tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    SoC01 Nini kifanyike kuondoa fikra ya kuajiriwa miongoni mwa wimbi kubwa la vijana Tanzania

    NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina idadi kubwa ya vijana ambao hawajaajiliwa pia bado kila mwaka idadi kubwa ya vijana wanahitimu...
  2. Chanjo ya Coronavirus kuanza kutolewa kwenye Mikoa 10 ya Tanzania bara

    Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada...
  3. Ifahamu OSINT - Open Source Intelligence na umuhimu wake kwa sekta binafsi Tanzania

    Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
  4. Are democratic reforms at risk in Tanzania? Inside Story

    Kipindi kimerushwa jana. Washiriki ni Tundu Lissu, Aikande Kwayu, na wa tatu nimelisahau jina lake.
  5. Chadema officially begins to disturb tanzania. Let us be watchful

    CHADEMA OFFICIALLY BEGINS TO DISTURB TANZANIA. LET US BE WATCHFUL. After hitting rock bottom with CHADEMA's plan to pass through the New Constitution conference scheduled for activities in Mwanza City on July 21, 2021, the party which approved the plan for its entire Tanzanian product plan...
  6. CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

    CHADEMA YAANZA RASMI KUIVURUGA TANZANIA, TUWE MACHO. Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba Mpya lililopangwa kufanyika Jijini Mwanza Julai 21, 2021, chama hicho cha upinzani kimemwaga mpango wake mzima wa kuanzisha vurugu...
  7. Uwekezaji Tanzania kupitia Online Marketing

    Karibu wana JF tupeane mawazo ya kuwekeza katika online marketing mfano kuwengeneza website kama jumia kupatana facebook twitter youtube whatsapp halloapp Tuwe na sisi na vya kwetu sio kutegemea vya wenzetu. Karibu tujadiri kwa undani. Natanguliza shukurani.
  8. Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
  9. I

    Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

    Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji. Tozo miamala ya simu Chanjo ya korona Kitabu cha historia ya tanzania Ununuzi wa ndege SGR endelea... Kwa...
  10. SoC01 Jahazi la Elimu Tanzania

    Na Didas Patrick Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kusema, nanukuu, "Elimu ndio silaha pekee na yenye nguvu unayoweza kuitumia kuibadilisha dunia". Katika historia ya dunia sijapata kushuhudia mtu aliyeaminiwa na kupewa fursa ya kuilea jamii kuanzia utotoni mpaka ukubwani...
  11. E

    SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  12. Tanzania yatia aibu huko Olympic

    Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan. Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa...
  13. SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
  14. Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  15. CNN ni sehemu ya CIA: Mtazamo wao kuhusu Serikali yetu ni mtazamo wa Jumuiya ya Kimataifa. Tusiwapuuze!

    Nimejaribu kutafakari uchambuzi wa CNN kuhusu kushikiliwa kwa Freeman Mbowe, kuna kitu wanaongelea sana pale "timing of arrest". Nadhani exposure yao ni kubwa sana kwa siasa za mataifa mbalimbali ikiwemo siasa za bara la Africa. Tunafahamu katika tools za kupatia taarifa kwa mashirika ya...
  16. Wizara ya Afya Tanzania: Usiyoyajua kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha.
  17. Mfumo wa vyama vingi Tanzania umefeli; ufutwe CCM watawale milele

    Habarini Wanabodi! Kulingana na hali halisi inayoendelea nchini; 1) CCM hawako tayari katika suala la Katiba mpya, badala yake wako tayarI kufunga, kubambikia kesi na kunyanyasa Vyama vingine kupitia polisi 2) CCM hawataki tume huru ya uchaguzi, na badala yake kuitumia Tume Kama fimbo ya...
  18. M

    Viongozi wa kisiasa Tanzania kutolipa kodi ni uzalendo?

    Viongozi wa Tanzania kuanzia Bungeni wamekuwa wakipitisha sheria mbalimbali za kuipatia serikali mapato kupitia kodi. Lakini viongozi mbalimbali wao hawalipi kodi kupitia mishahara yao na posho. Je, viongozi wa aina hii ni wazalendo kwa nchi yao? Je, unaweza kuhimiza wengine wafanye kitu...
  19. CWT waunga mkono uanzishwaji wa bodi ya kitaalam ya walimu Tanzania

    Nimefurahishwa CWT kukubalika Kwa zaidi ya wilaya 110 nchi kukubali wazo la uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu. Walimu wengi ambao ni wanachama wa CWT wametoa maoni yao kuwa asilimia 2 wanachama wanayokwatwa kwenye mishahara yao Kila mwezi ni kubwa kulinganisha na kiwango...
  20. M

    Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

    Hao ni CNN Na hao ni Aljazeera
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…