tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Tanzania na Uganda inachezwa Lini?

    Mimi ni mzalaendo wa michezo Tanzania, nataka nijue siku ya hii mechi muhimu. Karibuni
  2. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania The Hidden Tanzania: Filamu itakayofuata baada ya The Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania. Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa afungua Mkutano Mkuu wa CAF Jijini Arusha, Tanzania

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 amefungua Mkutano Mkuu wa 44 wa kawaida wa CAF AICC Arusha. Mkutano huo umehudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Patrick Motsepe.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

    Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe. Mpaka sasa sijasikia mgombea yeyote aliyepita bila kupingwa, wala sijasikia Wagombea waliotekwa , kupigwa ama kuporwa fomu, wala...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Accountant at Allterrain Services Tanzania Limited

    Allterrain Services Tanzania limited is an experienced Camp facility Management Company with more than 20 years in the operation in Tanzania dealing with Catering, Cleaning, Facilities Management and outsourcing. Allterrain Services Tanzania Limited is currently seeking to appoint an Accountant...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania HMIS and M&E Manager at Marie Stopes Tanzania

    CAREER OPPORTUNITY Marie Stopes Tanzania (MST), a Non-Governmental Organization, is a social enterprise and a leading provider of family planning, sexual and reproductive health care, and allied services. MST is a partner of the Government of Tanzania and a member of the Marie Stopes...
  7. Mpwayungu Village

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

    Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maafisa 8 wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya Wakamatwa

    MAAFISA nane wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC) wamekamatwa na Polisi na kusimamishwa kazi baada ya kukutwa wakifanya mkutano wa siri. Maafisa hao wamekamatwa katika kaunti za Homabay, Kisumu na Bungoma ambapo walikutwa wakiwa na baadhi ya wagombea wa nafasi tofauti katika...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kauli na matendo ya Rais Samia yameituliza nchi na kuwaunganisha Watanzania katika kuijenga Tanzania Yetu

    Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,. Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafadhili mkutano wa Shirikisho la Soka baada CAF kukosa pesa

    Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma. Taarifa zinasema Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekosa fedha na iko kwenye hatari ya kufilisika kiasi cha kufikia kuomba serikali za...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TET: 60% Watoto wenye changamoto ya kufaulu darasani wana tatizo la uoni hafifu

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar kuhusu Mapitio Makubwa ya 6 ya Mitaala ya Elimu ya Tanzania TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa na ushawishi wowote kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Leo ni siku ya uchaguzi nchini Kenya upinzani mkali uko baina ya Laila Odinga kutoka Nyanza province na Ruto alie kua makamu wa Raisi wa Uhuru Kenyatta, ni Mkalejini Nandi province. Nchi yetu Tz ni Big brother wa Kenya na iko strategically important kwa nchi ya Kenya kiuchumi kijeshi ki eneo...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatafuna mfupa mdogo mdogo

    Serikali ya Tanzania inakusudia kuongeza kasi na kiwango cha uzalishaji wa mbegu za mafuta ya kula ili kuviwezesha viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa hiyo itakayosaidia kuokoa fedha zinazotumika kuagiza mafuta nje ya nchi. Kutokana na Upungufu wa uzalishaji wa mafuta nchini kwa mujibu wa Waziri...
  14. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Russians looking at Tanzania as new holiday destination after sanctions

    I found this interesting article on google. Tanzania and especially nothern Tanzania might be a very special destination as far as politics,science and many more are concerned. --- The appeal from Arusha in Northern Tanzania where the iconic Mount Kilimanjaro sits is something Russia wants...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

    Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Uganda yapinga Benki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Makao Makuu Tanzania

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Uganda ambaye pia ni waziri wa EAC Bi. Rebecca Kadaga apinga wazo hilo kwani Tanzania tayari ni makao makuu ya taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Uganda ina Taasisi 3 za Jumuiya ya Afrika Mashariki zenye makao yake makuu Uganda. Jumuiya ya Afrika...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mstaafu wa Marekani, Mike Pence atua Tanzania

    Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park. Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika...
  18. Bujibuji mafuriko

    JamiiForums Tanzania Poor management and Decision making in Educational sector in Tanzania

    There is always poor handling issues everywhere. Everyone who comes into power believes ideas that has just been made by the former president is right, No. We are not happy with how this is taken in to consideration. You can't dump everything in the RAGL. How? Is not acceptable. Intelligence...
  19. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunajifunza nini kuhusu uchaguzi wa Kenya? Tubadilike

    Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10. Serikali y a CCM mnalo la kujifanza hapa msijifanye hampo na hamna habari, angalieni chaguzi ya Kenya inavyofanyika pamoja na...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Dk.Patrice Motsepe awasili Tanzania, leo Agosti 8, 2022

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba (kushoto).
Back
Top Bottom