tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mungu vimulike Vyombo vya Usalama wa Taifa Teule la Tanzania

    Mungu ulioko Mbinguni sisi tulio watoto tunalilia Taifa la Tanzania. Mungu vivuvie nguvu uwezo wakijasusi na akili za ajabu Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wa Taifa hili Mungu wangu naijulikane upo. Mungu wataifa la Tanzania Mungu naijulikane upo, njaa ya watu wachache isiliuze Taifa la...
  2. JamiiForums Tanzania Azam Yawabamiza Police Tanzania 8-0, Polisi watishia kuwalaza selo kwa udhalilishaji

    Huko kunako viwanja vya Azam complex Chamazi, Matajiri wa chamazi wamewakandamiza Polisi Tanzania 8-0, huku Prince Dube akipiga goli 4 peke yake, Hii ni match yenye magoli mengi zaidi katika msimu huu
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye kilimo Tanzania

    Kilimo ni sekta muhimu yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye nchi yetu mapinduzi hayo kama VIWANDA, BIASHARA ZA NDANI NA NJEE, ELIMU BORA, UJUZI, NA AFYA KWA JAMII. Uwajibikaji ungekuwa kama ifuatavyo elimu ya kilimo ingeanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na sekondari na ingekuwa lazima...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu mnataka mpigwe na mayai viza ndio mjue mnatukosea?

    Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki...
  5. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

    Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu. Anasema mambo yafuatayo 1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa 2. Pili...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge 30 wa Tanzania kwenda Dubai safari ya kimya kimya si kawaida

    Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Joseph Kasheku Musukuma akiongea bungeni amesema walikwenda Dubai kuona mafanikio ya bandari za huko. ZIARA YA KAMATI YA MH. PROF. MBARAWA YA WABUNGE 30 DUBAI Jambo la kushangaza ni kuwa kamati ya Bunge wakitembelea miradi ndani ya Tanzania huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

    Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mkataba huu utamomonyoa 'sovereignty' ya Tanzania

    Usuli Mheshimiwa Rais Samia, Tanzania kama Taifa huru linayo haki ya kutowajibika kwa Taifa jingine lolote duniani, na haki hii ndiyo inaitwa "sovereignty" kwa Kiingereza. Hivyo, katika maneno 700 pekee, najadili Mapatano kati ya Serikali za Tanzania na Dubai kwa kugusia yafuatayo: utangulizi...
  10. JamiiForums Tanzania Hawa hapa maadui wa Taifa la Tanzania

    Enzi zetu wakati nakuwa mambo hayakuwa kama ilivyo sasa. Nakumbuka, nilikuwa nikishuhudia viongozi wengi sana wakistaafu huku wakiwa hawana miliki ya vitu vingi. Nionavyo Mimi, naona tayari MEZA imeishapinduliwa. Maadui wakubwa wa Tanzania ni: 1. UJINGA (Enzi zetu hii ilikua kwà WANANCHI/...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wizi wa viongozi Tanzania haujapatiwa dawa, sijui tutaamka lini

    1. Wizi wa ununuzi wa RADAR (BAE system co.) Madalali walipata £ 12,000,000 2. Wizi wa Amatus Liyumba katika Ujenzi wa B.O.T twin towers .. Shilingi Billioni 400 3. Wizi wa akaunti ya EPA Shilingi 133 billioni. 4. Wizi katika Mradi wa kusafisha dhahabu wa Mwananchi Gold .. Dola Milioni 6...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kagame alisema kuwa mkinipa bandari ya Dar es Salaam nina uwezo wa kulisha Tanzania nzima angefanyeje?

    Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania imezuia malori 500 ya mahindi wakati mlisema mnachakula cha kutosha

    Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa. Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Alichokizungumza Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa, kwenye mahojiano na TBC

    ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC “Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
  15. JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali: Iandae mikakati ya kudhibiti soko la silaha na uingizaji silaha baada ya mgogoro wa Ukraine

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae. Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

    Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW! Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Naona mgawanyiko unataka kuikumba Tanzania

    Nikiangalia jinsi mjadala unavyoendelea juu DP word kuwekeza bandari ya Dar es salaam, nathubutu kusema kweli ubaguzi unaendelea kuwepo Africa, na ndio kizuizi kikubwa Cha maendeleo ya nchi, hivi unathubutu vipi kusema hatutaki DP world kisa ni waarabu na wataleta udini bandarini! Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...
  20. JamiiForums Tanzania Actuarial at CRDB Bank

    Reporting to: Head of Business Development – CIC Location: CRDB Bank Plc Insurance Broker Job Summary The Purpose of the job is to be responsible for analyzing data and assessing risk using statistical models. Design and price insurance policies and use advanced statistics and modelling to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…