tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Makala Niliyosoma: Tanzania inavyotaka kuingia kwenye chumba kinachokimbiwa na Wakenya

    Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi. Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
  2. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Wakuu, Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania. 1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  4. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania Tanzania katika huduma za Afya za kibingwa, haina mpinzani ukanda huu

    MY TAKE: Wakati Kenya wanafurahia kufanya operations bila mgonjwa kulala usingizi, Tanzania tupo miaka 50 mbele ya Kenya. Jambo moja muhimu na tofauti kubwa ni kwamba, Tanzania Hospital bora zenye kufanya haya maajabu ni Hospitali za serikali wakati Kenya ni Private Hospitals, sio zaidi ya 5%...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

    Jimbo la Tigray Ethiopia kuna vita wanasiasa wakora wanataka kujitenga, jimbo la Kaduna kule Nigeria wakora wanataka kujitenga, kule Kabregado Msumbiji wanataka kujitenga, Katalunha Hispania wahuni wanataka kujitenga. Kumbe hata Tanzania tukianzisha utawala wa majimbo huenda kutakuwa na majimbo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Aikael Mbowe, Freeman Mwamba wa Tanzania

    Ameunguruma Simba, Nchi imetetemeka Manyang'au yamevimba, Aibu imewashika Yalijiona miamba, Ile isiyovunjika Hongera sana Mbowe, Wewe ni mtu makini Hawa watu waonevu, Ni watu waso na soni Matendo yao uovu, Na ghiliba za shetani Mipango yao mibovu, Kaivunja Freemani Hongera sana Mbowe, Wewe ni...
  7. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Berlin set to name street after Tanzania independence heroine Lucky Lameck

    A street in Berlin, Germany, is to be renamed at the beginning of 2021 after Tanzanian politician and leading female activist Lucy Lameck. Councilors in the German capital voted on Wednesday to replace the street name — Wissmannstraße — which honors colonialist Hermann von Wissmann. Wissmann was...
  8. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna biashara zenye mfumo wa chain?

    Kwanini hatuna biashara ambayo unaweza ikuta imeenea nchi nzima? Mfano biashara za wenzetu kama walmart au unakuta kuna pharmacy zimejaa nchi nzima kama Walgreens au CVS. Unakuta kuna maduka ya electronics, vinywwji. nguo au spare parts yamesambaa nchi nzima. Yanatumia brand moja na quality ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda lakabiliwa na changamoto za kisheria

    Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni ===== Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria. Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na...
  11. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumepiga hatua kwenye masoko ya dhahabu bado katika Gold reserve

    Itakuwa vema sana kwa awamu hii ya mwisho ya Rais Magufuli akaanzisha Gold reserve ili ziwe zinanunua dhahabu na gamestone na kuzihifadhi kama ilivyo kwa wenzetu mabeberu walioendelea faida zipo sitaweka hapa list of gold reserve in the world...
  12. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa Elimu Tanzania

    Habari ndugu zangu. Kwa machozi mengi naandika juu ya jambo hili. Mimi Ni mmoja kati ya wahitimu katika kozi ya "DIPLOMA IN TECHNICAL EDUCATION" 2019 katika chuo Cha Ualimu Kleruu. Nia yangu ilikuwa Ni kuendelea katika ngazi ya juu Zaidi ya Elimu, lakini , nimepambana kwa nguvu zote nikaomba...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya mishahara kwa Watumishi Tanzania

    Yafuatayo ni mapendekezo yangu kwa serikali kuhusu viwango vya mishahara vya watumishi wa umma. 1. Watumishi wenye stashahada/diploma basic salary iwe 1,200,000/= 2. Watumishi wote wenye shahada ya kwanza\degree basic iwe 1,700,000/= 3. Masters na PH D, hizi ziachwe tu kwenye vyuo vikuu na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KCB signs deal to buy two banks in Rwanda, Tanzania

    KCB Group has signed a deal with London-listed financial services firm Atlas Mara Limited to buy stakes in it's banking units in Rwanda and Tanzania, its chief executive Joshua Oigara announced on Thursday. The proposed transaction will see Kenya’s biggest lender by assets acquire Banque...
  17. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB Group to acquire more banks in Tanzania and Rwanda

    KCB Group CEO Joshua Oigara NAIROBI, KENYA: KCB Group Plc (KCB) and Atlas Mara (ATMA) have signed a definitive agreement which will see the bank increase its footprint within the region. This is through the acquisition of a 62.06 per cent stake in Banque Populaire du Rwanda Plc (BPR) and a 100...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo. Uamuzi huo ulichukuliwa naOAU huko Burkina Faso, mnamo Juni 1998 ukapata nguvu ya kisheria tarehe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inavyotaka kuingia kwenye chumba kinachokimbiwa na Wakenya

    Katika agenda tisa zilizosababisha kuundwa kwa tume ya kusaka maoni ya maridhiano, mradi ukipewa jina la Mpango wa Kujenga Daraja, yaani Building Bridge Initiative (BBI) Kenya, nyingi zinaihusu na Tanzania, lakini ipo kubwa zaidi. Moja ya agenda ambazo zilibebwa ili kuzitafutia ufumbuzi ni...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020?

    Kuna vitu vinatufanya sisi wananchi tufanye hitimisho kuwa viongozi wakuu wa upinzani ni wabinafsi wanaojali matumbo yao tu. Twende kwenye swali husika ambalo linavijiswali vidogo ndani yake; - Kwanini mliususia Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na mkakubali kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020...
Back
Top Bottom