tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

    Wanajamvi, Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea...
  2. JamiiForums Tanzania Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    Wazee tumekwisha rasmi. End of the game. Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi. Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania “the best country foreign investment in East Africa .

    Tanzania leads East Africa in FDI . East Africa, Foreign Direct Investment in 2020. Tanzania 1.1 Billion $ Uganda 823 Million $ Kenya 717 Million $ Rwanda 135 Million. $ Source : The United Nations Conference on Trade and Development (UNCTDA).
  4. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ndiyo nchi yenye aina nyingi ya watu katika Afrika

    Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi. Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo. Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao. Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush. Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu Covid-19 haipo Tanzania, tusitishane

    Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Tanzania tuna corona. Nchi hii bwana watu wanaotutangazia kwamba tuchukue tahadhari ndio haohao unawakuta baa wanakunywa pombe na kukumbatia mpaka wahudumu. Unawakuta anayetutangazia corona yeye ndiye wa kwanza kwenda msikitini au kanisani...
  6. JamiiForums Tanzania Chuo gani wanafundisha hii course hapa Tanzania?

    Mimi nilikua sijui kwamba kuna watu wanaweza kujiunga na masomo kwa ajili ya kusomea fitna na chuki ili kuwafitinisha watu anajiunga kabisa tena elimu ya juu na chuo kikuu Yani anasomea masomo maalumu kwa ajili ya fitna na anafanya mitihani na anahitimu na shahada anapewa Kisha anaingia kazini...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, nani anastahili pongezi katika soka la Tanzania?

    Yawezekana kuna watu watakataa lakini hilo ni 'non of my business ' Nije kwenye mada moja kwa moja, kwa maoni yangu naona soka la bongo limekuwa zuri haswa, yaani hata ukilipa au kutenga muda kuangalia mpira unafurahi. Binafsi sikuwa mpenzi wa kukaa na kuangalia mpira wa Bongo katika TV ila...
  9. JamiiForums Tanzania FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango wa kuruhusu kilimo cha Bangi

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Gerald Kusaya amesema Tanzania haina mpango wa kuanza kuruhusu kilimo cha bangi na badala yake amewataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Kamishna Jenerali Kusaya ameyasema hayo jijini...
  11. JamiiForums Tanzania Mishahara mikubwa na matumizi ya gharama ya Viongozi na Wabunge ni sababu ya Wananchi kutolipa kodi

    Tanzania ni moja ya nchi masikini zilizojaliwa kuwa na utitiri wa viongozi kuanzia Wilaya mpaka Taifa viongozi hao waliligharimu taifa fedha nyingi sana kuliko hata za watumishi wote wa serikali tuna wakuu wa wilaya 140, Wakurugenzi 200 wakuu wa mikoa 26 makatibu tawala wa wilaya 140 makatibu...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ya "viwanda" imeishia wapi?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, slogan ile ya Tanzania ya viwanda je shangaz ana hoja?
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

    Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
  15. M

    JamiiForums Tanzania The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
  16. JamiiForums Tanzania Filamu kubwa zinatumia mandhari ya Kenya, Tanzania tunakwama wapi?

    Filamu (movie)kali hasa kitalii kwa afrika inafanyika sana kenya na nchi zingine. Kenya kupitia filamu nyingi location inakuwa kenya wanajitangaza kiutalii mfano endangered species unaona mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu barani afrika na watalii wanajua mlima Kilimanjaro upo kenya kwasababu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

    Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Leonard Akwilipo: Wanafunzi waliopata mimba Tanzania kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata mimba kurejea masomoni kupitia vyuo vya maendeleo ya wananchi. Akizungumza na wakuu wa vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini humo, Katibu mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia , Dk...
  20. JamiiForums Tanzania Oil ang Gas Politics: Key factors influencing oil and gas negotiation processes in Tanzania

    One of the biggest problem decelerating development of oil and gas sector in Tanzania is negotiation with investors who have willing to make an investiment. In reality negotiation processes are not only about distributing rents, but also about distributing risk. Decisions to invest are made in...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…