tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kwanza: Nikiwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Tanzania

    Habari Tanzania! Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora wa maisha ya ndoto za waliowengi. 1. Viwanda Tutaanzisha viwanda vipya vidogo vyenye tija na...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZANIA NA MAAJABU YAKE: Lijue Ziwa linalojigeuza kuwa mawe

    TANZANIA NA MAAJABU YAKE Ni kweli usiopingika kuwa mazingira yetu yana mambo mengi ya kustaajabisha na kuvutia, kwa siku chache zilizopita nilielezea kuhusu uwepo wa ziwa lenye rangi ya pinki ambalo linapatikana Bara la Australia, kwa mshangao wa ajabu kabisa nikaja kugundua kuwa hata hapa...
  3. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 3 New Jobs At MDH Tanzania, April 2021

    JOB VACANCIES Click below to download pdf file: Bofya chini hapo kudownload pdf: MDH TANZANIA JOBS APRIL PDF
  4. Ushimen

    JamiiForums Tanzania New Job At Palladium International Tanzania, April 2021- Officer, Procurement

    JOB TITLE: Officer, Procurement Location: Dodoma, Tanzania Position Summary: Palladium is currently recruiting a Procurement Officer to work for the ACHIEVE project. This person will be based in Dodoma, Tanzania. This full-time position will assist the project with activities related to...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

    Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi rasimi ya upinzani bungeni. Hili limekuja kutokana na kutofautiana kisiasa katika vyama hivi, wakati...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kahawa ya TANZANIA yaongoza kwa ubora duniani, kahawa ya Kenya yawa ya kumi

  7. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Mbali na PayPal??.
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wakati Kenneth David Kaunda anatimiza miaka 97, tuangalie uhusiano wake na Ally Sykes 1953

    KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake. Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni takribani mwezi mmoja na siku kumi baada ya Tanzania kumpoteza Dkt. Magufuli

    Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya mama yetu Samia Suluhu Hassan lakini ni wazi kabisa kwamba mfumo wa kuongoza na kuendesha...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable. The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni zanazonunua mahindi Tanzania

    Naomba kufahamu kampuni ambayo inajihusisha na ununuzi wa mahindi hapa Tanzania ... kwa mtu yeyote anaefahamu naomba msaada please.
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji. Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Amnesty International wanajaribu kuishinikiza Tanzania kununua chanjo ya Covid-19

    Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona. Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia...
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

    Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania insema wazi kuwa Tanzania ni dola iliyo huru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili

    Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka. Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili. Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT. Ibara...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania Oxygen walalamikia Serikali kutotengeneza barabara nzuri kwenda kwenye visima vyao vya gesi

    Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka barabara nzuri ambako gesi imegunduliwa juzi tu lakini kule kwenye visima vyao serikali haitaki...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC kiwanda kikubwa cha burudani Tanzania

    Mungu akupe maisha marefu Mo Dewji, Bodi ya Simba, CEO Barbara, Mwamba Haji Manara. Mungu awape maisha marefu na ufanisi technical bench. Mungu awaongezee umaridadi wachezaji wooote first eleven, wanaokaa bench na wanaobaki majukwaani. Mnafanya kazi nzuri kutuba burudani washabiki...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi. Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
Back
Top Bottom