tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  2. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

    Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI. Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa! Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Malighafi zinazotumika Tanzania kutengeneza barakoa zinatoka nje au zinazalishwa na rasilimali zetu?

    Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu. Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au tunaagiza? Kama zinazalishwa ndani wamiliki wa kiwanda ni wazalendo wenzetu au ni ndugu zetu wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Car Insurer anayelipa kwa haraka hapa Tanzania

    Wakuu naomba kutoa malalamiko yangu kwa insurer X ambae amehold kutoa approval ya matengenezo ya gari yangu wakati kila kitu kipo mezani kwake wiki ya 3 hiii. Gari yangu ilikuwa na comprehensive insurance na ilipata ajali ya kawaida na imediately nilikamilisha taarifa za polisi ikiwa ni pamoja...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Utendaji mzuri wa Serkali ya awamu ya tano umebadili siasa za Tanzania

    Kwa ujumla sitaki kujikita zaidi kuelezea juu ya namna gani utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano umeweza kuleta mabadiliko katika ukusanyaji mapato, kudhibiti mianya ya rushwa na kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma. Najua kila mtu anajua kuwa watu waligeuka michwa ya kutafuna...
  6. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania AFCON U-20: Je, Tanzania itafuzu hatua ya robo fainali?

    Michezo ya kundi C AFCON U20 kupigwa hii leo, ambapo Morocco itakutana na Tanzania huku Ghana ikikipiga dhidi ya Gambia. Hii ni michezo ya mwisho ambayo itaamua ni timu zipi zitasonga mbele katika hatua ya robo fainali. Ikiwa Tanzania itashinda mchezo dhidi ya Morocco na Gambia kuishinda...
  7. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania bara: Azam kumenyana na Tanzania Prisons

    Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa Septemba 26, 2020, katika mchezo ambao Azam ilikuwa ugenini na kufanikiwa kujiwekea kibindoni alama 3...
  8. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    JamiiForums Tanzania Je, Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu watoa huduma kupandisha bei ya huduma?

    Habarini Wana Jamvi, Binafsi ninasikitishwa sana na watoa huduma mbalimbali pamoja na wauzaji wa bidhaa mbalimbali kuhusu upandishaji wa Bei za huduma na vitu kiholela na bila taarifa, unajikuta leo ulipata huduma kwa Bei hii, kesho ukifika umejipanga kwa Bei uliyouziwa Jana lakini cha ajabu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mzee wa 'Mama Tanzania' yupo kimya sana tangu uishe uchaguzi!

    Yu wapi huyu mwamba au amestaafu? Siwezi kusahau miaka flani ya 2011 au 2012 alivyochambua vizuri mapungufu ya vitabu flani vilivyoingizwa mashuleni. Ilikuwa njema sana. Kwa sasa nilitegemea nisikie kitu kutoka kwake.
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

    Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO yasema haina taarifa za COVID-19 kutoka Tanzania

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la corona. Tedros amesema kwenye taarifa yake kwamba hali hiyo inatia wasiwasi na ameitolea mwito...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu Tanzania na COVID-19

  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
  16. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 3 New Jobs At Save The Children Tanzania, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Digital Education Project Officer- (1 Post) 2. Digital Education Project Coordinator- (1 Post) 3. Director Of Programme Operations- (1 Post) Deadline for applications: 02 March 2021
  17. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 14 New Jobs At International Organisation For Migration (IOM) Tanzania, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Click on each below to read more and apply/ Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuaply: 1. National Medical Officer- (6 Posts) 2. Medical Escorts (Doctors And Nurses)- 8 Posts APPLICATION INSTRUCTIONS 1. Interested candidates should fill in the PH form, Download...
  18. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Sources of law in Tanzania

    SOURCES OF LAW IN TANZANIA 1. Statutes A statute may be defined as an express and formal laying-down of a rule or rules of conduct to be observed in the future by persons to whom the statute is expressly, or by implication, made applicable. (a) Primary or principal legislation These are the...
  19. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania yapandisha nauli zake

    Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali. Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote. Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

    Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali. Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
Back
Top Bottom