tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Ushuru kwenye 'Bando' za Intaneti' ni balaa Tanzania

    Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha gharama za ushuru wa bando la intaneti zimeongezeka ikiliganishwa na kipindi kama hiko Machi 2022. Machi 2022 kwa kila MB moja ushuru uliokuwa unakatwa ni shilingi mbili ambayo imeongezeka hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Imepita miaka takribani 12 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi aliyeshindikana katika maswala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2006 akitokea shule ya sekondari Tosamaganga wengi wanapenda kuiita Tosa Boy's...
  3. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata updates za matukio yajayo Tanzania?

    Habari. Kwa wenye kujua ni namna gani ya kupata ratiba za matukio kama matamasha, makongamano, na events mbalimbali zinazohusiana na maswala yote ya sanaa na utamaduni, matukio mfano wa mbio za marathon, uchangiaji damu, n.k Msaada wenu wakuu, kwa wenye kujua njia za kufahamu ratiba za matukio...
  4. JamiiForums Tanzania Who Can Solve Corruption in Tanzania? The People Or The Government?

    You go to the hospital mama kijacho kapata uchungu you need to give bribe to buy nurses attention. You are peacefully driving and just ahead of you kunguru mweupe gives you a hand signal, My friend just prepare that 5k or 10k else you might just loose your precious time. Nepotism is also on...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna Awareness ya kutosha kwa Ugonjwa huu wa Kiharusi (Stroke) nchini Tanzania?

    Jamani kama Ugonjwa ambao kwa sasa Unawakumba kwa sana Watu wazima (kuanzia wa Miaka ya 60 na kuendelea) na naambiwa kwa sasa hata Vijana nao (achilia mbali Sisi Wazee wa Kati akina GENTAMYCINE tunaupata ) wanaupata ni wa Kiharusi ( Stroke ) Huzuni Kubwa inanipata ninapoandika huu Uzi kwani...
  6. JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania kuhusu ndoa zibadilishwe kulingana na mabadiliko ya Utamaduni na jamii

    Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao...
  7. JamiiForums Tanzania CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

    Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo

    Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo ili kuwaongezea uwezo, kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Akifungua Mafunzo hayo ya siku tano...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yapata mkopo wa nyongeza Dola Mil 153 kutoka shirika la fedha duniani (IMF)

    Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu. Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha duniani, inaonekana Tanzania inafanya vizur licha ya changamoto kubwa za uchumi duniani . Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania WHO: Tanzania Kinara Wa Utiaji Chanjo za Uviko-19 Barani Afrika

    Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo. ===== Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health Organisation (WHO) now ranks the country as the best performer in Africa in increasing Covid-19 vaccination...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ina wahubiri wengi wendawazimu na wabaya kuliko huyo mmoja wa Kenya

    Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya. Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
  12. JamiiForums Tanzania Air Cargo China to Tanzania

    📦✈️Habari za kazi boss Kampuni ya PM EXPRESS CARGO tunapenda kukumbusha kuwa tunaendelea na upokeaji wa mizigo ya kawaida katika ofisi zetu China Guangzhou ratiba ya week hii ndege itaondoka China🇨🇳 kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi tarehe 27/04 mwisho wa kupokea mzigo ni Jumanne tarehe 25/04. Bei...
  13. JamiiForums Tanzania UN: Tanzania Namba Tatu kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika mwaka 2023

    Umoja wa Mataifa, UN unaripoti kwamba Tanzania kuwa namba 3 Kwa Kasi ya kukua Kwa uchumi Africa ikitanguliwa na Ivory Coast na Rwanda. Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua Kwa wastani wa Asilimia 5.6 mwaka huu wa 2023 ikiwa ni Juu ya makadirio ya IMF/WB na Serikali ya ukuaji wa 5.3% My Take...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

    Hello JF family, Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo wa GePG Tanzania umefungwa au umekufa?

    Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee. Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

    Naseeb Abdul Jumah.... a.k.a Diamond Platnumz ni icon Tanzania kipengere cha Muzik, Ni kijana ambaye anatakiwa angaliwe na serikali kwa upana maana hata serikali yenyew imeblooh anajiongeze sio utani. Mbali na kumiliki anavyovimiliki chibu dangote yuko na team sahihi kabisa isikuwa na mchezo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Maeneo yasiyo maarufu sana lakini mazuri kutalii ukiwa Tanzania

    Tanzania ina vivutio vingi vya utalii, vingine ni maarufu na vinajulikana sana, lakini kuna maeneo mengine ambayo ni mazuri zaidi kutalii na hayajulikani sana. Hapa kuna maeneo kadhaa ya kutalii Tanzania yasiyojulikana: Maziwe ya Chumbe: Hii ni kisiwa kidogo kilichoko kusini mwa Zanzibar...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania toeni uraia kwa wakimbizi wenye vipaji na ujuzi

    Kuijenga Tanzania mpya kunahitaji watu mahiri na makini bila kujali asili zao. Yanga na Simba zinafanya vizuri Sasa baada ya kusajili wachezaji wenye ujuzi mkubwa bila kujali uraia wao. Tanzania ina wakimbizi wengi sana tangu zamani, baadhi ya hawa wakimbizi ni walimu, wahasibu, engineer...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Sleeping Giant

    I salute you all my beloved Jamiiforum members. After that salutation, I would like to go directly to the topic as elaborated above. Tanzania is amongst the most blessed countries in the world. Our country is blessed from a number of human resources (which is the most valuable resource ever...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…