tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mimi nauliza nini sababu ya kuficha ficha Expiry date kwenye bidhaa nyingi hapa Tanzania? Kwanini zinaandikwa wala hazieleweki nini sababu?

    Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania JK ampongeza Rais Samia maandalizi uzinduzi programu ya uwekezaji sekta ya maji Tanzania 2024-2030

    JK AMPONGEZA RAIS SAMIA MAANDALIZI UZINDUZI PROGRAMU YA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI TANZANIA 2024-2030 Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership Southern Africa (GWPSA) na Mwenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati gani bunge la Tanzania lilikuwa bunge?

    Kuna malalmiko, kuwa siku hizi bunge si bunge. Ni afadhali la miaka ya nyuma. Kuna minong'ono, kuwa bunge la sasa ni mfano tu wa bunge, kwa maslahi ya watawala. Hata wengine wamediriki kutamani bunge livunjwe. Kwani ni wakati gani bunge la Tz lilishawahi kuwa bunge? Inasemekana, kuna wakati...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Promoting Accountability and Good Governance in the Gold Mining Sector in Geita, Tanzania

    Abstract: Accountability and good governance are crucial factors in the gold mining sector in Geita, Tanzania. This sector significantly contributes to the country's economy while providing employment opportunities to a large number of people. However, in order to drive positive change and...
  6. JamiiForums Tanzania Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Jambo jambo? Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC. Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo. Lakini tusisahau...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali

    "Kwanini wanaenda court ya kimataifa na sio hapa nchini? hiyo ni sheria ambayo hauwezi kupata muwekezaji. Hamna muwekezaji atakuja hapa kuwekeza pesa zake halafu kesho unamwambia aende kisutu, Kisutu ambapo mtu yeyote wa Serikali anaweza kumpigia simu jaji akamwambia huyo usimpe hukumu hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Rushwa Tanzania: Ni Kwa sababu ya njaa au tabia

    Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika. Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye dini nako kuna rushwa! Inashangaza na kusukitisha! Hata watoto wanajua rushwa. Kwa nini rushwa...
  9. JamiiForums Tanzania TLS on intergovernmental agreement between the Government of Tanzania and Emirate of Dubai

    Kwa watasha tuu karibuni msongoke --- STATEMENT IN RESPECT TO THE INTERGOVERNMENTAL AGREEMENT (IGA) BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE EMIRATE OF DUBAI CONCERNING THE ECONOMIC AND SOCIAL PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT AND IMPROVING THE PERFORMANCE OF SEA AND LAKE PORTS IN TANZANIA...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tusipokuwa makini Rwanda itatuaibisha

    Ndugu zangu Watanzania wakati umefika sasa tuelezane ukweli kuhusu ujinga na dhana yetu ya kuichukulia 'poa' Kigali tukijidanganya kwa mambo mengi na ya kipuuzi. Miongoni mwetu bado tunaidharau Rwanda kwa udogo wa eneo lake na wengine tukijidanganya eti Rwanda ni sawa na mkoa hivyo si lolote si...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Mkataba wa Bandari na DP World: Athari za Kimkataba kwa Uchumi wa Tanzania na Uwajibikaji wa Serikali kwa Wananchi wake - Je, ni Faida au Hasara?

    MKATABA WA BANDARI NA DP WORLD: ATHARI ZA KIMKATABA KWA UCHUMI WA TANZANIA NA UWAJIBIKAJI WA SERIKALI KWA WANANCHI WAKE - JE, NI FAIDA AU HASARA? Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI A. Muktadha wa mkataba wa Bandari na DP World Mkataba wa Bandari na DP World ni makubaliano yaliyofikiwa kati ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

    Siyo siri, Tanzania taasisi za kidini takriban zote, kwenye mikoa na wilaya zote zinahodhi maeneo makubwa ya ardhi ambayo hayatumiki kabisa au utakuta kwenye maeneo yao makubwa wanayohodhi kinejengwa kijumba kimoja au viwili vya kuzuga tu. Wakati huohuo tunasikia mara kwa mara migogoro ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu, hatua za kukuza na hasara zitokanazo na teknolojia nchini Tanzania

    Teknolojia ni matumizi ya maarifa, mbinu, mchakato, zana, na vifaa ili kubuni, kujenga, na kutumia bidhaa au huduma kwa lengo la kutatua matatizo, kuboresha maisha, na kufikia malengo ya kibinadamu. Inahusisha matumizi ya sayansi, uhandisi, na maarifa mengine ya kibinadamu kwa lengo la kuunda...
  14. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kifo cha Gavana Gilman Rutihinda

    Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza: Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa angalizo kwa NGO's, ataka Masharti ya wafadhili yaendane na Maadili, Utamaduni wa Tanzania

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania. Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ni yetu sote. Tuwajibike kwa pamoja kuleta Maendeleo ya kweli

    MAENDELEO YA TANZANIA: NANI AWAJIBIKE? Kuwajibika ni wajibu au jukumu la kufanya vitendo na kuchukua hatua sahihi kulingana na majukumu au nafasi ya mtu katika jamii au shughuli fulani. Kuwajibika kunamaanisha kufanya yale yanayotarajiwa kutoka kwako kwa njia inayozingatia maadili na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

    Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12 Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu Msigwa amesisitiza Bandari lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

    Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana... Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..? Nimeagiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…