tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. dubu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Biashara haramu ya binadamu na Viungo vyake kwa Tanzania na Afrika

    Salaam Wakuu, Inadaiwa kuna watu zaidi ya milioni 45 ambao wametumbukizwa katika biashara hii inayoingiza kiasi cha dola bilioni 32 kwa mwaka, na hivyo, kuchuana kwa karibu sana na biashara haramu ya silaha na dawa za kulevya. Wanawake, na watoto wadogo ndio walengwa wakuu. Kundi hili la...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Siasa Tanzania

    Tanzania bado ina shida kubwa sana katika kipengele cha siasa. Matatizo ya siasa za Tanzania yanasababishwa na Mambo makuu yafuatayo; 1) Katiba yetu imepitwa na wakati 2) Katiba za vyama vya siasa vyote Ni kandamizi kuliko hata Katiba ya nchi 3) Unafiki na ubinafsi 4) Mihemko na uelewa mdogo...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI: Serikali haijasitisha somo la Historia ya Tanzania

    Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI. Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya taarifa hizi. Tovuti inaeleza kuwa vitabu vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo: Soka la Tanzania haliwezi kuendelea kama hatupingi rushwa

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe.Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania haiwezi kupiga hatua kwenye sekta ya michezo, iwapo itashindikana kuboresha miundombinu ya michezo, ujenzi wa viwanja vya kisasa, ujenzi wa academy pamoja na ujenzi wa vituo muhimu vya michezo. "Rais wetu wa Awamu ya...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Marekani waweka rekodi mpya toka mwaka 1982, Tanzania tunajiaandae?

    Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine yanayowekewa vikwazo, Urusi ni namba mbili kwa uzalishaji wa nishati duniani huku mteja wake mkubwa...
  7. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Wajiolojia wanatuambia mbeleni Tanzania itakuwa kisiwani

    Habari wanaJF. Majuzi wenzetu Kenya walikumbwa na janga pichani hapo chini. mjadala wa hili tukio wajiolojia wanatuambia ni ishara ya mgawanyiko utakaotokea mbeleni. Ukiangalia ramani, wanatuambia bonde la ufa ni kama mipaka ya mapande mawili ya ardhi yanayoonyesha kusogea, kila pande...
  8. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Tanzania kurudi Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini: "Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mo Dewji, Simba SC? Tanzania hamkuona post yangu mwezi uliopita kuhusu ubora wa Simba duniani?

    Yaani toka tarehe 3 February nilipost hapahapa kwamba Simba ni ya 98 duniani hizi statistics ni za January nilichoambulia hapa Jamii Forums ni kubishana na majinga ya utopwinyo vyura pro max wa Jangwani. Sasa in a span of 4 days mwandishi wa Ghana, Micky JR kapost hiyo issue ikapokelewa na...
  10. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Zoom Tanzania wizara ya habari na mawasiliano muumulike

    Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja niule ktk hii platform, credibility ya huu mtandao na ni vyema serikali ukau mulika ili.wamiliki waonywe
  11. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Itel kuongeza idadi ya watumiaji wa smartphone Tanzania

    Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone. Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
  12. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 365 za Rais Samia, tutazame Tanzania katika Uhusiano wa Kimataifa

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tutaitazama Tanzania katika uhusiano wa kinataifa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania sio masikini

    Magari aina ya V8 yapo kila taasisi ya serikali 1. Wakuu wa taasisi zote na wasaidizi wao V8 2. Wakuu wa vyuo hadi wakuu wa idara ndani ya vyuo V8 3. Wakurugenzi wa halmashauri V8 4. Hospital za mkoa na wilaya V8 5. Wakuu wa wilaya V8 6. Wakuu wa mikoa V8 Hadi taasisi ya nyuki na bodi ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea orodha ya majina 453 ya wananchi wa Ngorongoro waliokubali kuhama kwa hiyari yao

    Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori. Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe. Source: ITV habari! ===== Waziri Mkuu Kassim...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Head of People and Culture at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd

    VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) formerly known as SEDA is a fast growing and reputable Micro Finance Bank (MFB), that has a loan book of approximately TZS. 20 billion and more than 30,000 client base, more than5,000 of whom are small holder farmers. VFT-MFB is seeking to...
  16. Mbomozo

    JamiiForums Tanzania Aptitude Test Interview Tanzania Commercial Bank (TCB) kwa nafasi ya Business Solution Officer: Big Data Analysis

    Hii Salute Ndg zangu. Kama mida ya saa 7 mchana Leo nimepokea SMS na Email ya invitation kuja Dar kwenye Aptitude test ya TCB kada tajwa hapo juu. But kutokana na kutingwa na majukum upande wangu sidhan kama nitahudhuria. Lengo la uzi huu ni kuwakutanisha waliopewa taarifa ya aptitude test...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

    Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong. Msitegemee tena madai ya katiba mpya maana huko ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo Serikali imesema kosoa kwa staha!
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru umeme bado wa shida Tanzania

    Inasikitisha sana kuona jinsi shirika hili linavyoendeshwa.Miaka 60 ya uhuru lakini bado umeme ni wa shida hapa nchini. Mbaya zaidi hakuna anayewajibika au kuwajibishwa. Waziri mhusika ndiyo kwanza anatumia chopper kukagua vyanzo vya maji na kusema Tanzania nzima hakuna Crane ya kuweza kubeba...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Tanzania kuanza kuuza gesi nje "labda" baada ya miaka 6 kuanzia sasa

    Akihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda baada ya miaka 6 kuanzia sasa ndiyo miundombinu wezeshi inaweza kukamilika na kuanza kazi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
Back
Top Bottom