Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema.
Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
Mpaka leo Voda wanahangaika hawajapata mkurungenzi wa kudumu, kila wanayemteua anageuza na kurudi kwao baada ya muda mfupi, na wameshindwa kumpata mwenye sifa za maana ndani ya Tanzania.
Walipomteua Mkenya ile awamu ya tano kwa zile chuki zao alikataliwa tena kwa makelele mengi.
Sasa kuna huyu...
Mbunge wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge amesema Tanzania haina usawa katika upatikanaji wa Elimu kwasababu ipo Mikoa ambayo bado ipo nyuma Kielimu, ikimaanisha kuna watu wataendelea kubaki nyuma kimaendeleo
Amefafanua, "Wakati tunaenda kufanya Mapitio kwenye Sera ya Elimu, tufanye Tafiti kujua...
Mkutano wa baraza kuu la Chadema unatarajiwa kufanyika leo huku Gazeti la Tanzania Daima lililo karibu na uongozi wa Chadema limeripoti kuwa kuna hujuma. Ni hujuma zipi?
London, 3 Mei 2022
Ripoti ya utafiti ya ‘Financial Times’ imeitaja Kampuni ya Silverlands Tanzania kuwa ni miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi barani Afrika.
Ripoti hiyo imezitaja jumla ya kampuni bora 75 barani Afrika kwa kuzingatia vigezo vya ukuaji mkubwa wa mapato kati ya mwaka 2017...
Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi kununua vifaru vingi na Gun Howitzers nyingi sana wakati wa utawala wa Nyerere kutokea Urusi. Silaha...
Imeibuka hulka ya wanasiasa kushambulia taasisi na watendaji majukwaani.
Ni dhahiri kwamba mifumo ina mapungufu. Hivi PM anashambulia taasisi au mtendaji ambaye juu yake kuna bodi, katibu mkuu na waziri, hii ni hulka gani? Micromanagement sio ideal.
Yupo mmoja alihangaika na principal officers...
Wanaukumbi.
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika.
Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
Bei ya karatasi kwa Rimu reja reja ilikuwa 7000~12000/=
Hivi sasa Bei imepanda ghafla bei ya Reja reja ni 18000~25000/=
Je wizara ya elimu haioni kwamba hili litachangia kuongeza ugumu wa elimu kwa watoto wetu endapo gharama za uchapaji na ufundishaji zitaongezeka kutokana na kupanda kwa bei ya...
Mfanyabiashara, Nathan Kimaro na mkazi wa jiji la Arusha amepongeza ujio wa Filamu ya Royal Tour ambayo imezinduliwa hivi karibuni hapa nchini akisema imekuja kufungua Uchumi wa Taifa kupitia sekta ya Utalii na kuwataka vijana kuchangamkia fursa za ajira .
Akiongea na vyombo vya habari jijini...
Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana.
Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki.
Yanga wakijua...
Tanzania yajiweka Mguu Sawa Kuandaa Tuzo za MTV Afrika Mwaka 2023
Na Shamimu Nyaki - WUSM, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu leo Mei 09, 2022 jijini Dodoma ameongoza kikao cha awali kati ya Wizara na Wawakilishi wa Waandaaji wa Tuzo za MTV...
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie.
Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie.
Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa.
Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda mfupi,kati na mrefu ya Taifa Letu,tatizo ni maono,dira na mipango gani hiyo tuliyoweka?
Hayo maono...
Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta.
Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
bara
bei
breaking news
bunge
dizeli
imepanda
january
kujadili
kuondoa
kuongoza
kupanda
mafuta
mbunge
msukuma
news
petrol
serikali
shughuli
tanzaniatanzania bara
tozo
tunaibiwa
tunataka
upigaji
wazi
Ni wakati muafaka sasa wananchi wa Tanzania wachangamkie fursa ya huu mchezo kama baadhi ya nchi za ulaya na America ya kusini wanavyo Fanya
Faida zake:-
1: chanzo cha kipato
2: Burudani
N.k
Hasara zake:-
1: Kuumizwa (Hasa hasa ukutane na ng'ombe ambae hataki masikhara kabisa)
2: Ongezea...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.
Haya ni maswali valid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.