tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nani ni shujaa wako au msaliti kwenye siasa za Tanzania?

    Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti. Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
  2. JamiiForums Tanzania Madereva wa Tanzania to Zambia, Watakiwa kubeba Cash kwacha 2,500 ya Toll ya barabara ya Sakania to Ndola

    Kituo kipya cha tozo (Toll Plaza) cha Tom Mtine kwenye barabara ya Ndola–Sakania huko Ndola, Zambia kimefunguliwa rasmi leo Jumamosi (22 Februari 2026). GHARAMA ZA TOZO K0.00 – Magari madogo, daladala/mini basi, na magari mepesi (yamesamehewa kwa muda) K100 – Mabasi yenye zaidi ya viti 30 K850...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni watu na sera za kuiongoza Tanzania. Muda wowote nchi itakuwa mikononi mwenu

    Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni. Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu. 1. Kutengeneza timu ndogo ya wanadiplomasia watakayezunguka dunia nzima kujenga mazingira ya uungwaji mkono kuanzia sasa kabla na baada ya kutwaa...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania US Senator (Democratic): Kwa yaliyofanyika 29/10, uhusiano wetu na Tanzania lazima uangaliwe upya

    Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi. Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire. ============= The violent suppression of opposition voices before & after Tanzania’s election was unprecedented in its history. Tanzania’s democratic backsliding is a red flag for...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na Tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10

    Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4% ya mwenye. M super market . Mama Samia anafikia zanzibar , familia na rushwa kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali na mamlaka zake ni damaged beyond repair?

    Naangalia mahakama inavyofanya kazi zake, maamuzi zake, upindishaji wa sheria, uvunjaji wa katika wa wazi kabisa Naangalia jeshi linalopaswa kuilinda katiba kufa kupona. Naangalia lilivyolinda wananchi wakati wa maandamano. Naangalia linavyolinda haki ya kuishi nyakati za utekaji Naangalia...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unajua Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Tanzania Mke na Mume wanapoachana, ndoa haivunjiki?

    Watu wengi wanachanganya kuhusu mke na mume kuachana, na kuvunjika kwa ndoa. Kwa mujibu wa sheria, mke na mume wanaweza kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake, lakini ndoa inakuwa bado ipo. Mke na Mume wanapoachana, kwa lugha ya kisheria 'wanatengana', maana yake kila mmoja anakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania

    Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania. Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

    Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu. Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mahakama ya ICC na Tanzania?

    Picha ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ICC), Balozi Mahmoud Thabiti Kombo na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Mame Mandiaye Niang, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Februari 14, 2026, imezua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

    Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama...
  12. JamiiForums Tanzania Forex ni kamari ya kimtandao: "Emmanuel Mpawe Tutuba (Governer Bank of Tanzania)"

    https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163 ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuandaa ramani ya maeneo ya dhahabu

    16 February 2026 Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8 Baraza la Dhahabu Duniani World Gold Council limeonyesha utayari wake wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu...
  14. P

    JamiiForums Tanzania MPYA Tanzania inadaiwa zaidi ya Shs 4,803,248,421,486 na IMF, kutokea Shs 0 Disemba 2020

    Mpaka mwezi January 2026, tunadaiwa zaidi ya Shs 4,803,248,421,486 na IMF (sawa na SDR 1,335,730,000). Mnamo Disemba 2020, jemedari na jembe Dr. John Pombe Magufuli alimaliza kulipa deni lote la IMF - mpaka balance ikaonyesha 0 (sifuri au zero). Link ya IMF wenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

    Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…