Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Shirika la Viwango Nchini (TBS) limewaelekeza wananchi kutoendelea kutumia bidhaa za Johnson’s Baby Powder zenye kiambato cha TALC toleo namba 22318 RB kutoka Kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani inayodaiwa kuwa na madini yanayosababisha saratani.
Katika taarifa yao iliyotolewa na...
Yaani CAG anagundua makosa ya budget ya 2020-2021 halafu anaitoa 2022 lakini wakubwa wanaipeleka mbele katikati ya budget ya 2023-2024. Hivyo matatitizo ambayo yamegunduliwa yanaweza yakawa yanaendelea kwa miaka 2 kabla ya kufanyiwa kazi!. Lakini cha ajabu kama kweli Bunge kazi yake ni kushauri...
Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu-Manyovu wenye urefu wa Kilometa 260.6 unaoanzia Mpakani mwa Tanzania na Burundi upo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Akielezea maendeleo ya mradi huo akianzia na eneo la Mpakani, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS...
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.
Sote tunajua...
Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana.
Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini.
Kesho ni Eid fitri
Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday
Amani Hamad, Al Arabiya English
Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST
The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
Wadau wenye sifa tajwa na wanaohitaji kuhamia ktk taasisi hyo.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF INDUSTRY AND TRADE BUSINESS REGISTRATIONS AND LICENSING AGENCY
Ref. No JA.9/259/01/A/271 06th April, 2023
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT TRANSFER VACANCIES
On behalf of the...
Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara
Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi,
Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20)
Toka Juni 2021...
Za jioni wana JF?
Naangalia kipindi cha wanyama hapa naona kangaroo wanaonyeshwa na kupendeza kweli. Hivi TANAPA haiwezi kununua kangaroo wachache kutoka Australia ili tuwafuge na kupata watalii wengi wanaokuja Tanzania?
Hii itasaidia hata watalii wa ndani ambao tumekuwa tukitamani kuwaona...
Binafsi kero kubwa nayo pitia hapa mtaani ni njia za kupita hasa kipindi cha mvua, na barabara inakuwa mbovu sana.
Wewe je, unapitia ipi hata kama ni ya mtaani/ofisini/nyumbani?
Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania aliyedhurika.
Tanzania imesema inafanya mpango wa 'evacuation' kwa raia wa Tanzania endapo itahitajika.
Katika story za jioni baada ya kazi leo hii nimejifunza kitu kigeni nanyi ningependa kuwashirikisha.
Amini usiamini hadi sasa kuna makabila watu hulazimika kuoana wao kwa wao si kwa kupenda bali ni kuogopa kutengwa na ukoo.
Moja ya kabila hili ni Wasafwa, ni kabila kubwa Mbeya kwa kuwa na...
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina wasiwasi mkubwa juu ya hali mbaya ya usalama inayoendelea nchini Sudan, kutokana na mapigano yaliyozuka katika mji mkuu wa Khartoum na maeneo mengine tangu tarehe 15 Aprili 2023, kati ya Majeshi ya Sudan na kikosi cha Usaidizi wa Haraka cha...
Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni vyema niyalete humu ili wadau wote wajue yanayoendelea na Uongozi wa Benki Uweze kutupatia majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.