tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuandika historia siku ya leo kwenye bwawa la umeme la Nyerere

    Leo December 22 Rais Samia Suluhu atazindua hatua ya kwanza ya kuanza ujazaji maji katika bwawa la Nyerere (JNHPP) Ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 78.68. Tanzania tunaandika historia ya kuwa na bwawa kubwa zaidi lenye uwezo wa kujaza maji lita Bilioni 32 na bwawa hili ni kubwa kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania's diplomatic priorities

    Let me say my jaw hit the floor when I learnt that president SS Hassan did not attend the just-ended US-Africa summit in Washington, choosing instead to stay at home; effectively giving it a two-fingers up. The vapid schmucks at the Foreign Affairs Ministry have done it again! They failed to...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa kwaajili ya maendeleo ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu jana katika uwekaji sahihi katika mradi wa SGR Rais Samia Suluhu alisema kuwa Pale tunapohisi pana faida tutaendelea kukopa. Kwa wanaosema awamu hii imekopa sana, waseme pia ndio awamu imejenga sana na kweli sisi ni mashahidi tumeona awamu hii imekopa sana lakini maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Ushirikina, Tiba Mbadala zinavyogharimu maisha ya watu Tanzania

    Oktoba 13, 2022, nilipita katika Taasisi ya Ocean Road (ORCI) na kushuhudia wagonjwa wakiendelea na matibabu. Baadhi walikuwa waliowahi matibabu ugonjwa ukiwa bado katika hali ya chini na wengine wakiwa wamechelewa na ugonjwa ulikuwa juu. Nje ya ukuta wa jengo hilo watu wawili walikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Songea: Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania ili kuanzisha Taifa la Kiislamu

    Sita jela miaka 50 kwa kutaka kuipindua Serikali ya Tanzania Hukumu hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki mbele ya Jaji Dk. Yose Mlyambina kwenye Masijala Ndogo ya Songea. Washtakiwa katika kesi hiyo ni Seif Chombo, Abdallah Chombo, Mohamed Kamala, Athumani Chombo, Omary Mbonani na Rashidi Ally...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi wa habari Tanzania hawaongelei rushwa?

    Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi. Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku Nashauri wana habari tengeni muda na...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto. Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania MORUWASA ndiyo mamlaka ya maji ya ovyo sana Tanzania

    1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki. 2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi. 3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia 4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi 4. Waziri wa maji...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

    Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika. Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Je, katiba pekee ndio inaweza kubadili mienendo na siasa za Tanzania? Kama sio basi nini kifanyike kubadili siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla?

    Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili. Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima? All in all ebu...
  14. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kama naweza kupata gari 0 kilometers au kuagiziwa

    Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu authorized dealers au hata waagizaji wa magari kutoka USA kwa hapa Bongo.
  15. JamiiForums Tanzania Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dua zenu zimekubaliwa: Kenya haitaagiza tena chakula kutoka Tanzania 2023

    Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo Hii ni habari njema kwa wale...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia Mita za Nauli kwenye Taxi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri. Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo la wataalamu

    Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi. Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…