tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Relationship Manager at KCB Bank Tanzania

    Job Summary: To achieve business growth for the Bank by acquiring new profitable customers; and selling Sahl Banking products while also promoting sales of other products and services of the Bank to increase wallet share within existing customers. This incorporates prospecting for new business...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Tathmini ya Tundu Lissu ya Uchaguzi mkuu Kenya Agost 9, 2022; Ausifu na kueleza aliyoyaona na ambayo hakuyaona yakifanywa na tume - IEBC

    Niseme nini hasa? Tundu Lissu ni miongoni mwa wanaharakati, wanasheria na wanasiasa brilliant wanaojua kuelezea jambo kwa lugha rahisi, iliyonyooka na kueleweka na yeyote... Ni wazi kuwa huyu jamaa kasoma kweli na ameelimika pia na anajua mambo mengi sana... Hapa anaeleza maoni na mtazamo...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania 0-1 Uganda, kipigo kilikuwa ni haki yetu Watanzania, kwa sababu hizi....

    Timu ya Tanzania imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Uganga katika mchezo wa kuwania kufuzu CHA, leo Agosti 28, 2022 Japokuwa kuna mchezo wa marudio baina ya timu hiyo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 3, 2022, lakini niwe mkweli ili kufanikiwa kufuzu basi kuna kitu kikubwa cha ziada kinatakiwa...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Namuona Lowassa akija kuwa Rais wa 7 wa Tanzania

    Hapo vip!! Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa. Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kudhibiti usugu wa dawa za kutibu magonjwa yanayo sababishwa na bakteria na kuvu (Fangasi) Tanzania

    KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA. Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo zimeundwa kuziharibu na hilo husababisha mtu kushindwa kupona ugonjwa fulani unaosababishwa na...
  8. Sijali

    JamiiForums Tanzania Siku Tanzania "ilipotoa" msaada

    Wengi wetu tuna hii dhana kuwa Tanzania ni nchi ya kupokea misaada tu. La hasha! Kulikuwa na wakati Tanzania ilikuwa ikitoa misaada, tena ya kifedha! Mwaka 1975 ulikuja ujumbe wa Vietnam ukakutana na rais wa wakati huo Julius Nyerere. Ujumbe huo ulikuwa unatembelea nchi za duniani kuomba msaada...
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  11. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kwa Serikali Yangu ya Tanzania

    Mimi kama Mtanzania Naomba kutoa ushauri mdogo Kwa Rais wangu na serikali Kwa ujumla Kwanza mheshimiwa Rais anafanya kazi mzuri, anaonekana ana ndoto mzuri Kwa tanzania na vision mzuri ya kuleta maendeleo Kwa Sisi watanzania Changamoto ambayo mm naiona na nataka kushauri ni kwenye upande wa...
  12. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Application yenye uwezo wa kununua vifurushi vya mitandao yote ya simu Tanzania

    Natafuta App moja yenye uwezo wa kununua vifurushi vyote vya mitandao ya simu, yaani nikitaka kununua kifurushi cha Tigo, Airtel, Vodacom, Halotel, TTCL, niweze kuvipata ndani ya App moja yenye package ya vyote. Natanguliza shukrani, kama unaifahamu nijulishe tafadhali.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Angola: Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji watoa tamko

    Marais Wastaafu Dkt. Jakaya Kikwete wa Tanzania na Joaquim Chissano wa Msumbiji kwa pamoja wameungana na Timu mbalimbali za Kikanda na za Kimataifa za Waangalizi wa Uchaguzi wa Angola kutoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika tarehe 24 Agosti 2022
  14. GoJeVa

    JamiiForums Tanzania SoC02 Pande mbili za Tanzania yetu

    PANDE MBILI ZA TANZANIA YETU. SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. SEHEMU YA PILI: WANANCHI NA UFUKARA, WATAWALA NA UKWASI. TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. Chanzo cha picha: mtandaoni.(hawa ni vijana wa kitanzania waliovalia kiasili). Tanzania ni nchi...
  15. FourTwoNet

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado changa sana, hata hatujafikia teenage years

    Habari wakuu, Bila mengi, moja kwa moja naenda kwenye mada. Ukiangalia kwa umakini, viongozi wetu wakubwa wanaoindesha serikali kwa wakati huu, wengi wao ni watu waliozaliwa miaka ya 1960's. Wapo mpaka wa 1950's huko....na wachache sana ni wa 1970's...hadi kufikia 1980's ni wa kubahatisha...
  16. Isaya J Elisha

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tozonia, unyongofu wa mfumuko wa bei na dira ya Tanzania

    DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na mkopo huo pamoja na jinsi deni linavyo lipwa. Mfano: Kukopa fedha kwa ajili ya elimu ambayo...
  17. mayowela

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi Tanzania chenye Unafuu wa Ada kwa kusoma Masters

    Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration. Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama kwenye Degree ulisoma kozi ingime tofauti na hii. Nawasilisha kwa mrejesho zaidi.
  18. Sijali

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Iran na Tanzania kisasa

    Uhusiano wa Iran na Tanzania ya kisasa ni wa miaka arobaini hivi, tangu kufanikiwa kwa mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Lakini Waajemi walikuwa wanakuja pwani zetu tangu miaka elfu nyingi. Ni vizuri kuona Waziri wa Mambo ya nchi za Nje wa Iran, Abdullahian, akizuru Tanzania hivi sasa...
Back
Top Bottom