tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  3. JamiiForums Tanzania 4 New Jobs At StarTimes Tanzania, January 2021- Shop Manager

    Job Title: Shop Manager - (4 Posts) Department: Operations Locations: Dar and Other Regions Reports To: Operations Manager/ Operations Director Job Purpose We are hiring Shop Managers to manage our Startimes Shops daily in office Operations, Sales Volume, Customer queries and Complaints. The...
  4. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

    Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt...
  5. JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi huu usiovumilika na uliovuka Kiwango unapatikana katika Soka la Tanzania tu duniani kote

    Kaimu Kocha wa Simba SC Selemani Matola mara baada ya Michuano ya Mapinduzi Cup alipohojiwa na Press alisema kuwa amewapa Wachezaji likizo mpaka Ijumaa ya Wiki hii (22 January 2021) kisha watarejea Mazoezini upesi sana ili kujiandaa kikamilifu kabisa na Michezo Klabu Bingwa ambayo inaanza mapema...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  8. JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa tumepata The Kadarshian Family Tanzania version

    Familia ya Kadarshian haiishi vituko , mara baba ameamua kuvaa magauni. Sasa ni wazi tuna version yetu Tanzania.
  9. JamiiForums Tanzania Air Tanzania ingeshusha viwango vya nauli, tungesafirisha Watanzania wengi ndani na nje ya nchi

    Salaam Great Thinkers, Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria. Miongoni mwa changamoto hizo...
  10. JamiiForums Tanzania Wale amabo wana "Pride" na Weusi wao, Utanzania, Uafrika, Uswahili yani "Nationalist": tujuane hapa kwani nahisi nipo peke yangu Tanzania nzima

    Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi" Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!! Tunasikia, ndani ya lugha ya kiswahili, ngozi ngeni zikisifiwa: "flani flani ana mzuri kweli kwani ana-asili ya kihindi"...
  11. JamiiForums Tanzania Wachaga ni moja ya kabila lenye dialects nyingi Tanzania

    Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana Kirombo Kimarangu Ki-uru Kikibosho Kimachame Kisanya Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio Wachagga. Kimeru Kigweno Mfano: Msanya ni ngumu sana kumsema Mmeru, na Mmarangu ni ngumu...
  12. JamiiForums Tanzania Naanza kuiona Tanzania iliyobadilika. Watanzania hawasikilizi propaganda za uongo za Wapinzani

    Watanzania sio wajinga, ukija na hoja za kitoto wanakusikiliza kisa wanapima unachosema. Hakuna ubishi kuwa upinzani hapa Tanzani ulipata nguvu sababu ya makosa ya Ccm kama chama tawala kuruhusu ufisadi. Nani asiyekumbuka kuwa Lyatonga Mrema alipata kiki baada ya kuibua ufisadi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa UNICEF Tanzania

    Salaam Watanzania! Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF. Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto. Kwenye hii kampeni tulitambulika...
  14. JamiiForums Tanzania Kiribati kisiwa nchi Pacific kitakachozama miaka hamsini

    Mzuqa wanaJF! Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni. This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level. Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
  15. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia kutoa dola za Kimarekani Mil 425, kuboresha Elimu ya Juu Tanzania ili kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi

    Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Yanayofanyika Chato yanafanyika kote Nchini Tanzania

    Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly) Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na maendeleo ya vitu na watu, hivi sasa kila ukipita kwenye maeneo mengi nchini utakutana na ama...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni la kibeberu linajiandaa na kuleta kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence. ======== Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania Jan 11, 2021 Montero has...
  18. JamiiForums Tanzania Mechi ya kirafiki: Tanzania na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo zimetoka sare ya kufungana 1 -1

    Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121. === Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon Tanzania and DR Congo settled to a 1-1 draw in an international friendly game played at the Benjamin Mkapa...
  19. JamiiForums Tanzania Pan-Africanist, Mapinduzi ya Zanzibar, Muungano wa Tanzania kuelekea Muungano wa Afrika

    PAN AFRICANIST,MAPINDUZI YA ZANZIBAR,MUUNGANO WA TANZANIA KUELEKEA MUUNGANO WA AFRIKA. Leo 13:00hrs 12/01/2021 Pan Afrikanist,Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika,na hatimaye Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndiye Pan Afrikanist mbeba maono aliyebuni na...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Madini ya Montero kuishitaki Serikali ya Tanzania ikidai fidia kwa mradi wa Wigu Hill

    Naona Mabeberu yameingia kazini tena. Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…