tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Bado Kuna mtu anapinga nguvu ya harmonize kwa Sasa kwenye tasnia ya muziki Tanzania?

    Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi duniani zimewazuia wasafiri toka India kuingia kwenye Nchi zao, Tanzania tunasubiri nini?

    Covid: India on UK travel red list as Covid crisis grows Coronavirus pandemic A medic tests a bus passenger in Jaipur, Rajasthan, India, on Thursday India has joined the UK's travel red list - effectively banning travel - as a deadly second wave of infections sweeps the country. British and...
  3. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin. Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita ======...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

    Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma Katibu Mkuu wa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
  6. GuDume

    JamiiForums Tanzania Twendeni tu tutafika! (Siasa zetu na Hatma ya Tanzania)

    Mzee alituita vijana wake wote pale nyumbani. Akasema anataka tumfuate tuanze safari. Nakumbuka mdogo wangu alimuuliza "mzee mbona hatujajiandaa na pia unataka twende wapi?" Mzee alimkazia macho na kumwambia "tunaanza safari muda huu ni safari ya miaka 5. Tunakoenda tutakujua huko huko mbele'...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera mama rais wa Tanzania kwa kuwa tayari kukaa na upinzani muongee

    Dah! Kwa kweli majirani mambo yao mengi yataanza kubadilika, huyu mama amedhamiria kurekebisha mengi tu..... NI dhahiri kwa serikali ya huyu mama MATAGA watakosa ajira maana hamna fursa ya chuki tena, hata kwa wale huwa wamewekwa humu wakeshe wakiikandia Kenya watapata tabu sana. Haya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Kongamano Maadhimisho Miaka 57 Ya Muungano

    Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma https://www.jamiiforums.com/threads/chato-rais-magufuli-atoa-salamu-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya-muungano-asamehe-wafungwa-3-973.1719702/
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna succession plan ya rasilimali watu? Mtu ana miaka 70 bado anateuliwa tena jamani...

    Prof Iddris Kikula ameteuliwa tena kuwa mwenyekiti wa Tume ya Madini kwa sasa Prof Kikula anamiaka 78 maana yake katika kipindi hichi cha miaka mitatu atamaliza mkataba akiwa na umri wa miaka 81 , sasa tujiulize ina maana Tanzania hatuna succession plan mpaka tumteue mzee wa miaka 78 kusimamia...
  10. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hili la kukutana na viongozi wa kisiasa, linajenga hatima ya Tanzania ijayo

    KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NI JAMBO MHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwahutubia Watanzania kupitia Bunge. Hotuba yake ilichukua dakika 98. Sikubahatika kuitazama hotuba hiyo mbashara...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

    Dar es Salaam. Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameomba kuhakikishiwa mambo sita ili aweze kuanza safari ya kurejea nchini akitokea Ubelgiji anakoishi tangu Januari mwaka 2018. Lissu, aliyepelekwa kwa matibabu nchini Ubelgiji Januari 2018 baada ya kushambuliwa kwa risasi akitokea...
  12. Teargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is planning to take their Mathematics teachers back to school

    This is because they don't understand most topics in mathematics hence resulting in students mass failure in mathematics exams. Dar es Salaam. Serikali imesema kuanzia Julai Mosi itaanza kutoa mafunzo kazini, ikiwamo mbinu za ufundishaji wa somo la hesabu. Hatua hiyo ni baada ya Serikali...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  14. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  15. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

    Report mpya ya ukwasi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa tofauti duniani imetoka ikionesha hali ya utajiri katika taifa. Aidha report hii inaonesha ni kiasi gani cha fedha unapaswa kuwa nacho ili uingie kwenye country's millionaire club au uwe regarded as a wealth man au uwemo katika kundi dogo...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano. Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240. Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Katiba: Tai nyekundu kuwa vazi la Mwenye Mamlaka imeandikwa kwenye ibara gani?

    Tumeonywa mara nyingi sana na wanasheria kwamba kutokujua sheria , iwe kwa sababu ya elimu yako duni , uzembe wako au labda ujinga wako wa kutokufuatialia sheria na makatazo mbalimbali ya nchi yako hakukufanyi usichukuliwe hatua za kisheria pale unapokosea , ukikutwa na hatia utahukumiwa bila...
  20. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania overtakes SA as Kenya’s top remittance

    THURSDAY APRIL 22 2021 SUMMARY Dollar inflows from African countries into Kenya dropped 65.9 percent in the first three months this year, with Tanzania overtaking South Africa as the biggest source of remittances. New data by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that Kenyans living across the...
Back
Top Bottom