tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro: Tuliowapa Visit Kilimanjaro na Zanzibar wametuaibisha, ila tuliowapa Visit Tanzania wameiheshimisha nchi

    Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria. Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania inajifunza nini katika vita inayoendelea UKRAINE?

    Wasalaamu wanaJF, Ni kawaida yangu kuleta kwenu hoja za kizalendo na kuwaachia mfikiri kwa kina, kwa haraka na kwa muda mrefu. Hoja zangu hizi huwa hazina mvuto wa kisanaa bali kisayansi. Swali langu la leo na hoja yangu ni kuhusu vita vinavyoendelea huko UKRAINE. 1. Ni ukweli usiopingika...
  3. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono msimamo wa Tanzania, Lakini...

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Denmark nchini Tanzania atembelea JamiiForums

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Balozi Mette Norgaard Spandet jana 23/03/2022, alifika kwenye ofisi za JF Jjijini Dar es Salaam na kukutana na viongozi na wafanyakazi kwa lengo la kujionea namna mtandao huo unavyofanya kazi. Ambako alikutana pia na Mkurugenzi wa JamiiForums na kubadilishana naye...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Tanzania Vs Botswana yaota mbawa, Botswana waja juu

    MECHI YA STARS NA BOTSWANA YAOTA MBAWA Chama cha soka cha Botswana (BFA) kimetoa taarifa rasmi ya kuifuta mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania iliyokuwa ifanyike Machi 26. 𝐌𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐭𝐚𝐢𝐟𝐚 𝐲𝐚 𝐁𝐨𝐭𝐬𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐩𝐚𝐧𝐠𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐞𝐳𝐰𝐚 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐌𝐚𝐜𝐡𝐢 𝟐𝟔, 𝟐𝟎𝟐𝟐 𝐢𝐦𝐞𝐟𝐮𝐭𝐰𝐚. 𝐌𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐢𝐦𝐞𝐟𝐮𝐭𝐰𝐚...
  6. dubu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

    Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi? Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani nchini wenye maeneo mazuri kwa vacation?

    Wakuu habari zenu? Hatimaye Mungu amenikumbuka. Nataka nikajipe mapumziko kidogo baada ya heka heka flani za mwaka mzima uliopita na mitihani flani ya maisha ili akili ikae mkao wa utafutaji. Sasa naomba wakuu mnishauri mkoa mzuri hapa Tanzania ambao una maeneo mazuri ya mapumziko. Mkoa huo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

    Akijibu swali la mtangazaji wa ITV Midle kuhusu uchunguzi ulipofikia kwenye tukio la kushambuliwa Tundu Lisu mbunge by then mh Simbachawene amesema yapo matukio mengi ya kutumia silaha yanayochunguzwa na hilo la Tundu Lisu siyo special ni uhalifu kama mwingine hivyo yote yanashughulikiwa kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Tanzania wanapenda sana kuweka watu mahabusu, kupeleka mahakamani na kujadili kuwafunga?

    Nimemsikiliza kamanda Mtafungwa akizungumzia kwamba Polisi awatatoza faini madreva wanaovunja sheria Bali watawakamata kuwaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani wafungwe. Najiuliza sheria ya usalama barabarani inasemaje? Kwa sababu ukisoma sheria utagundua makosa haya yanahitaji kifungo au ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania 2025 Tanzania itafanya uchaguzi au tutegemee marudio ya 2020?

    Kipenga kimepulizwa kwamba tupo Hadi 2030, hapo Bado miaka minne kuelekea uchaguzi. Je, 2025 tutegemee uchaguzi au tubaki kusubiri uchafuzi? Kibaya zaidi kamati inayojadili mambo ya Muda mfupi ,Kati na mrefu ikiwa na akina Zitto ndiyo hiyo iliyompa baraka hizo mwenye nchi Kwa niaba ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Hatukupiga kura sababu tulichotaka kati ya Urusi vs Ukraine hakikutokea!

    Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni au Taasisi ipi ni muajiri bora?

    Wanajamvi ni nani muajiri bora Tanzania iwe kampuni au Taasisi?
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

    Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala. Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia...
  16. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waipatia Tanzania msaada wa shilingi bil.469.4

    Kazi iendelee. Umoja wa Ulaya umeridhishwa na mwenendo wa mahusiano Kati ya Serikali ya Tanzania chini ya Rais SSH na Umoja huo na hivyo Ili kuunga mkono juhudi hizo wamesaini mkataba wa msaada wa sh.bil.469.4 .. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha,fedha hizi zitatolewa ndani ya...
  17. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo na Uvuvi, unakubali vipi nchi kuingiza pesa kidogo hivi na kisha kujisifia?

    Katika taarifa ya jana ya saa mbili kupitia runinga nilimshuhudia Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi akihabarisha umma kuwa tumepata meli itakayopeperusha bendera ya Tanzania na akatamba kuwa kwa mwaka tutakuwa tukipata $400,000 na samaki tani 500 na mengineyo mengi. Binafsi ninamshangaa sana...
  19. MoseKing

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea sarafu ya Tanzania kulingana thamani na sarafu ya Kenya hivi karibuni?

    👇👇👇👇
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
Back
Top Bottom