tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazidi kufunguka, sasa kuwakilishwa ktk oscar award na filamu ya vuta n'kuvute

    Soft diplomacy kupitia filamu fupi ya Vuta nN'kuvute imewekwa katika orodha ya filamu 20 kutoka kote duniani ambazo mojawapo itaibuka mshindi katika tamasha la filamu tajwa duniani la Oscar Award. Nchi za Marekani kupitia Hollywood pia India kwa mgongo wa Bollywood zimeweza kutumia tasnia,ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  4. JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza udhibiti wa Ebola mipakani

    Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda jana usiingie nchini. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa...
  6. JamiiForums Tanzania Africa Union Watch(AU) washangazwa na kauli ya uingiliaji mradi wa bomba la fatu Uganda hadi Tanzania.

    AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) AFRICAN UNION WATCH (AU Watch) Thinking ahead for Africa Public Policy Analysis Strategic Insight and Objective Analysis Practical and Effective Solutions Atlantic Road, Cape Point Road, Banjul, Kanifing Municipal Council, The Gambia...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mikopo ya trilioni 12 kwenye bajeti ya 2022/23, Tanzania itakuwa imefilisika kufikia 2027

    Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4 Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi ya nusu ya makusanyo yote. Maana yake wakikopa hivi kwenye bajeti za miaka minne ijayo (ukizingatia...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu mtu ni nani hasa katika siasa za Tanzania?

    Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake? Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa! Ni nani huyu mtu kwenye siasa za Tanzania?! Ana nguvu gani mtu huyu kwenye siasa zetu hapa Tanzania?!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Wanasayansi wa asili Tanzania

    Tujikumbushe Wanasayansi wa Asili Dr Mandondo (Tanga), Dr Mwakipande(Makete), Dr Chapotela( Mwanza) na Prof Bulaya & Sheikh Yahya( Dsm) Waafrika tuna Sayansi zetu ambazo zimesaidia na kutoa mwongozo kwa maisha ya Wanasiasa wakubwa na Wafanyabiashara maarufu Huwezi kutenganisha utajiri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania isiyokuwa na vyama. Nini tatizo?

    Wana JF, SALAAM! Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo. Mfano:- (a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
  12. JamiiForums Tanzania Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

    Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita. Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Tanzania ni wakosa subira wakubwa.

    Kwanza niweke rekodi sawa. Tanzania hakuna Wapenzi wengi wa Mpira wa Miguu kama wanavyoamini wengi wetu, bali kuna Mashabiki wengi wa Simba na wa Yanga. Kwa isivyo bahati mashabiki wetu hawa wanachowazidi Mashabiki wa sehemu nyingine Duniani ni namna hata wanavyoshabikia hizi timu zao. Leo hii...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya na Neo Colonialism-kiini cha kupinga bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanzania

    Bunge la Ulaya limeazimia kuufuta mradi wa bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania. Sababu za kitoto wanazotoa ati ni uharibifu wa mazingira na haki za binadamu!! Huu ni uhujumumu wa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi za kiafrika zinazotaka kujikomboa katika umasikini kwa kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kama Uganda!

    Museveni anatawala UG tangia 1986, ameweza hilo ingawaje anatoka kundi dogo ambalo ni minority Uganda, sababu kubwa ni kwamba ana Jeshi, anamiliki Jeshi kama ukipenda na ndio maana anaongoza majority hata kama hawamkubali hakuna kitu watafanya sababu hawana Jeshi, uchaguzi ni zoezi tu lkn...
  17. JamiiForums Tanzania Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!

    Katika orodha ya watu muhimu waliofariki nchini mwaka 2020, Jina la Erasto Barthlomeo Mpemba halimo! Watu waliofariki mwaka huo, na misiba yao kuadhimishwa kitaifa mwaka huo, wamo Rais mstaafu Benjamin Mkapa, John Kijazi, Mchungaji Rwakatare, Jaji Agustino Ramadhani, Waziri Agustine Mahiga—wote...
  18. JamiiForums Tanzania R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

    Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe 1. Dilemma-Nelly ft Kelly 2.Make it rain-fat joe 3.In da club-50cent 4.Ineed a girl -p diddy...
  19. JamiiForums Tanzania Wasichana watatu kati ya 10 wanaathirika na ndoa za utotoni Tanzania

    Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni. Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
  20. JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana hakuna gesi iliyowahi kuuzwa na kusafirishwa kwa bomba kwenda nje ya Tanzania

    Unapo zungumzia gesi ni tofauti sana na mafuta katika swala zima la uhifadhi na usafirishaji. Ili kuweza kuisafirisha gesi nje ya nchi unahitaji miundo mbinu ya kuweza kuibadilisha kuwa kimiminika. Ikiwa katika hali ya kimiminika ndipo unaweza kuipakia kwenye meli ikiwa kwenye mitungi maalumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…