tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya Viwanda ni hadaa kubwa sana na hakuna kitu kama hicho

    Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya viwanda kabisa na tukaambiwa kwamba ukiwa na vyerehani 4 basi ni kiwanda na ukiwa na mashine ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mwakinyo uje tanzania na viatu unavyolalamikia

    Tupo wataalamu wa uchunguzi tutavichunguza tutabaini na hata aliyekuibia tutamtambua .keep it up ngumi unaweza ila gangamala.
  3. JamiiForums Tanzania Sensa Tanzania VS Sensa Zambia

    Zambia yenye watu milioni 18 iko kwenye sensa ambayo watu watahesabiwa kwa siku takribani 26! Tanzania yenye watu milioni 60 watu wamehesabiwa kwa siku saba!
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  5. JamiiForums Tanzania Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

    👇👇 Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. 👇👇 KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
  6. JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania bila utashi wa dhati wa Wanasiasa wetu kamwe halitafika popote

    Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote! Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho kipi cha ziada ulichokifanya sana sana ni kufungia wanafamilia wa mpira wa miguu? Football ni zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

    Karibuni niwe wakala wenu, Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa. Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka. Ahsanteni
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tumepigika tena, safari hii 3-0, Uganda haooooo wamefuzu CHAN 2023

    Safari ya timu ya taifa ya Tanzania kufuzu kucheza Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) imefikia tamati baada ya kupata kipigo cha magoli 3-0 dhidi ya Uganda, leo Jumamosi Septemba 3, 2022. Kwa matokeo ya mechi hiyo iliyochezwa Uganda, Tanzania imetolewa kwa jumla ya...
  9. JamiiForums Tanzania Live from St Mary's stadium,,Uganda vs Tanzania at 1600 EAT

    Leo jamuhuri ya Tozo inaenda kupindua meza kibabe kabisa ugenini St Mary's Kampala Uganda,,karibuni site tuwaunge mkono
  10. JamiiForums Tanzania Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  11. JamiiForums Tanzania Barua kwa mwanangu - Tanzania

    Anaandika MTANGANYIKA - Rais wa TEGETA Empire - 0752591744/0682080069. Barua Kwa Mwanangu MTANGANYIKA BARA, S.L.P 1961, Mbinguni. 12/ 09/ 2022. MTANZANIA BARA VISIWANI, S.L.P 1964, DODOMA, UNGUJA K.K Malaika Mkuu Gabriel Mawinguni JUU. Kwako mwanangu nikupendae sana. Hujambo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtaala wa elimu Tanzania ni Ukoo wa babu

    Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of change baada ya hapo twende pamoja katika mada yetu ya ukoo wa babu... LEO TUNAGALIE KATIKA NYANJA...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa haihitaji 5G, wengi wamesharudi kwenye 3G kutokana na gharama za mabando

    Ikiwa GB 10 unauziwa kwa 25,000/=, na zenyewe unatumia ndani ya siku kadhaa tuu ukiwa kwenye 4G, je ukiwa kwenye 5G si ni siku moja bando linakuwa limeisha? Mabadiliko ya teknolojia yanapaswa yaendane na mabadiliko ya sera za bei za data. Nchi nyingi zilizozindua hii teknolojia ya 5G hawatumii...
  14. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukeketaji wa wanawake Tanzania

    Hodi! Hodi! Hodi! nilibisha mara tatu pasipo na jibu. Mlango ulikuwa wazi na kimya kilitawala nilijongea ndani taratibu nikijua huenda bado wamelala. Au wamehama? nilijiuliza kimoyomoyo, nilikaribishwa na utandu wa buibui, wadudu waliojitengenezea nyumba zao sakafuni na panya waliokimbia huku na...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ndio gwiji, jabali na Mfalme wa muziki nchini Tanzania

    Ndugu nawasalim kwa jina la yule alieumba mbingu, ardhi na vyote vilivyomo ndan yake. Ndugu zangu nakumbuka marehem babu yangu aliwahi kuniambia kwamba, kama mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania hayati Marijani Rajabu aka Jabali la muziki angejaaliwa elimu katika maisha yake ya dunia, basi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania Tena! Waisrael waja kufanya uwekezaji Mkubwa wa Mahoteli Zanzibar

    Haya ndo matokeo ya kufanya kazi kwa akili na sio maguvu! Jarida maarufu nchini Israel la The Times of Israel limeripoti kuhusu Waisrael kuja kufanya uwekezaji mkubwa Zanzivar ikiwemo kujenga Hoteli kubwa za kisasa katika kukuza soko la utalii Jarida hili halijaishia hapo bali limekwenda mbali...
  17. JamiiForums Tanzania Nurse Midwives (20 Posts) at Tanzania Red Cross Society

    VACANCY ANNOUNCEMENT The Tanzania Red Cross Society is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by an Act of Parliament No. 71 of December 1962 amended by Parliament of Tanzania 2019. It is mandated to play specific voluntary humanitarian roles...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Mbingu kumi na nne

    MBINGU KUMI NA NNE Tanzania ni binti mrembo wa Kiafrika ambaye kwa bahati mbaya alifiwa na wazazi wake pamoja na mdogo wake wa kiume akiwa na umri wa miaka kumi na mitano tu.Ilichukua masaa kadhaa tu kumfanya binti huyu mrembo kuuitikia upweke uliobisha hodi ndani ya nafsi yake na kumfanya...
  19. JamiiForums Tanzania Naweza kufungua Bank Account nikiwa nje ya Tanzania

    Naishi nje ya Nchi.....! Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....! NB. Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking. Asante.
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…