tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo, majina ya Asili Tanzania yatakuwa yamefutika kabisa

    Miaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa. Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

    Aliyekuwa Mbunge wa Chemba mkoa wa Dodoma amenukuliwa na Dar Mpya (blog) akisema kuwa alikataa Muswada wa Habari ambao ulilenga kuweka mazingira magumu kwa waandishi wa Habari. Namnukuu Magufuli alitaka kunifukuza @ccm_tanzania baada ya kukataa muswada wa habari ambao ulilenga kuwakandamiza...
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupanda bei kiholela kwenye uchumi na namna mfumo wa kiutawala wa Tanzania unavochangia uwepo wa hili tatizo

    Wasalaam Wanazengo, Kwenye uchumi kuna concept huwa tunaiita kwa kiingereza ‘Demand destruction’ ambapo hii huwa hutokea pale ambapo mlaji au consumer anapungukiwa nguvu ya kuweza kufanya manunuzi ya biadhaa au huduma zinazotengenezwa kwenye uchumi kwa sababu aidha, bei za bidhaa hizo ni kubwa...
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ishushe mafuta - sekta ya usafirishaji inategemea mafuta

    UCHAMBUZI WA MAKATO NA MAPENDEKEZO MAPYA KWA KILA LITA MOJA YA MAFUTA YA PETROLEUM NCHINI TANZANIA 2022 Zimejitokeza mikanganyiko mbalimbali kutokana na bei za mafuta kuwa juu sana. Baada ya sintofahamu hii juu ya mafuta, ni vyema Serikali ikaondoa au kupunguza baadhi ya kodi ambazo...
  5. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

    Habari zaidi angalia kiambatanisho
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinaongozwa na madikteta

    Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo. Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki wanavyofanya. 1. Mrema ni mwenyekiti wa TLP toka 1999-leo. Miaka 23 2. Zitto amakuwa kiongozi wa ACT toka...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi maskini sana

    To be honest Watz 90% Bado tunaishi Maisha ya kuunga unga Hiyo 10% ndo kidogo wanaishi Maisha Mazuri yenye Nafuu . Mafuta yamepanda kidogo lakin watu wameamua kupaki Magari ndani huku wengine wakiomba msaada was kuchangiwa Mafuta . Yaani nashangaa watu wanawatukana jobless lakin still na. Wao...
  10. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

    Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa. Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka. Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika. Kuna...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili hii Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Urusi ina Ubalozi wake hapa nchini; je, imewekeza nini Tanzania?

    Hello wakuu, Naomba kutangaza my interests! Mimi ni mmoja wa watu ambao kama mambo yataenda sawa sawia, basi mwaka huu nitaenda Urusi kusoma my bachelor Hivyo huu uzi hauhusiani na mihemko ya kivita au upenzi wowote ule! Ipo hivi, Urusi Ina embassy hapa kwetu, tafsiri yake kuna mambo fulani...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tanzania Progress Through Self-Reliance (1969)

  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wasimbe Tanzania ni kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika

    Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7. Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania mtu anaweza kufunga ndoa mahakamani?

    Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wachumi watoa angalizo bei ya mafuta kupanda

    Wataalam wa uchumi Tanzania wametoa angalizo kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, wakitahadharisha kuwa kutasababisha kupanda kwa gharama za maisha. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) ilitangaza bei kikomo ya petroli, dizeli na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
Back
Top Bottom