Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Today, if you are asked to name a famous MP in Tanzania who builds logical arguments, you will not fail to mention MP Mpina.
He has shuffled his cards well and used his position effectively in this period, and did not choose to sit on the side of honey-lickers.
He has decided to stand with the...
Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023
SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5
Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za #Tanzania zilizopo nje ya Nchi
Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa.
Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa.
Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri...
Salaam Wakuu,
Kwenye hii picha kuna nguo na viatu vya aliyekuwa rais wa Tanzania Hayati John Magufuli.
Tutumie picha hii kutafakari Watanzania tulipo, Tulipotoka na tunapoenda?
Chemsha bongo. Unahisi Kiatu cha aliyekuwa rais wa Tanzania Magufuli ni Kipi? picha ya kushoto au Kulia?
Wakuu vipi, kwema.
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo.
1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani:
Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
Great Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania?
Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Uwekezaji (ICSID) Nchini Marekani
Kampuni hiyo imeishtak Tanzania baada ya kutaifisha leseni ya uchimbaji...
Wabunge
Madiwani
Wenyeviti serikali za mitaa
Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo.
Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa.
Madiwani kwenye...
Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai.
Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
Wadau nasalimia kwa jina la Aliyeko juu ya kila kitu na kila jambo.
Naomba ushaur naipataje degree ya masuala ya Bima nikiwa dar. Hasa kwa njia ya non full time studies! Ili nisiathiri utafutaji wa from hand to mouth.
[Kwa maana licha ya kuwa na Nida ya utaifa sijapewa mgawo wowote kwenye...
Tuanzie kwa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere hadi uchaguzi wa 2025.
Ni uchaguzi upi ambao ulikuwa huru na haki?
Ikumbukwe enzi za Mwalimu, uchaguzi wa Rais ilikuwa ni Nyerere against kivuli.
Hata baada ya vyama vingi hakujawahi kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI ambapo kikundi cha waratibu wa wizi...
Location - Tanzania
Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience
Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania.
Our client is a...
Habari zenu.
Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani.
Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
Utafiti uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) umeonesha kuwa Watoto ndio waathirika wengi wa matukio yaliyoripotiwa na kurekodiwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania kwa (47%), wakifuatiwa na wanawake (33%), wazee (10%) na Watu wenye Ulemavu (4%).
Pia, kwa...
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena...
Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya (Dpp) na kuachiwa huru hii huku victim muhathirika wa kuibiwa pesa zake na Mali anatoka 0-0
Hivi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.