tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hakuna Uuzwaji wa Ardhi Mkataba wa DP World na Tanzania

    MHE. ELIBARIKI KINGU - HAKUNA UUZWAJI WA ARDHI MKATABA WA DP WORLD NA TANZANIA "Tukiwa kama wabunge tuna nafasi ya kusema vitu vinavyotoa muelekeo wa nchi. Mafanikio tunayoyazungumza ya Serikali ya awamu ya sita nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa kwa dhati ya moyo niseme Waziri wa Fedha na...
  2. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Parcel from UK to Tanzania. Kampuni gani inasafirisha haraka?

    Wasalaam, Title yajieleza. Kampuni gani kusafirisha parcel/package kutoka Uingereza (UK) kuja Tanzania? Kampuni yenye unafuu wa gharama. Apart from kina DHL, sijuwi FEDEX, na mapapa wenzao.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ni nchi ya wajinga?!

    Tanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi. Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa iwe ni marufuku kutuita Tanzania bara, ni Tanganyika

    Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini? Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

    Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora. Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani...
  7. carnage21

    JamiiForums Tanzania Timu ya kwanza Tanzania kumiliki app,Timu ya kwanza Tanzania kuuza jezi online kwa zaidi ya 70k.

    Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji la Mbeya ilivyofanikiwa kuitengeneza @officialmbeyacityfc hadi kupata mafanikio yale! Namna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani hasa mmiliki wa Taifa la Tanzania?

    Asalam, Maswali yameendelea kujirudia. Mengi yanasemwa na hata wakati fulani ya kujitukana wenyewe. Lakini hasa hasa NANI HASA MMILIKI wa Hili TAIFA LA TANZANIA? Nani hasa anaweza kusimama akasema kwa sauti nzito kuwa yeye ndio MMILIKI? Naona wako watu wanazunguka humu nchini, wengine kwenye...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

    Niambieni, kwa jinsi walivyosimama hapo na mwonekano wao,unadhani ni nani anayedhaniwa kuwa ndo anatakiwa asainishwe mikataba ya DP word? Kati ya nchi ambazo watu wake ni jeuri, walisharidhika na umasikini wao, na mambo yao ni poa sana, na wenye uwezo wa kuuza chochote bila kufikiri ya badaye...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Wakulima wa Katavi, Kiteto na Sumbawanga wasiuze Mahindi chini ya Tsh. 800 kwa kilo

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023. Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230 Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amesema hadi sasa kuna mikoa zaidi ya 9 nchini iliyo na kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria chini...
  11. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Nchi ya Tanzania June/July 2023

    Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake. 1. Kijani 2. Blue 3. Dhahabu/njano 4. Nyeusi Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi ndugu Mpwayungu Village mdau na Mtetezi wa Sekta ya Walimu Tanzania

    Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa IGA kati Tanzania na Dubai una uhalali?

    Hivi mkataba kati ya Tanzania na Dubai una uhalali wowote wa kuitwa ni IGA? Yani una uhalali wa kuitwa mkataba kati ya nchi na nchi? Inaonekana waliosani ni Dubai na Dubai ni mkoa tu katika UAE. Je mkoa wa Geita unaweza saini na Ujerumani huo mkataba ukaitwa IGA na kama siyo huu mkataba...
  14. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Sa huyu mrembo wa Kitanzania anatofauti gani na hao Wasudani yaani bongo vitu vya kipuuzi ndo vinazungumzwa.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mufiti na sheikh Mkuu wa Tanzania awataka Masheikh na Maimamu wote Nchini wakemee mmomonyoko wa Maadili

    Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafungua rasmi Ubalozi wake Nchini Indonesia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesema kufunguliwa kwa Ubalozi huo...
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tanzania limekuwa taifa la wacheza kamari (Tanbet)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Inasikitisha kuona kwamba nguvukazi ya taifa inapotea bure kwa kujikita kwenye uchezaji wa kamari. Kwa utafiti mdogo nilioufanya, kamari imekita mizizi kila mahali. Mara nyingi watu wanapobishana kuhusu jambo fulani utawasikia wakiwekeana dau...
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Utangulizi Bunge mkononi litakuwa ni bunge/mkutano utakaompa nafasi kila mwananchi kuwa mbunge. Bunge hili litakuwa kwa njia ya mtandao, na mshiriki ataweza kushiriki kupitia sim janja ya mkononi. Mtu aliye tayari atajisajiri katika mtandao wa bunge utakaoanzishwa, na maombi yatatumwa selikalini...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Urusi kushirikiana katika kueneza lugha ya Kiswahili

    Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania ni dhaifu na Kibogoyo

    wasalam, Natafakari juu ya mbadala wa Serikali Tanzania, yaani upinzani sipati majibu. Kuna umuhimu wa kua na upinzani kweli? Umuhimu wake uko wapi? Ikiwa kila Jambo linakuja na linapita kama lilivyo bila pingamizi lolote popote, si ndani ya Bunge au nje ya Bunge. Je, kuna Serikali mbadala...
Back
Top Bottom