tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. aleesha

    JamiiForums Tanzania Chuo gani wanafundisha hii course hapa Tanzania?

    Mimi nilikua sijui kwamba kuna watu wanaweza kujiunga na masomo kwa ajili ya kusomea fitna na chuki ili kuwafitinisha watu anajiunga kabisa tena elimu ya juu na chuo kikuu Yani anasomea masomo maalumu kwa ajili ya fitna na anafanya mitihani na anahitimu na shahada anapewa Kisha anaingia kazini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, nani anastahili pongezi katika soka la Tanzania?

    Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business ' Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda kuangalia mpira unafurahi. Binafsi sikuwa mpenzi wa kukaa na kuangalia mpira wa Bongo katika TV ila...
  4. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango wa kuruhusu kilimo cha Bangi

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Gerald Kusaya amesema Tanzania haina mpango wa kuanza kuruhusu kilimo cha bangi na badala yake amewataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Kamishna Jenerali Kusaya ameyasema hayo jijini...
  6. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Mishahara mikubwa na matumizi ya gharama ya Viongozi na Wabunge ni sababu ya Wananchi kutolipa kodi

    Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu...
  7. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya "viwanda" imeishia wapi?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, slogan ile ya Tanzania ya viwanda je shangaz ana hoja?
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

    Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
  10. M

    JamiiForums Tanzania The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
  11. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Oil ang Gas Politics: Key factors influencing oil and gas negotiation processes in Tanzania

    One of the biggest problem decelerating development of oil and gas sector in Tanzania is negotiation with investors who have willing to make an investiment. In reality negotiation processes are not only about distributing rents, but also about distributing risk. Decisions to invest are made in...
  16. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
  17. kurlzawa

    JamiiForums Tanzania Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

    Habari za mda huu wakuu. Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada. Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Medical Doctor at Tanzania Red Cross Society

    TANZANIA RED CROSS SOCIETY The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was...
  20. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Katiba kama ya Kenya tungefika mbali

    Katiba ya sasa ya Kenya ilipunguza kwa kiwango kikubwa sana vyeo vya kugawa kama Karanga. Katiba ya Kenya bado naamini ni moja ya katiba bora Africa na ni nchi chache Africa zina katiba ya aina ile. Ndo maana hadi Majaji au IGP wa police Kenya anatuma maoumbi, Mkaguzi mkuu wa hesabu anatuma...
Back
Top Bottom