hoja za Bunge la EU zinajibika kwa Hoja

    Salaam wana JF, Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Kubabaika: Kaulizwa Rais wa EU, anajibu Balozi wa Tanzania

    Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli. Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mwenyekiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Vita ya kiuchumi na nchi yoyote, ila ina Vita vya kiroho

    Viongozi wa nchi, na viongozi wa CCM Mara nyingi wamesikika wakisema eti nchi yetu iko kwenye vita vya kiuchumi, ina pambana na mabeberu. Huuu Ni utopolo daraja la Kwanza, unapambanaje na mbuzi? Kama mabeberu ni nchi hisani unapambanaje na anayekupa msosi? Hebu fikiria uchumi wetu ulivyo, yaani...
  5. Securelens

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  6. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Waliokufa kwa maandamano waongezeka, Jeshi latoa tamko

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano na vurugu nchini Uganda wanaodai Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine aachiwe huru imeongezeka na kufikia 37, kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi nchini humo. Polisi walimkamata Bobi Wine Jumatano wiki hii katika mji wa Luuka...
  7. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DMU za zamani Kenya kutoza nauli mara 4 ya Modern BRT ya Tanzania

    Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Total yazidi kufanya mambo kwa ajili ya Watanzania! Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja; mteja ni mshirika

    Wanabodi, Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, akizungumza katika hafla ya kuzindua wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020, katika kituo cha mafuta cha Total Africana, kilichopo êneo la Africana, Mbezi...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

    Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wimbo mahsusi kwa maafande juu ya uonevu wao

    Sio kila amri mnatakiwa kuitekeleza. Maisha yana leo na kesho. Acheni kutumiwa na wanasiasa.
  11. Naton Jr

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

    Hakuna muda wa kulala Hakuna muda wa kupoteza Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo Matumizi sahihi ya Rasilimali...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Amnesty International: Tanzania must immediately launch independent, impartial and thorough investigations into all allegations of killings

    Tanzania: Killings, arbitrary detention and torture of opposition members in aftermath of elections 20 November 2020, 12:00 UTC Tanzanian authorities must launch a prompt, thorough and independent investigation into allegations of unlawful killings and torture of opposition members and...
  14. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania On safari in Tanzania, the country that tackled Covid with lemon, ginger and prayer

    By Sarah Marshall 20 November 2020 'I witnessed scenes I’d long forgotten: crowded market stalls; bars spilling with noisy revellers; friends greeting each other with hugs' Early in the pandemic, President John Magufuli made the controversial decision to ignore lockdowns, leading the country...
  15. LENGISHO

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashtakiwa kwa kuzuia wasichana wajawazito kuendelea na masomo

    Taasisi ya kimataifa ya kutetea haki za wanawake, Equality Now ikishirikiana na washirika wake nchini Tanzania, wamewasilisha kesi dhidi ya serikali ya Tanzania katika mahakama moja ya Afrika inayoshughulikia masuala ya kibinadamu na haki baada ya nchi hiyo kuweka marufuku kwa wasichana...
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania David McAllister hajawahi kuipenda Serikali ya Tanzania "Ni vita ya uchumi"

    TUSIHOFU, HII NDO VITA YA KIUCHUMI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana kumezuka mtifuano mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kile kilichoelezwa kuwa ni maazimio ya bunge la EU kwa Tanzania. Lakini baada ya ufafanuzi wa Balozi wa Tanzania juu ya wapotoshaji hali imetengamaa. Lakini pamoja na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kwa Umma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro atakutana na mwenzake wa Msumbiji leo Mkoani Mtwara

    Wakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.
  18. Securelens

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

    Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Giuliani kaitolea mfano Tanzania kwamba, waangalizi huwa hawatolewi nje ya vyumba vya kuhesabia kura

    Nasikiliza kipindi cha Rush Limbaugh hapa, kama ilivyo ada. Mara Rush amekatisha kipindi na kujiunga na press conference ya Rudy Giuliani kutoa updates za kesi za madai ya Trump kuhusu voter fraud. Giuliani kaitolea mfano Tanzania, kwamba, ‘even in Tanzania’, waangalizi huwa hawatolewi nje ya...
  20. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Rais Dkt. Magufuli ndio maarufu zaidi Duniani

    Wakuu, Haya ni maono binafsi kwa rejea za USA Senate, EU council, wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi 1. Kati ya nchi inayotajwa zaidi duniani kwa sasa na mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni TANZANIIA 1. Kati ya Marais wanayeongelewa na watu...
Back
Top Bottom