tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje. Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia. Sharia haijaacha...
  4. JamiiForums Tanzania SINGELI ndio muziki wa Tanzania

    Japo hauna adabu ila ndio muziki pekee wenye asili ya Tanzania. Sio dansi, taarabu, amapiano, rnb, hip-hop Wala takeu zote hizo tunaiga tu.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna wachambuzi wa michezo ila...

    Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza. Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya kijana nchini Tanzania

    Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Tanzania havimo kwenye 10 bora Afrika

    Katika orodha mpya iliyotolewa na Opta yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora Afrika. Top 10 teams in Africa...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Miongoni mwa Nchi Chache Duniani Zenye Amani na Wananchi wake Wanaishi kwa Raha

    TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA “Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Tanzania havimo kwenye 10 bora Afrika

    Katika orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani (Fifa) yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora...
  10. JamiiForums Tanzania Ni katiba Mpya pekee itakayoweza kuwatofautisha wanasiasa na mwenyesiasa nchini Tanzania

    Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa. Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Launches Honorary Consulate in Macau to Boost Ties with China

    The former has launched a consulate in Macau to strengthen Tanzania and China's bilateral relations. This comes in a period of less than six months after the State visit to China by President Samia Suluhu Hassan. At the event held in Macao on Thursday and attended by various dignitaries...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji zaidi kutoka China kuleta kuwanufaisha watanzania na uchumi wa Tanzania

    Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Malawi waandika Kitabu kumhusu Magufuli

    Wasomi na viongozi wa Tanzania wakati wao wakichagua kukaa kimya juu ya mambo mengi mazuri ya Pombe Magufuli yanayohusu uongozi wake, wakati wao wakiruhusu watu wajinga kuendelea kuuchafua uongozi wake, wasomi wa nchi Jirani ya Malawi, wao wameonyesha kwamba, wasomi wa Tanzania ni watu...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

    Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tovuti za Vyuo Vikuu vya Umma Tanzania ni aibu wakiongozwa na UDOM na Nelson Mandela

    Ndugu zangu watanzania wenzangu katembeleeni tovuti za vyuo vikuu vyetu vya umma anzia na UDOM, nenda Nelson Mandela uje uniambie kama utapata taarifa unazohitaji. Ndio maana watanzania wa kawaida wanawadharau wasomi wetu. Unafungua tovuti ya UDOM ukitegemea upate programme lists, programme...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Kutumia teknolojia ya kisasa ni hatua muhimu katika kuleta usalama na kulinda rasilimali za Tanzania

    Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi. Kwanza, Kuanzishwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini. Katika kikao kilichofanyika tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Uahirishwaji wa Kesi katika Mahakama za Tanzania ni tatizo kubwa linalochelewesha utoaji wa Haki

    Kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi ni moja ya sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi za jinai nchini Tanzania. Hii pia ni moja ya sababu za kuwepo kwa idadi kubwa ya kesi zilizokwama mahakamani, ambazo husababisha watu kucheleweshewa haki zao. Uhairishaji huo unaweza kusababishwa na sababu kama...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kukuza Utawala Bora katika utawala wa umma wa Tanzania: Mikakati na athari zake

    MUHTASARI: Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii. Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…