Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.
Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini.
Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili...
Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania.
Dr. W. Slaa anaongeza kuwa njama zozote za kuipiku CHADEMA katika jambo la katiba mpya kwa kukiweka chama hiki cha...
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro.
===
Balozi wa Tanzania...
Ndugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo...
Ndugu zangu pamoja na mambo mengi yaliyopita tangu Tupate uhuru ni wazi kuwa kwa sehemu fulani Rais Samia amekuwa Rais Bora miongoni mwa waliokuwa bora.
Hili linakuja kutokana na mchango wake mkubwa hasa ktk kuleta ajira, na kuongeza fedha ktk mzunguko wa miradi ya kitaifa. Kama miradi hiyo...
Utangulizi:
Yoabu alikuwa ni Mkuu wa Majeshi au Jemedali wa Jeshi la Israel wakati wa Mfalme Daudi.
Habari za Yoabu na Mfalme Daudi utazipata kwa kina ktk Kitabu cha Biblia cha Samweli wa kwanza na Wapili, Mambo ya Nyakati wa kwanza na Wa Pili lakini pia Habari zake zinaanzia Katka kitabu cha...
Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
Wiki iliyopita nikiwa natoka Kenya kuja TZ kupitia boda ya Horohoro kuna mambo mawii niliyoona na yakanikata na kunifanya nitafakari kuhusu mamlaka zetu hizi za Uhamiaji.
Nilikuta mazingira ya vyoo ambavyo vinatumiwa na abiria ni vichafu na vinahatarisha hata afya ya watumiaji, kuanzia...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald J, Wright amesema katika vijana aliokutana nao wameonesha kutaka kushiriki katika maisha ya kisiasa na kijamii, pia wanataka uhuru wa kujieleza sauti zao zisikike.
Ameyasema hayo Desemba 12, 2022 alipoungana na viongozi vijana zaidi ya 400 kutoka nchi...
Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup.
Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa??
Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
KAMA HAYATI MAGUFULI ANGEKUWA HAI,ZITO KABWE ANGETUELEZEA VIZURI DENI LA TRILIONI 91 LIMEFANYA NINI TANZANIA.
Leo 13:15hrs 11/12/2022
Mara ya mwisho kusikia habari ya deni la Taifa ilikuwa kwenye bunge la budget mwaka huu nilipomsikia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba...
Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari.
Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
Sote tunajua Awamu ya tano ilivyokuwa ikiwapora Wafanyabiashara wa Ndani pamoja na kubambikiwa Kodi zenye nia ya kuwafilisi Wafanyabiashara wetu wa ndani.
Kuona hivyo Wafanyabiashara wengi walipekeka Mitaji yao Nchi za Nje.
Ni pesa nyingi ya Watanzania iko Nchi jirani.
Samia awaombe warudishe...
Tanganyika ipo wapi?
Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia?
Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani.
Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi...