tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
  2. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

    Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe. Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sisi Tanzania ni watu wa ajabu sana! Hakuna tunachoweza zaidi ya UCHAWA!

    Yaani watu mnakwenda tu kwenye maonyesho na mnarudi mmesainishwa mikataba ya kimangungo ya " kuuza" bandari zenu kwa waarabu! Baada ya TICTS kumaliza muda wao iko wapi taarifa ya kina ya utendaji wao ili tuone manufaa, changamoto na skills transfer ambayo Watanzania wamepata ili kuweza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Haya ndio niliyogundua kuhusu makubaliano Kati ya Tanzania na DP World

    Katika suala hili la makubaliano ya uendeshaji ya bandari Kati ya Serikali ya Tanzania, nimegundua kuna makundi kinzani yanayokinzana juu ya Jambo hilo. Na haya ndio makundi: Kundi la wasiojua kabisa: Kundi hili ni la bendera fuata upepo, lenyewe lipo pande zote mbili linaokoteza ya mtaani...
  5. econonist

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai ni Batili kwenye sheria za kimataifa

    Mkataba Kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ni batili kwenye sheria za kimataifa. Maana ya kwamba Dubai sio sovereign state Kama jamhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo haiwezi kuingia mikataba ya kimataifa. Mikataba ya kimataifa inaingiwa na Falme ya Kiarabu inayotambulika kwenye sheria za...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanaodai Pride Tanzania kulipwa Julai 2023

    WANAODAI KAMPUNI YA PRIDE TANZANIA KULIPWA JULAI 2023 Serikali itaanza kuwalipa Watanzania wanaoidai Kampuni ya Pride Tanzania Julai mwaka huu baada ya taratibu za ufilisi kukamilika. Pride ilianzishwa Mei 5, 1993 chini ya Sheria ya Kampuni (CAP 212) kwa lengo la kutoa mikopo midogomidogo kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania "Ni bora ukose Mali lakini upate Akili”. Huu usemi kwa Tanzania ni kweli au Shida ni CCM?

    Akili ni kile kinachobakia baada ya kutoa vyote ambavyo umejifunza darasani, na hiki ndio huwa kinakuwa kipimo cha uwezo wa kufikiri. Haishangazi sana kukuta mtu wa darasa la saba na prof likatokea jambo wote wakawaza sawa na kutoa suluhu moja maana yake akili ziko sawa ingawa mmoja ni prof...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu na Bandari Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu

    Huku tunaojali na Kuipambania Tanzania yetu tukiwa busy Kuiokoa Wasiojali na Vibaka wako Jangwani muda huu Hakika Asali ya Shilingi Milioni 20, Asali ya Ndege Uarabuni, Asali ya Mapochopocho Magogoni Big House na Ndege Umbeyani imewafanya wasiwe na Uchungu wa kutaka kujua lolote lihusulo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023 SEHEMU YA KWANZA...
  10. Jiger

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo kiinue uchumi Tanzania

    Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea za viwandani, viuwa tilifu, mashine za shambani pamoja na kupunguza garama za uwekaji mazao kwenye...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msigwa: hakuna bandari iliyouzwa kwa miaka 100 na hakuna bandari itakayouzwa Tanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha upotoshaji mkubwa unaoendelea katika mitandao ya kijamii kuwa bandari za Tanzania zimeuzwa kwa kampuni ya DP World kutoka Dubai kwa miaka 100 na kusema jambo hilo halina ukweli wowote. Akizungumza na waandishi wa habari wa kimtandao (JUMIKITA)...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

    Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi. Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi? Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa Tanzania nao ni ujasiri!

    Ni nchi yenye uajabu wake! Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi! Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni wakiendeshe! Cha ajabu... hata hao wageni wakipewa! Nao hawaingizi faida! Kama sio ujasiri wa mtu...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Ibara ya nne ya mkataba inayolazimisha Tanzania kuitaarifu DP-World kuhusu fursa za uwekezaji irekebishwe

    Ibara ya 4 - Wigo wa Ushirikiano na Taasisi za Utekelezaji (2) "Tanzania itawajulisha Dubai kuhusu fursa zingine zinazohusiana na bandari na maeneo huru..." Mapendekezo: Ondoa neno "itawajulisha"/"will"na badala yake weka neno "inaweza"/"May" ili Tanzania iweze kuwajulisha Dubai. Ukizingatia...
  15. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Tanzania bado sana aisee

    Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema: Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali ni njema...... Mmenielewa ndugu zangu?? Waandishi wakaitikia ndioooo!
  16. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

    Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?' Author: Jacques Morisset Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi...
  18. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

    Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World. Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo). Ameweza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mungu vimulike Vyombo vya Usalama wa Taifa Teule la Tanzania

    Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane upo. Mungu wataifa la Tanzania Mungu naijulikane upo, njaa ya watu wachache isiliuze Taifa la...
  20. Beberu

    JamiiForums Tanzania Azam Yawabamiza Police Tanzania 8-0, Polisi watishia kuwalaza selo kwa udhalilishaji

    Huko kunako viwanja vya Azam complex Chamazi, Matajiri wa chamazi wamewakandamiza Polisi Tanzania 8-0, huku Prince Dube akipiga goli 4 peke yake, Hii ni match yenye magoli mengi zaidi katika msimu huu
Back
Top Bottom