tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Chief Mwasapile ; viongozi wa Tanzania kuutangazia umma kwamba watanzania ni wezi nikuvuruga mahusiano ya watu wetu ndani na nje ya nchi

    Moja ya mwasisi wa Tanu na mwana CCM huko mkoani Mbeya amelaani kitendo cha viongozi wa CCM kutumia kodi za wananchi kuzunguka nchini na nje wakisema wanakodisha bandari kwa sababu watanzania ni wezi. Amewakumbusha viongozi wetu kwamba wakati wa mwalimu Nyerere tulikuwa hatukaguliwi huko nje ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa IGA Ulitengenezwa Kuwa na Vipengele Hasi kwa Tanzania, na Viongozi Wetu Walijua na Kushiriki Uhujumu Huo

    Sote tuanelewa kwamba nchi yetu Rais ni kila kitu kwetu, hahojiwi na mbaya zaidi huwezi kumshtaki mahakama yoyote nchini, akiwa madarakani au baada ya kuachia madaraka. Wananchi wa nchi hii wamezoea, kwamba hawawezi kumwajibisha kiongozi huyo kwa njia yoyote ile; na Bunge ambalo sheria...
  3. JamiiForums Tanzania Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

    Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios I. Utangulizi Makubaliano ya Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari za Tanzania yanaongozwa na Sheria za...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania izuie matumizi ya Mtandao wa Tiktok

    Hello wanajf, Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana. Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia. Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana, watoto na wazee wanashinda huko. Athari za baadae 👉 kupunguza...
  5. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

    1.Miezi miwili tu baada ya hiyo tarehe kampuni ya symbion ililipwa zaidi ya billioni 349 na mafisadi kuachiwa licha ya bunge kutoa azimio symbion wasilipwe na waliohusika wafungwe. 2. Licha ya bandari ya Dares salaam kuboreshwa hadi kufikia meli kubwa ya mita 300 kuweza kutia nanga hapo lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Hii hapa Air Tanzania ikipasua anga kuelekea Chato

    Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za uongo lakini wapo wadau walinibishia kuwa sio kweli safari ziekufa. Sasa Fatilia mwenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Nitafurahi kuona uboreshaji wa mfumo na muongozo wa utoaji wa taarifa za Kiserikali nchini Tanzania

    Uboreshaji wa Mfumo na Muongozo wa Utoaji wa Taarifa za Serikali nchini Tanzania. Utangulizi. Habari ndugu wana JamiiForums! Karibuni tujumuike katika chapisho hili lenye lengo la kuchunguza na kutoa mapendekezo kwa nia njema juu ya taifa letu, hususani katika sekta inayohusika na utoaji wa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania government to pay new compensations from August

    The public authority has affirmed that the hotly anticipated yearly compensation increment will start to be paid next month.The Clergyman of State in the President's Office (Public Assistance The executives and Great Administration), George Simbachawene tended to the matter yesterday, in light...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa kwa mageuzi makubwa Sekta ya Afya

    Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO). Pongezi hizo zimetolewa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Dkt. Charles Sagoe-Moses wakati...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Utawala Bora Tanzania: Kukuza Uchumi na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia Utawala Bora. Hata hivyo, kwa kuzingatia mabadiliko na utekelezaji wa mikakati sahihi, Tanzania inaweza kufungua fursa mpya za maendeleo katika nyanja zote za kiuchumi na kijamii. Makala haya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Mbinu za Ufanisi za Kuondokana na Mikataba Mibovu Tanzania

    Mbinu za Ufanisi za Kuondokana na Mikataba Mibovu Tanzania Mwandishi: MwlRCT I. Utangulizi Tanzania imekumbwa na janga la mikataba mibovu, likisababisha hasara kubwa kwa uchumi na jamii. Takwimu zinaonyesha kuwa tangu mwaka 2000, Tanzania imeingia mikataba zaidi ya 50 ambayo ni mibovu...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuelekea Utawala Bora Tanzania: Kupiga Hatua Mbele

    Utalii, Teknolojia, Uadilifu, na Uwazi: Mabadiliko ya Kweli kwa Tanzania Tanzania, kama taifa lenye utajiri wa kipekee wa rasilimali za asili na utamaduni wake mzuri, ina fursa ya kipekee kuongoza katika bara la Afrika kuelekea utawala bora. Utawala bora unahusu maendeleo ya nyanja zote za...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania nini mabaya na mazuri yao? Kuna umuhimu wa kuwa na Polisi binafsi?

    Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao. Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa" katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hongera DP world kwa kutua Tanzania

    Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu. Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa...
  16. JamiiForums Tanzania Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

    Wakuu umofia kwenu, Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo. Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi. Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi? Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ ya Uhuru Tanzania haina makampuni ya kizawa ya kujenga majengo; Tunategemea Wachina!

    Kwanini tumedumaa sana na kujitengenezea mentality yakufanyiwa? Tunashindwa nini kuweka kwenye sera zetu kwamba ujenzi wa majengo Tanzania utafanywa na makampuni ya wazawa? Hata kama watataka kutafuta wageni kama engineer iwe ruksa ila tenda wapewe kampuni za ndani. Kweli tunakwenda kukopa nje...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania tajiri iliyokumbatia wakwasi wachache mafukara wengi

    TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania GAS Mtwara vs Bandari Tanzania

    Miaka michache kabla ya utawala wa JK kufikia tamati kuliibuka swala la GAS Mtwara, kwa maneno ya Wapinzani mkataba wa Gas Mtwara ukapata pingamizi kubwa zaidi ya pingamizi zinazoonekana leo, hata kufikia wakati Jeshi likaingizwa kazini ndio mkandarasi aweze laza mabomba ya gas. Mabomba hayo leo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea

    Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea. Katiba+Bendera=Mzalendo 🇹🇿
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…