tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Msimu bora kwa Kikosi kilicho bora Tanzania

    Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo 2023 kwa kiasi flani YANGA WANAMSIMU MZURI TOKA 2022 NA UZURI HUO UNAWEZA KUFIKA 2025 Haya nayaandika...
  2. JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Mikutano na Matamasha DsmTanzania The Super dome

    Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome una kila kitu ndani yake Fixed sound system LED Screen Stage Fixed Lights Fixed Camera Tables and chairs VIP rooms
  3. JamiiForums Tanzania Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

    Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price. Sasa, tunaambiwa kuwa Kivuko kipelekwa Kenya kwenye ukarabati kwa Bei ya 7.5B kwakua wale competitors wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  5. JamiiForums Tanzania Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

    Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei Safari hii...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania huduma nyingi za kisasa za mitandao hazipatikani?

    Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania. Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria. Sasa natumia Twitter...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kupata raha na Furaha ikiwa unaishi hapa Tanzania?

    Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ?? Binafsi Mimi Sina Furaha Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada...
  8. JamiiForums Tanzania Tulifikirie suala la Sarafu moja kati ya Tanzania na Kenya

    Kenya na Tanzania mambo mengine kila mmoja afanye kivyake, lakini hili la shilingi moja tulifikirie. Tuwe na shilingi moja jamani, itatufaa sana! Hoja Binafsi.
  9. JamiiForums Tanzania 5G itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iPhone nchini Tanzania 🇹🇿 katika iOS 16.4

    Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G. Kwa ripoti nyingi zinaonyesha baadhi ya maeneo ambayo kwa iOS 16.4 yamepata support ya 5G ni Macau na Uturuki. Lakini kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Siku nikifanikiwa kuwa Rais wa Tanzania; Mafisadi na familia zao zinazoneemeka kwa ufisadi, wataula wa chuya

    Habari wana Jamvi wa Jamii Forums, salamu nyingi kwenu. Napenda kuwahakikishia kwamba nawapenda sana. Ama baada ya salamu hizo za upendo, naomba moja kwa moja nidondoke kwenye mada. Kama vile tunavyofahamu kwamba Mungu anaweza kumfanya mtu yeyote, wa hali yoyote, wakati wowote, kuwa yeyote...
  11. JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania aivunja Kamati ya Mwezi na kuunda Mpya. Aiongezea nguvu

    BAKWATA inapenda kuufahamisha Jamii ya Waislam kuwa Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ameivunja kamati ya Mwezi iliyokuwepo na kuunda kamati Mpya na kuoongezea nguvu.
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni Air Tanzania

    Habari zenyu wana wa nchi ya Tanzania? Nipende kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi wa air Tanzania ofisi ya posta karibu na supermarket ya imalaseko kwa huduma yao nzuri iliyotukuka. Hii ndio aina ya huduma tunayoitaka tunapotaka huduma kwenye mashirika ya umma. Hawa watu wanahudumia...
  13. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Viongozi Baraza la Manabii na Mitume Tanzania, Gwajima na mzee wa upako watajwa

    17 February 2023 Rais wa baraza la manabii na mitume Tanzania Dr. Joackim Peter Kimanza ... shalom waTanzania tupo mbele yenu katika uamsho wa kuwafikia watanzania mpaka ngazi za Vijiji.. kuweza kufikia hilo mimi kama rais wa baraza ninawateua wafuatao ... Toka maktaba :
  15. J

    JamiiForums Tanzania India kuanzisha chuo cha TEHAMA nchini Tanzania

    Serikali ya India inatarajiwa kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na kozi nyingine zinazoendana na mrengo huo. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo Dares Salaam...
  16. JamiiForums Tanzania Namna China ilivyoweza kujiendeleza, Tanzania tuna yapi ya kujifunza?

    Habari za saa wanachama wote. Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi. Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

    Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri)...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Nilichogundua Tanzania Kuna watu wajinga wengi ndo maendeleo ni duni Sana

    Mfano unakuta Mtu kaajiriwa analipwa 600k Anafanya Kazi 8--9 hours Anamiliki nyumba vyumba 3 na choo cha nje Ana Ist used ya Mwaka 2005 Kaoa ana watoto 2 au 3 Basi utaanshangaa huyu Mtu akimcheka Kijana bodaboda Ambaye Hana nyumba Wala gari Ambaye hajaoa Sasa huyu kijana bodaboda hutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…