tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. TPP

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania na watu wake

    Nimekuwa Tanzania kwa muda mrefu sasa nataka kutoa ushauri kwa serikali ya Tanzania na wananchi wa Tanzania. Nchi ya Tanzania ina kabiliwa na umasikini mkubwa hali hii nimejifunza na kushuhudia sehemu kubwa ya Tanzania na hali hii kwa sasa inazidi kuathiriwa kwa kasi na tatizo la kuongezeka kwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuwaamini Wanasiasa wa upinzani wa sasa Tanzania ya leo ni sawa na kukubali kuwa hauna kabisa Akili Kichwani

    Kuna Mmoja wao kwa sasa Yeye, Mkewe na Watoto zake si Raia tena wa Tanzania ila Kutwa anazurula Mitaani na katika Media kutaka kuonyesha kuwa ana Machungu na Watanzania, anawapigania huku kila Siku Usiku Saa 3 anapiga au anapigiwa Simu na Kuongea kwa Furaha na Mtu Muhimu Tanzania huku akiwacheka...
  3. Mzee wa Kosmos

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sehemu tajiri kuliko zote ulimwenguni, taifa tajiri la Tanzania 2050

    UTANGULIZI Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
  4. B

    JamiiForums Tanzania MoU kati ya Tanzania na jimbo la China, bidhaa nyingi kuingia nchini

    MAKUBALIANO BAINA YA SERIKALI YA TANZANIA NA JIMBO LA SHANDONG LA CHINA KUIFANYA UBUNGO KUWA SOKO LA KIMATAIFA Serikali kupitia makubaliano ya Memorandum of Understanding almaarufu MoU na jimbo la China la Shandong sasa kugeuza eneo la Ubungo kuwa soko la bidhaa toka jimbo hilo la nchini...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maajabu ambayo yanapatikana Tanzania tu

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna Mambo ambayo kwa uelewa wangu mdogo nimeshangaa yanatokea Tanzania tu, sijui kwa nchi zingine 1. Fine za barabarani Bodoboda na bajaji ndio wanaoongoza kuvunja sheria, ila eti kwa vile ni vyombo vidogo, eti vilipunguziwa fine hadi elfu 10. Kwani tunaangalia ukubwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maajabu matatu (3) yenye nguvu ya kutisha yaliyoifanya familia masikini kuikopesha Marekani

    Hapo zamani za kale pembezoni mwa upwa wa bahari ya hindi kulikua na familia ya wabantu. Familia hiyo kwa umaarufu wake wa kumiliki kila aina ya vito vya thamani hata vile visivyoweza kupatikana kwa malimwengu yote yaani tanzanite, vilipelekea familia za walowezi kutumia mabavu kujimilikisha...
  7. kijanamtanashati

    JamiiForums Tanzania Waturuki washusha bei ya nyama Tanzania

    Wakuu uko kwenu vipi nyama huku kwetu nyama kwa masada wa waturuki imekua nyingi mpk sasa mafriji yamejaa watu wanachuna tu tangu sikukuu ianze. Hata idadi ya mbwa koko imeanza kuongezeka kitaani ndani ya wiki hizi 2
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara? Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

    Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa...
  10. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utalii Wa Ndani Tanzania: Faida, Changamoto Na Vivutio

    UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania kusaidia kupunguza umaskini

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, Mkoani Hunan, sekta ya kilimo ilikuwa ni moja ya maeneo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye biashara na makongamano yaliyofanyika sambamba na maonyesho hayo. Licha ya kuwa sekta ya kilimo ni eneo moja...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kuchakata, kusindika na kufunga bidhaa itatoa mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
  14. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Paypal Tanzania kuna shida gani?

    Wakuu salamu, Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia. Inaleta kitu kama hiki chini. Lakini siwezi kuproceed na Payment. Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA walitaka wajisifie kuwa na jengo zuri au Siasa na Demokrasia nzuri za kuikomboa Tanzania?

    Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika. CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

    Kwa kuwa zimwi la kampuni ya DPW ni la kudumu kama mkataba walioingia na serikali, nimeona ni busara tukawa na munakasha maalumu kuhusu kampuni hii tata iliyoingia mkataba wa kilaghai na serikali ya CCM kununua bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu, anga la nchi, special economic zones, na...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania 🇹🇿 tunafanya kazi nyumbani za ofisini kwako ingekuwaje?

    He'll Africa Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje? Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika) 👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani 👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni tatizo kuu hapa Tanzania

    Enzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti. Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China. Moja ya vijana hao...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Dubai na Tanzania kuhalalisha Kambi 88 za Masetla wa Kiarabu nchini Tanzania?

    Hofu tuliyo nayo dhidi ya Mkataba wa Tanzania-Dubai inao msingi thabiti katika ubaya unaoambatana na historia ya "makoloni ya walowezi wa kigeni" katika Afrika. Kwa mujibu wa "TPA Handbook, 2019-20," kwenye ukurasa wa tisa, TPA inasimamia bandari 88 zifuatazo: Bandari 18 zilizo katika Ukanda...
Back
Top Bottom