tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia, Akifanikiwa kwenye hili, atabarikiwa sana na taifa la Tanzania, litabarikiwa! Natoa wito kwa wote...
  2. Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya...
  3. Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

    Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja. Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi. Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore...
  4. A

    UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

    Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
  5. N

    ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  6. Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa...
  7. Operesheni ua utalii Tanzania

    Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO. Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika...
  8. P

    Kazi[Careers] zenye future na maslahi mazuri Tanzania

    Katika karne hii ya 21, kijana mwenye maarifa na maono atakuwa anafahamu kuwa bila kuchagua career sahihi maisha yatakuwa magumu. Ninaposema taaluma au Careers nzuri, maslahi japo ndio la kwanza lakini pia kuna kitu kinaitwa quality of life au tuseme work-life balance. Yani unaweza...
  9. Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

    Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa....... 1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma 2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu 3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa 4. Ukiwa Muhuni...
  10. Communication Officer at Women Fund Tanzania (WFT)

    WFT-Trust is the first and only women’s rights fund in Tanzania that has been in existence since 2008 and has been at the forefront championing gender equality, equity and women and girls’ rights through a funding mechanism that features strong capacity enhancement, strengthening linkages and...
  11. Tanzania yajibu kuhusu ombaomba wanaopelekwa Kenya

    MY TAKE: Ni matumaini yangu kwamba Kenya itatekeleza wajibu wake Kama nchi ya kuwatafuta na kuwakamata wale wote wenye kujihusisha na biashara haramu ya kusafirisha binadamu. Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  12. Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ==== RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
  13. Finance Officer at Americares Tanzania

    TITLE: Finance Officer DEPARTMENT: Americares Tanzania REPORTS TO: Finance and Operations Manager ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH: Project funded until June 30th, 2023 ABOUT AMERICARES: Americares is a health-focused relief and development organization that...
  14. Human Resources & Logistics Assistant at Americares Tanzania

    TITLE: Human Resources & Logistics Assistant DEPARTMENT: Americares Tanzania REPORTS TO: HR & Logistics Officer ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH: Project is funded until June 30th, 2023 ABOUT AMERICARES: Americares is a health-focused relief and development...
  15. Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  16. Tanzania na Kenya kushirikiana kutokomeza usafirishaji haramu wa Binadamu

    Baada ya ripoti ya BBC Africa Eye kufichua kupangwa kwa utoroshwaji wa watoto walemavu kutoka Tanzania hadi Kenya na kugeuzwa omba omba, nchi hizo zimeahidi kufanya kazi kwa karibu kutokomeza biashara hiyo Mkuu wa Kitengo cha Utafiti, Takwimu na Ukarabati wa Sekretarieti ya Kupambana na...
  17. Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana. Jua...
  18. Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  19. How Kenyans are conducting human trafficking network from Tanzania

  20. B

    Tanzania Revenue Authority, Attorney General win appeal over 145bn/- judicial review tax dispute

    By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary THE Court of Appeal has nullified the proceedings of the High Court, which granted extension of time to Milambo Limited to apply for judicial review in a tax matter relating to payments of over 145bn/- to Tanzania Revenue Authority (TRA). Justices Stella Mugasha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…