tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ujio wa magari yanayotumia nishati ya umeme hautoathiri sekta ya gesi asilia Tanzania

    Ujio wa gari zinazotumia nishati ya umeme hautoathiri sekta ya gesi asilia Tanzania. Hii inaandikwa na mimi mwenyewe. Tanzania tuna hifadhi kubwa ya gesi asilia ila kwa bahati mbaya hatuna mafuta. Tunahifadhi ya gesi ya methane na helium. Sasa kama tunavyo jua ujio wa gari zinazotumia nishati...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapoambiwa kuwa Tanzania inakuwa 'Rebranded' ni vyema pia tukaambiwa nani 'aliichafua', lini na kwa manufaa gani

    Leo GENTAMYCINE natoa angalizo kwa wale ambao huko maofisini au katika maeneo mengine mnapokuwa na vyeo vya manaibu (makamu) wa ubosi mkiona wakubwa zenu wanakosea au wanaharibu muwe mnasema mapema au mnaachia ngazi kuliko kuendelea kuwa nao kiutendaji. Halafu, ama wakistaafu kazi au wakifa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rebranding Tanzania: Hongera Rais Samia, ni dhahiri Tanzania inaenda kuonekana kwenye ramani ya Dunia kiuchumi

    Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni. Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
  4. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Je, Simba ikiongozwa na Gomes imeshafungwa na timu yoyote ya Tanzania?

    Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi kupoteza mchezo wowote, mwenye taarifa zaidi anijuze.
  5. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  6. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

    Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli. Rais ambaye hakuwapenda raia wake, hakusikiliza tulio hai, akitoa matamko ya kudhalilisha na kukejeli. Rais ambae hakuheshimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Black Americans wanaondoka Tanzania na hizi ndio sababu zao

    Kama mnavyojua hawa black Americans walikuja kwa kasi sana hapa Tanzania ila kwa sasa wanaondoka kwa wingi na hizi ndio baadhi ya sababu wanazozitoa ..ishu ya viza, kupata permit imekuwa ni ishu mpaka inawabidi kila baada ya miezi mitatu watoke nje ya nchi ili wagongewe viza nyingine...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hapa Kazi Tu (HKT) kiwe chama kipya cha kisiasa Tanzania kitakachoenzi falsafa na maono ya Hayati Dkt. Magufuli na kiwe tegemeo la Watanzania

    Sisi tunaamini kwenye misimamo ya Magufuli ndiyo hasa misingi ya Chama Cha Hapa Kazi Tu... HKT. Kwenye hii misingi tutajenga Tanzania imara sasa na kwaajili ya vizazi vijavyo. Uhuru wa kiuchumi ni jambo linalowezekena kama tutasimamia vizuri maliasili tulizonazo kwa manufaa ya wote. Hatutakaa...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwa namna yoyote ile Tanzania ianzishe kiwanda cha chanjo

    Ni muhimu kumuenzi Hayati Dr John Pombe Magufuli kwa kuharakisha mchakato na utekelezaji wa kuanzisha kiwanda cha chanjo. Third wave ya covid 19 ipo around ni vyema wataalamu wetu waje na mpango wa haraka/ dharura wa kuanzisha kiwanda cha chanjo hasa tukianza na chanjo ya covid 19. Kwa hisani...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hii inawezekana Tanzania tu, si mahali pengine popote duniani

    Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake. Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo. Picha hii...
  11. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

    Tazama mwenyewe picha .. Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa.. Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
  13. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Somo la 'Historia ya Tanzania' alilotaka Magufuli lasitishwa

    Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news ============== Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
  14. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Web developers let's change Tanzania's government web applications look and feel!

    Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe. Nilikaa chini na kutafakari kwa kifupi wala si kwa kina hivyo nimeleta hoja hii wadau mchambue tuone. Hizi interface za...
  15. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

    Wanajamvi, Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea...
  16. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    Wazee tumekwisha rasmi. End of the game. Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi. Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa...
  17. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania “the best country foreign investment in East Africa .

    Tanzania leads East Africa in FDI . East Africa, Foreign Direct Investment in 2020. Tanzania 1.1 Billion $ Uganda 823 Million $ Kenya 717 Million $ Rwanda 135 Million. $ Source : The United Nations Conference on Trade and Development (UNCTDA).
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ndiyo nchi yenye aina nyingi ya watu katika Afrika

    Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi. Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo. Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao. Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush. Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu Covid-19 haipo Tanzania, tusitishane

    Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Tanzania tuna corona. Nchi hii bwana watu wanaotutangazia kwamba tuchukue tahadhari ndio haohao unawakuta baa wanakunywa pombe na kukumbatia mpaka wahudumu. Unawakuta anayetutangazia corona yeye ndiye wa kwanza kwenda msikitini au kanisani...
Back
Top Bottom