tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania mpya kupitia Rais Samia Suluhu

    Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa za kufunga hvo nikaanza kujitoa taratibu upande wake nikabaki kuwa mtazamaji tuu ila kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania jifunzeni kwa wenzenu wa nje

    Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano: 1. Kesi ya Mbowe 2. Usalama wa Lisu akirejea nchini 3. Uhuru wa vyama vya siasa 3. Katiba mpya 4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine. Wakati mwingine...
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alituhubiria kwamba Tanzania ni ya masikini na wanyonge,lakini alishuhudia Makonda, Sabaya wakipata ubilionea kupitia Utumishi wa umma

    Wanasiasa usiwaamini Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na...
  4. JamiiForums Tanzania Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

    Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama atoa somo kuntu kuhusu demokrasia ya Tanzania, awaonya vijana wa CHADEMA

    Akitoa maoni yake Dr. Azavel Lwaitama mdau mkubwa katika harakati za kutafuta nchi yenye demokrasia iliyo stawi yenye maridhiano, umoja, uhuru na maendeleo amesikika huko Clubhouse kwenye mjadala wa moto unaohudhuriwa na watu wengi kuliko jukwa lingine lolote la kijamii. Dr Lwaitama amewataka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni majanga gani ya kiikolojia ambayo Tanzania imewahi kabili/inakabili?

    Habarini. Kuna hii ishu ya majanga ya kiikolojia ambayo mara nyingi husababishwa na binadamu na shughuli zao. mfano hapa Tanzania kuna janga la Magugu maji katika ziwa Victoria. Inasemekana yaliletwa sijui na watu gani. Pia nasikia kuna Samaki, kati ya Sato au Sangara, waliwekwa humo ziwani na...
  8. JamiiForums Tanzania 80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

    Wasalaam wana JF Naomba niwasilishe utafiti wangu uchwara kuhusu hawa watu. Ni reflection ya ukweli. Katika jitihada za serikali kupunguza umasikini na kuondoa omba omba hili kundi haliangaliwi, yaani wanawake na akina dada. Wana njaa kali na wanajitoa muhanga kwenye front zote. Wako...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio pesa ya mauzo ya gesi yote iliyogundulika Tanzania mpaka leo 16/03/2022..

    Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet). Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD. Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni: 4.7650 USD x...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie gesi yetu kukwepa vikwazo vya Urusi na Ukraine

    Athari za vita ya Urusi na Ukraine haitatukosa na inaweza kudumu kwa muda mrefu sana. Tanzania tumejaliwa kuwa na gesi asilia inayoweza kutumika kwenye magari, machine, na kutoa nishati ya umeme. Sio juhudi wala mikakati ya gesi yetu hii kutumika kushusha presha ya madhara ya vita hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Mazungumzo: Jinsi dijitali inavyoweza kukuza Demokrasia Tanzania

    Tanzania ni moja ya soko linalokuwa zaidi barani Afrika kwenye nyanja ya dijitali, takwimu ya mwaka 2020 ikionyesha watumiaji wa internet wamefika milioni 28.5 kutoka milioni 25.8 mwaka 2019 huku idadi hiyo ikiwa sawa na asilimia 49 ya watu wake. Teknolojia iliyokuja inaruhusu wananchi kuweza...
  12. JamiiForums Tanzania Kabla ya tume huru ya Uchaguzi, Tanzania twende kujifunza Demokrasia Nchi ya Mauritius

    Salaam, Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania, yatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi

    KAMATI YA BUNGE YAKOSHWA NA KASI YA UJENZI NA UBORA MAABARA CHANGAMANI TAEC Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Maabara Changamani awamu ya pili kwa ufanisi. Akizungumza kwa niaba ya Kamati...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna tabaka tawala na tabaka tawaliwa. Je, familia yako iko katika tabaka gani?

    Tanzania kuna matabaka 2 makuu, tabaka tawala na tabaka tawaliwa. 1. Tabaka tawala Hili ni tabaka ambalo wengi husomesha watoto nje ya nchi licha ya wananchi wa tabaka tawaliwa kusotea msosi wa kila siku. Imagine, watu wanasema vyuma vimekaza lakini Ukraine pekee ilipokea vijana wa Kitanzania...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani mama Samia; Tanzania, Kenya resolve 10 more trade hindrances

    Dar es Salaam. Tanzania and Kenya have resolved ten more trade barriers in effort to grow the trade between the two member states of the East African Community (EAC). President Samia Suluhu Hassan visited Kenya last May and met her counterpart Uhuru Kenyatta to mend the then deteriorating...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania Tujifunze: Russia inafadhili vikundi vya mazingira, vinavyopiga kelele Ulaya na Marekani kuzuia uzalishaji nishati

    Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

    " Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" Zitto
  18. J

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania haina sura mpya za kuliongoza Taifa?

    Najaribu kufuatilia hizi teuzi za viongozi naona watu wanatolewa na kurudishwa hadi najiuliza kwani nchi yetu haina kabisa sura mpya? Yani inteligensia ya taifa imezunguka nchi nzima kutafuta vijana hata wasiokuwa serikalini ikakosa kabisa watu wa kuongoza hizo NHC au TTCL? Namaanisha vijana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wewe sio tajiri ila una hela

    Salam bosses! Mnajua kuna vitu vinafurahisha sana, tena sanaaa[emoji3] Hivi nini maana ya Fogo? Fogo ni mwanaume mwenye fedha nyingi zilizopitiliza uwezo wa wastani wa kipato cha raia wengi wa nchi husika, ambaye pia ana elimu au maarifa ya kutosha. Sambamba na kuwakumbatia wahitaji. Tuelewane...
  20. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?" Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…