tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Mpira

    Umegundua kadri umaskini na ukosefu wa ajira unavyoongezeka ndivyo muda wa vipindi vya redio na TV kujadili michezo unavyoongezeka; Kipindi cha michezo kinapewa airtime ya masaa matatu na mara nyingi kinarushwa zaidi ya mara moja Kwa siku Kwa kuwa michezo ndiyo inayopewa airtime nyingi basi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wa Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu Ndani ya Mipaka ya Tanzania

    Usafirishaji haramu wa binadamu ni tishio kwa haki ya uhuru na usalama binafsi. Pia ni tishio kwa haki nyingine na uhuru kama vile haki ya kuishi, haki ya kutokubaguliwa, uhuru kutokuwa mtumwa, uhuru dhidi ya mateso, uhuru dhidi ya ukatili, uhuru wa kuungana, uhuru wa kusafiri, haki ya afya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kipi kilibinafsishwa kikawa na ufanisi na tija Tanzania?

    Kuna watu wanasema Watanzania wameshindwa kujisimamia, naomba watueleze ni eneo gani kampuni za Kigeni zimewahi kupewa Tanzania ikanufaika. Tumekuwa wepesi Sana kuvuruga wananchi na watendaji Kwa malengo ya kisiasa tunapotaka kuuza rasilimali. Tumewekeza fedha nyingi Sana bandarini ,tukawekeza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya inakuja kutusaidia nini kama tumeuza madini, gesi, mbuga, visiwa na bandari?

    Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi? Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na umaskini wa CCM

    Kiukweli sio leo wala kesho CCM itakuja kutoka kimapinduzi tena yamebakia nchi ya Afrika. Tanzania imetawaliwa na mtaji wa CCM mpaka kufikia wakituambia kadi ya CCM unaweza kukopea benki na kufanyia kila kitu. Jambo hili linapelekea hatari kama iliyoundwa na Raisi aliyetenguliwa Sudani Omary...
  6. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari ya Dar ni kitanzi. Mbaya zaidi shughuli za awali zinaanza kabla ya Bunge kukubali. Je, wananchi tutakuwa na sauti katika hili?

    Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari za Bahari na Maziwa Makuu ya Tanzania unaibua masuala kadhaa ambayo yanahitaji ufafanuzi kutoka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Michezo nchini Tanzania

    Andiko kwa Wizara ya Michezo: Kuboresha Uwajibikaji na Utawala Bora Natumai andiko hili litaleta chachu katika hali njema na hamasa ya kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo nchini Tanzania. Kwa kuzingatia umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuendeleza sekta hii, napenda...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora. Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
  10. JamiiForums Tanzania FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

    Ratiba imebadilishwa mechi inachezwa saa 12 jioni
  11. JamiiForums Tanzania Economist at Bank of Tanzania - 13 Posts

    Position : Economist -13 Posts Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To collect and analyze financial and economic data, advise the Bank on economic decisions and develop models for economic forecasting. Education/Professional Qualifications...
  12. JamiiForums Tanzania Architectural Technologist at Bank of Tanzania

    Position : Architectural Technologist Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To provide design services and supervise construction and maintenance works. Education/Professional Qualifications required: Holder of a Bachelor Degree of Technology...
  13. JamiiForums Tanzania Personal Secretary at Bank of Tanzania - 8 Posts

    Position : Personal Secretary – 8 Posts Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To provide secretarial services to Head of Department and administer office support functions. Education/Professional Qualifications required: Diploma in Secretarial...
  14. JamiiForums Tanzania Takwimu za kamari za michezo na jinsi soko la Tanzania linavyokua

    Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Librarian at Bank of Tanzania

    Position : Librarian Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To perform librarian duties, establish and implement library policies, procedures and oversee library operations. Education/Professional Qualifications required: Holder of a Bachelor...
  16. JamiiForums Tanzania Driver at Bank of Tanzania - 3 Posts

    Position : Driver – 3 Posts Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To carry out a range of motor vehicle driving duties and ensure passengers reach their destination safely and materials are delivered timely. Education/Professional Qualifications...
  17. JamiiForums Tanzania Estate Officer (Valuer) at Bank of Tanzania (BoT)

    Position : Estate Officer (Valuer) – 1 Post at Bank of Tanzania (BoT) Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To perform duties related to managing and up- keeping Bank’s estates. Education/Professional Qualifications required: Holder of a...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane Gharama za Bima ya kuisafirisha mizigo zilipwe kwa kampuni za Tanzania kuongeza pesa za Kigeni

    Katika biashara ya kuagiza na kusafirisha mizigo nje ya nchi kuna gharama za bima ya mzigo (Insurance). Kwenye terms za kimataifa za usafirishaji kipengele cha CIF (Cost Insurance and Freight). Mnunuzi au muuzaji hukubali kulipa bima ili mzigo usafiri salama na kukingwa na majanga yoyote...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

    Habari wadau. Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge! Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo! Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…