tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ninachokiona ni vita Baridi baina ya Masikini na Matajiri hapa Tanzania

    NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA Na, Robert Heriel Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni Vita Baridi Kali inayohusisha makundi makuu mawili; nayo ni masikini na Matajiri. Kwa kweli Mwanzoni...
  2. Shelter Technical Assistant at Norwegian Refugee Council (NRC)

    Shelter Technical Assistant Tanzania Nduta "Job Details" Kibondo, Tanzania, United Republic of Job Identification 3091 Job Category Engineering Locations Nduta Degree Level Bachelor's Degree Job Schedule Full time JOB DESCRIPTION Adhere to NRC policies, tools, handbooks and...
  3. Hivi Tanzania au Afrika Mashariki kuna chuo kinafundisha masuala ya teknolojia ya nyuklia?

    Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
  4. W

    Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  5. M

    Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

    Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili. Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika...
  6. S

    Magari mazuri ya harusi yakukodisha - Tanzania wedding car rental

    Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni? Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako? Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa! Call/WhatsApp : 0788457446 Office : Kijitonyama Bei kuanzia 150,000
  7. Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

    Haya ndio maendeleo ya Dubai ndani ya miaka michache, waTanzania sisi tumelogwa miaka zaidi ya 50 hakuna jipya.
  8. SoC01 Nini kifanyike kuimarisha Demokrasia ya Tanzania ?

    Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika. Demokrasia ya Tanzania Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
  9. P

    Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

    UPDATES 00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu. 03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers 05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
  10. B

    Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

    10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball. Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
  11. Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

    Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln GDP gross ni $65bln. Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
  12. Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  13. B

    SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  14. B

    Mfumo wa siasa za Tanzania utamjenga Bi. Stagomena Tax au utabomoa historia ya mazuri yake?

    Moja ya kitu kinachofanywa na mfumo wa siasa za Tanzania hasa kwa wanasiasa waliopo CCM na serikalini nikubomoa carrier zao na uzuri wao nakuwavisha maovu. Wanazuoni na wanasiasa walioonjeshwa mfumo wa serikali ya Tanzania wote wamebomoka badala yakujijenga zaidi. Ntatoa mifano michache...
  15. Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

    Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo.... Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
  16. Tanzania yaridhia utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la biashara Afrika (AfCAFTA)

    Kazi iendelee! ========= BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika Maamuzo hayo yamefanyika Septemba 9, 2021 bungeni Dodoma Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Kitila Mkumbo amesema Tanzania inaingia...
  17. N

    Samia aliandikiwa kuwa Rais wa Tanzania hata kabla hajazaliwa

    Mambo ya Mungu huwa ni makuu sana, nawaambieni enyi watanzania, kuna watu walibarikiwa tangu wakiwa Tumboni mwa mama zao Samia Suluhu ni mfano hai tulionao mpaka sasa achilia mbali manabii wa zamani waliochaguliwa angali bado wapo tumboni, Samia suluhu hakuwai kuwa mwanaharakati wala...
  18. Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  19. Changamoto ya kiwango cha elimu Tanzania

    Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili. Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na: 1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
  20. M

    Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu. Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…