tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

    Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi. CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri...
  2. JamiiForums Tanzania Waliosema Tanzania ni miongoni mwa ligi tano bora Afrika wajitafakari

    Mtandao uliotoa takwimu na kusema Tanzania inashika nafasi katika ligi tano Bora Afrika bila kujali Kigezo walichotumia huenda takwimu hizo zilisukumwa na aidha kutokuwa na taarifa sahihi kuhusu ligi za Afrika, au mitazamo na mihemko binafsi au labda alitumia Kigezo cha kuwa na mashabiki na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania itapeleka majeshi DRC?

    Kufuatiwa mgogoro wa DRC/Congo dhidi ya M23 ambao umepelekea nchi wanachama wa Africa mashariki kupeleka vikosi vyake kupambana na kundi hilo la kiasi ambalo DRC inaishutumu Rwanda kulisupport kifedha, kiinteligencia na kijeshi. Mpaka sasa nchi 5 kati ya 7 zimepeleka majeshi yake DRC /Nchi zote...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania na Africa hatuna uhusiano na Latin America?

    Huwa najiuliza marais wa Africa ikiwemo Tanzania hatuna uhusiano na nchi za Latin America?(America Kusini). Nakumbuka Jakaya Kikwete aliwahi tembelea Brazil lakini sio nchi kama Paraguay, Colombia, Argentina, Ecuador, Venezuela, Chile na nyinginezo. Na pia marais wa huko ni kama hawana time na...
  5. JamiiForums Tanzania Mjema: Serikali awamu ya sita imedhamiria kuboresha huduma ya mama na mtoto Tanzania

    SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

    Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania: 1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi 2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi. 3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi. 4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi. 5. Electrical Engineering...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Tanzania kurejesha Wizara ya TEHAMA

    Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika hatua za awali, ilikuwa imeanza kujenga ukaribu na wadau na ndipo mchakato wa kuanzisha Sheria ya Ulinzi...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  9. JamiiForums Tanzania Kama mtu anafika chuo kikuu na kuhitimu bila kujua kusoma na Kuandika je lengo la Elimu ni lipi hapa Tanzania?

    Ajira ni ngumu yes Lakini Kama watu wanagraduate chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7 TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa Elimu waliyonayo sio relevant na level zao. Ukitaka kuamini...
  10. JamiiForums Tanzania Makala inayoonesha uzuri wa Tanzania

  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

    Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala. Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TCU ichunguze vyeo vya Udaktari wa Heshima wanaopewa Wanasiasa, tunatengeneza Taifa la Wajinga

    Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is need to control honorary degrees in Tanzania Having a doctorate is a big deal. It shows that the...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Walisema arudi tutafanya uchunguzi, nimerudi nasubiri niitwe

    Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema; Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye majalada kuhusu tukio hilo na wenye wataalamu wanaojua silaha illiyotumika hivyo wao ndio wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

    Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada. Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme”...
  16. JamiiForums Tanzania IFFHS: Ligi Kuu Tanzania ni ya 5 kwa Ubora Afrika na ya 39 Duniani

    Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022. NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia. Misri inaongoza kwa Ligi bora...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  19. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Ardhi Tanzania

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa; Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo chini yako nchini? Mfano; Ichunguze Idara ya Ardhi Manispaa ya Morogoro, Kuna uhuni mwingi unaendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Lini Vyuo Vikuu vya Tanzania vitafikiria kumpa Udaktari wa Heshima Freeman Mbowe?

    Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani. Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…