Juzi 29/06/2021 nilihamisha Tzs 400k kutoka kwenye account yangu ya MPESA kwenda Airtel Money, kumlipa supplier wangu. Muamala huo ukakatwa kutoka kwangu lakini haukwenda AirtelMoney kwa mlengwa. Nikapata meesage "Sorry, transaction was not completed due to technical reasons. Contact customer...