Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!!
NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
Bofya Hapa Kumsikiliza...
Njaa zinabadili upepo wa Riadha
Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa...
Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na sio timu kama Yanga ambayo hata robo fainili Caf hawaijui!
Kinachoibeba Simba ni uzoefu wa kimataifa...
Kuna hii trend ambayo idara ya ardhi imeivalia njuga/imeishupalia ya kugeuza mashamba ya wakulima wadogo kuwa miji na hivyo kudai kupimwa viwanja.
Wanasahau (na wakulima wanakubali) kuwa haya mashamba ndiyo maisha ya watu, kama wao wanavyotegemea mishahara kuishi. This is the livelihood of...
Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
Upo umuhimu mkubwa sana wa kubadilishwa mfumo wa elimu ya hapa nchini Tanzania kutokana kwa asilimia kubwa kutokidhi mahitaji ya jamii ya Watanzania wengi. Kwa kawaida elimu ya hapa nchini Tanzania imekuwa ikianzia kuanzia chini mpaka elimu ya juu, yaani shule za awali, shule za msingi, shule za...
Wakuu Salaam;
Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.
Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.
Anayejua yuko wapi...
Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi.
Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
DUA KWA VIJANA WETU
Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali.
Kwa upande wa ndondi...
Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000.
Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
Watu wa Soka,
Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua).
Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe...
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bwana Haji Janabi (kushoto) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi kutoka Tanzania na Afrika Kusini katika kikao awali kufikia kwa maandalizi ya Tamasha la Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini nchini Tanzania ambalo linatarajiwa kufanyika kuanzia mwishoni mwa...
Hakuna haja ya kuchimba madini kama bado tunayapeleka kama kipindi cha ukoloni, hata kipindi cha biashara na waarabu wazee wetu walichimba na kuuza madini yakiwa yameshachakwatwa.
Mimi binafsi naona Serikali ingekazia kwa miaka kumi katika sekta zifuatazo
-Elimu- kuzaliaha wataalamu na kuwauza...
Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo
Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa...
Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo?
Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za kisiasa.
Alipofyekwa na kuondolewa serikalini katika kipindi cha Magufuli, alionekana kujawa na...
Wananchi wa kawaida wanalalama kupanda bei ya vyakula. Bashe anasema hatafunga mipaka hata kama kilo ya unga itafika buku tano.
Kila mtumishi wa umma anawaza kupiga dili ili ajilipe.
Gharama na ughali wa maisha unazidi kupaa mithiri ya mwewe anavyokwapua vifaranga.
Mkuu wa nchi yupo busy na...
Karibuni kwenye huu mjadala.
Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono.
Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...